Huyo ndie mpelelezi mbobezi eti na sijui CV yake ipoje, hili ndio tatizo la kutofuata sheria na kufuata unayoambiwa uyafanye nje ya sheria, ningesema huyu polisi labda hana elimu nitakuwa namkosea sababu hao waliotunga huu uchafu nao wana elimu nzuri tu na wamesoma sheria lakini kwa kuwa wanataka kumfurahisha Jumbe basi wameweka elimu yao kapuni na sasa haya ndio matokeo yake,wamefedhehesha taaluma zao na wamefedhehesha jeshi la polisi .Hii kesi imetupa ushahidi wa ukilaza wa watumishi wa vyombo vya dola, wingi wa watumishi feki/hewa na wasio na uwezo wa kutimiza majukumu yao.
Hakila kesi hii inathibitisha yale aliyoyasema Prof. M. Assad kuhusu 60% ya watumishi wa umma ni hawana uwezo.
Lissu ni mpango wa Mungu ananikumbusha enzi za mawakili kama Muntazir Lakha, Muccadam, Mabere Marando, Lamwai , Said El Maamry,Tenga. Ni kama Yesu kwa wakristo, kwa kupitia mateso yake ndio tunaona sura halisi ya vyombo vyetu vya usalama, mahakama na watawala,Lissu katufumbua macho tulikuwa gizani.mliwakamata waliotaka kuchochea na mkawaachia kweli wakaenda fanya vurugu je? kuna mtu kawajibishwa ....... shahidi kajikuta ana kesi ya kujibu
Aisee tuna safari ndefuLissu: Niambie maana ya serikali.
Shahidi: Ni mamlaka ina mihimili mikuu mitatu, mamlaka, mahakama na Bunge.
Kmmk walah
Sio empty. hata ungekuwa wewe ungeweweseka; hakuna kitu kigumu kama kutetea uongo!Inasikitisha sana.
Selikali Inajivua nguo mchana kweupe.
Maofisa wetu hawa Dahhhh!!!!!
Empty kabisa.
RIP. Tanganyika.
Ndio maana sisi waislam tunaamini baada ya maisha ya hapa duniani kuna hukumu nyengine huko akhera.This is wastage of time, hakuna shahidi hapa, shahidi haju why yuko hapo on top of that hajui kesi inayoendelea and has no clue kuwa kujifanya afisa wa serikali ni jinai.
No such thing ni mambo ya kiswahili tu. Ni kupotezeana tuNdio maana sisi waislam tunaamini baada ya maisha ya hapa duniani kuna hukumu nyengine huko akhera.
Majuzi madeleka alisema polis bado ina operate katika misingi ya kikoloni. Lilikuwa designed kulinsa maslahi ya mkoloniPolisi gani hajui mambo mengi kiasi hiki.
Hivi huwa hawachukui hata muda wa kumsoma mpinzani wao, amepitia mambo gani na rekodi gani yupo nazo?
Aibu sana kwa hawa mapolisi, inabidi wajioneshe kuwa ni werevu ndo maana wapo kwenye hizi nafasi.