Kwake ni ushindi.........Huyo jamaa asipoacha ujuaji atafia humo ndani.
Sasa hiyo ndio nini, kuzungusha ngumi kama mwehu.
Anabishana na watu wanatokea majumbani mwao yeye yupo Magereza, stupid.
Kwake ni ushindi.........Huyo jamaa asipoacha ujuaji atafia humo ndani.
Sasa hiyo ndio nini, kuzungusha ngumi kama mwehu.
Anabishana na watu wanatokea majumbani mwao yeye yupo Magereza, stupid.
Utakuta hata wewe huko shuleni ni kuwaibia tu wanafunzi wenzako kwasababu uislam na wizi unaendana kama kimba na rinda.Ukiwa mjinga kiasi hiki haustahili kujibiwa
Bila ushahidi hizo zinabaki kuwa ni porojo tu...Mmezidi wizi nyie, ufisadi na madawa ya kulevya
Anaweza akawa anabishana na watu wanaotokea nyumbani.Ilathe stupid part ikomkwa hao wanaotokea nyumbani.Huyo jamaa asipoacha ujuaji atafia humo ndani.
Sasa hiyo ndio nini, kuzungusha ngumi kama mwehu.
Anabishana na watu wanatokea majumbani mwao yeye yupo Magereza, stupid.
Kwa hivyo mnawaweka watu jela bila hatia ili wasidai haki waogope kuwekwa jela na kusimangwa huku wanao wakandamiza watu wakiwa majumbani mwao?Huyo jamaa asipoacha ujuaji atafia humo ndani.
Sasa hiyo ndio nini, kuzungusha ngumi kama mwehu.
Anabishana na watu wanatokea majumbani mwao yeye yupo Magereza, stupid.
Una utoto sana wewe
Akifia humo wewe utafaidika nini?Huyo jamaa asipoacha ujuaji atafia humo ndani.
Sasa hiyo ndio nini, kuzungusha ngumi kama mwehu.
Anabishana na watu wanatokea majumbani mwao yeye yupo Magereza, stupid.
Ni wapi katika maandishi hayo umeona hayo maneno yametumiwa?Kwako unene ndio Afya sio!!!!
Hakuna chembe ya shaka yoyote juu ya hilo unalozungumzia wewe.
Lakini siyo swala la "mpinzani", Tundu Lissu hapinzani na chochote mbali ya kutaka haki tu itendeke kwa watu wote.
Kutafuta haki hiyo hakupinzani na lolote isipokuwa uovu.
Heche na Lema pia wanajitahidi sana.
Heche na Lema wangekuwa warahisi hivyo sidhani kama Lissu angekuwa Mwenyekiti CHADEMA. Sidhani kama Heche na Lema wanataka dau ambalo chama tawala hawawezi kulitoa.Lema mchumia tumbo yule. Mjanja mjanja tu usimuamini hata kidogo.
Heche anajitahidi ila ana bei yake.
TL ni mmoja ya wapinzani wachache wa kweli waliobakia duniani.
Heche na Lema wangekuwa warahisi hivyo sidhani kama Lissu angekuwa Mwenyekiti CHADEMA. Sidhani kama Heche na Lema wanataka dau ambalo chama tawala hawawezi kulitoa.
Hao jamaa wameamua kusimama wima kama Lissu. Wapewe pongezi zao.
Ndiye aliyekataa hongo na kuhesabu kura za Lissu na Heche hadi wakashinda.Walau nina imani kidogo na Heche ila sio Lema. Yule jamaa ni mjanja mjanja in my eyes. Sina imani nae hata kidogo.
Hupingani na uovu, bali unaukataa au unautokomeza.Kupinga uovu ndo upinzani wenyewe.