Lissu alivyomkaanga Mpelelezi Mkuu wa kesi yake

Upuuzi upuuzi tu km watoto shule ya msingi.
Mnapelekeshwa na huyo mtu kijinga tu kila siku mahakamani.
Looser has nothing to lose
 
That 60% is an average. Yapo maeneo ambayo yako hoi zaidi na mengine yenye unafuu. Kwa upande wa TANPOL, sitashangaa kama 75% ya watumishi wake hawana uwezo!
 
nimefuatilia mtiririko wa hii kesi, dah hawa maofisa wa polisi wanafosiwa tu kuja mahakamani sio kwamba wanataka lolote
Yaani hawajipangi kwa kesi wala lolote maana hawana cha kupoteza
Wakitoka mahakamani wanaenda piga chimpumu mika mishale mirefu asubuhi wanaamkia mahakamani kwa simu za maelekezo
MH LISSU WASAMEHE TUU HAWA POLISI HAWANA MOTIVE YYTE NA HII KESI BORA SIKU ZIENDE NA KUKATAA HAWAWEZI MAANA WANAFOSIWA ILI WASIHARIBU MKATE WAO
SAD FOR THEM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…