Heche na Lema pia wanajitahidi sana.Kama kuna mpinzani wa kweli basi ni TL. Wengine wote wana bei yao.
ok. 🐒Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu amepandishwa kizimbani katika Mahakama kuu Masjala Ndogo ya Dar es Salaam leo Ijumaa Julai 3, 2026, ambapo anatarajiwa kuchuana na jopo la mawakili wa Serikali kwa hoja za kisheria wakati wa usikilizwaji wa shauri lililofunguliwa dhidi yake na Jamhuri, kuhusiana na kesi ya uhaini inayomkabili.
Jamhuri ilifungua shauri hilo la maombi ya mapitio Februari 24, 2026, ikipinga uamuzi wa Mahakama Kuu, Masjala Ndogo Dar es Salaam, kuikatalia maombi yake ya kutaka iruhusiwe kuwasilisha ushahidi wa nyongeza katika kesi ya uhaini inayomkabili mwanasiasa huyo.
Soma: Rufaa ya Jamhuri katika kesi ya Lissu kusikilizwa leo (Julai 3, 2026) baada ya shauri la msingi kusimama kwa zaidi ya miezi minne
Shauri hilo la mapitio namba 7203216/2026 limepangwa kusikilizwa na jopo la majaji watatu wa Mahakama ya Rufani litakaloketi Dar es Salaam, linaloongozwa na Jaji Augustine Mwarija, Majaji wengine ni Zainabu Muruke na Amour Khamis.
Nasikia ndio mpanga ratiba ya kubeba mtondoo!Rais wa wananchi wote wenye akili na wale wanaojitambua. ✌️
Soma uongozi wa JPM na Nyerere ulikuwaje ?Uongozi wa Waislamu wanakuwaga katili sana Kwa watu.
Hakuna chembe ya shaka yoyote juu ya hilo unalozungumzia wewe.Kama kuna mpinzani wa kweli basi ni TL. Wengine wote wana bei yao.
He pretend to be happy so sadMwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu amepandishwa kizimbani katika Mahakama kuu Masjala Ndogo ya Dar es Salaam leo Ijumaa Julai 3, 2026, ambapo anatarajiwa kuchuana na jopo la mawakili wa Serikali kwa hoja za kisheria wakati wa usikilizwaji wa shauri lililofunguliwa dhidi yake na Jamhuri, kuhusiana na kesi ya uhaini inayomkabili.
Jamhuri ilifungua shauri hilo la maombi ya mapitio Februari 24, 2026, ikipinga uamuzi wa Mahakama Kuu, Masjala Ndogo Dar es Salaam, kuikatalia maombi yake ya kutaka iruhusiwe kuwasilisha ushahidi wa nyongeza katika kesi ya uhaini inayomkabili mwanasiasa huyo.
Soma: Rufaa ya Jamhuri katika kesi ya Lissu kusikilizwa leo (Julai 3, 2026) baada ya shauri la msingi kusimama kwa zaidi ya miezi minne
Shauri hilo la mapitio namba 7203216/2026 limepangwa kusikilizwa na jopo la majaji watatu wa Mahakama ya Rufani litakaloketi Dar es Salaam, linaloongozwa na Jaji Augustine Mwarija, Majaji wengine ni Zainabu Muruke na Amour Khamis.
Lema hamna kitu pale. Msoma upepo.Heche na Lema pia wanajitahidi sana.
Nilitaka kuandika maneno yafuatayo kwingineko, lakini yanafaa yaunganishwe na haya ya kwako hapa.Mwamba Yuko imara kuliko jana
Stupid ni hao wapumbavu wanaotokea nyumbani kwao kwenda mahakamani kulazimisha uongo wao ukubalike ili binaadam mwenzao mwenye akili kuwazidi auliwe kikatili kwa zawadi kiduchu anayogawiwa na dikteta muuaji asiyejali uhai wa mtu yeyote isipokuwa watoto wake wa kuwazaa tu, so stupidHuyo jamaa asipoacha ujuaji atafia humo ndani.
Sasa hiyo ndio nini, kuzungusha ngumi kama mwehu.
Anabishana na watu wanatokea majumbani mwao yeye yupo Magereza, stupid.