MgosiMnubi
JF-Expert Member
- Dec 6, 2022
- 1,836
- 3,153
Wacha nicheke kwanza mie....Lissu: Niambie maana ya serikali.
Shahidi: Ni mamlaka ina mihimili mikuu mitatu, mamlaka, mahakama na Bunge.
Kmmk walah
Itakuwa mambo ya kununua vyeti hayo usishangae aiseSijui kama mnaelewa, huyu siyo Mahamba mwenyewe, hili bomu litafumuka kesho
Sio kwamba ni vilaza bali ni kesi ya mchongo hivyo ushahidi wake hauwezi kuakisi uhalisia.Kifupi ni kwamba, wengi wanao ajiriwa serikalini ni vilaza
Utachoka zaidi ukigundua jamaa lina degree ya sheria.Lissu: Niambie maana ya serikali.
Shahidi: Ni mamlaka ina mihimili mikuu mitatu, mamlaka, mahakama na Bunge.
Kmmk walah
Atachiliwa jana tec washamwambia mama amwachieNoma sana
Mama hana diniAtachiliwa jana tec washamwambia mama amwachie
AmeenSisi tunachomwombea Lissu,Mungu azidi kumlinda na kumpa Afya njema! Atatoka tu.
That 60% is an average. Yapo maeneo ambayo yako hoi zaidi na mengine yenye unafuu. Kwa upande wa TANPOL, sitashangaa kama 75% ya watumishi wake hawana uwezo!Ukifuatilia hii kesi ndio utajua ni kwa kiwango kuna serekalini kuna watumishi wenye uwezo mdogo. Yale maneno aliyosema kuwa 60% ya watumishi wa serekali hawana uwezo, inadhihirika kwa hawa mapolisi wanaotoa ushahidi. Na kwa kuwa hawa polisi wengi wana uwezo mdogo, ndio maana wanatumika na wanasiasa wa ccm kupiga wapinza ili waendelee kubaki kwenye vyeo huku wakiwa na uwezo mdogo.
Ulifanya jambo la msingi sana.moja ya kazi za KIPUMBAVU nilizowahi kufanya hapa duniani ni kuajiriwa na Jeshi la Polisi Tanzania mwaka 1998/1999. Namshukuru Mungu nilikuja kuacha kwa kutoa notisi ya masaa 24
Amen.Sisi tunachomwombea Lissu,Mungu azidi kumlinda na kumpa Afya njema! Atatoka tu.
Tena Ubungo MataaInasikitisha sana.
Selikali Inajivua nguo mchana kweupe.
Nimeondoa 'like' baada ya kuona unatumia neno hilo "mama" kumhusu mtu mwovu kiasi hiki.Atachiliwa jana tec washamwambia mama amwachie