Lissu alivyopandishwa Kizimbani Mahakamani

Lissu alivyopandishwa Kizimbani Mahakamani

Yule kilaza wa kizimkazi anamuogopa sana lissu kwenye majukwaa ya kisiasa ndio maana kaagiza asitolewe gerezani!
Uzuri ni kuwa idadi ilishaesabiwa na idadi kujulikana.
Baada ya yeye timu yake nayo itapitishwa kwenye tanuru ya moto kama anavyofanya.
Kisasi kwa kwenda mbele.
 
Huyo jamaa asipoacha ujuaji atafia humo ndani.

Sasa hiyo ndio nini, kuzungusha ngumi kama mwehu.

Anabishana na watu wanatokea majumbani mwao yeye yupo Magereza, stupid.
Wewe na huyo unayemlamba miguu hali zenu hasa zipoje; mbona nyinyi wenyewe ndio kama wafu kabisa?
 
Stupid ni hao wapumbavu wanaotokea nyumbani kwao kwenda mahakamani kulazimisha uongo wao ukubalike ili binaadam mwenzao mwenye akili kuwazidi auliwe kikatili kwa zawadi kiduchu anayogawiwa na dikteta muuaji asiyejali uhai wa mtu yeyote isipokuwa watoto wake wa kuwazaa tu, so stupid
Kajamaa kajinga sana.
 
Kajamaa kajinga sana.
Kutokana na unayoyaandika tu humu mtandaoni; mtu kama wewe, kweli unacho kitu cha kujivunia katika uhai wako wote?
Na usifikiri nimetazama tu haya ya karibuni unayochangia humu; historia yako nzima inaonyesha maisha ya uduni kabisa!
 
Screenshot_20251129-214516~2.png
 
Huyo jamaa asipoacha ujuaji atafia humo ndani.

Sasa hiyo ndio nini, kuzungusha ngumi kama mwehu.

Anabishana na watu wanatokea majumbani mwao yeye yupo Magereza, stupid.
Screenshot_20260616-171056~2.png
 
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu amepandishwa kizimbani katika Mahakama kuu Masjala Ndogo ya Dar es Salaam leo Ijumaa Julai 3, 2026, ambapo anatarajiwa kuchuana na jopo la mawakili wa Serikali kwa hoja za kisheria wakati wa usikilizwaji wa shauri lililofunguliwa dhidi yake na Jamhuri, kuhusiana na kesi ya uhaini inayomkabili.

Jamhuri ilifungua shauri hilo la maombi ya mapitio Februari 24, 2026, ikipinga uamuzi wa Mahakama Kuu, Masjala Ndogo Dar es Salaam, kuikatalia maombi yake ya kutaka iruhusiwe kuwasilisha ushahidi wa nyongeza katika kesi ya uhaini inayomkabili mwanasiasa huyo.

Soma: Rufaa ya Jamhuri katika kesi ya Lissu kusikilizwa leo (Julai 3, 2026) baada ya shauri la msingi kusimama kwa zaidi ya miezi minne

Shauri hilo la mapitio namba 7203216/2026 limepangwa kusikilizwa na jopo la majaji watatu wa Mahakama ya Rufani litakaloketi Dar es Salaam, linaloongozwa na Jaji Augustine Mwarija, Majaji wengine ni Zainabu Muruke na Amour Khamis.


Uyu ndio mnataka awe Rais wa Tanzania 🫎🫎🫎🫎🫎🫎🫎🫎
 
Nilitaka kuandika maneno yafuatayo kwingineko, lakini yanafaa yaunganishwe na haya ya kwako hapa.

Mtanzame kwa makini sana Samia Suluhu Hassan wakati wowote baada ya Oktoba 29; halafu linganisha hali yake hiyo uliyoiona katika mwonekano wake ulio wazi; sasa mtazame Tundu Lissu, tokea awekwe gerezani kwa mashtaka yasiyokuwa na msingi wowote.

Kama wewe usingekuwa mtu unayewafahamu hawa watu wawili, lakini ukaonyeshwa tu mwonekano wa sura zao, ungepata shida kujuwa mwenye mateso makali ni nani kati ya hawa watu wawili?

Hata wanaoitwa "chawa" ukweli huu wanaujuwa; na huko wanakokuita ndani ya CCM ukweli huo upo wazi
Samia na hata Kikwete wote wanajuwa, na dhamira zao zinawaumiza sana ndani kwa ndani.

Unamuumiza mtu unayejuwa hastahili ubaya unaomfanyia, utaanzia wapi kuwa na utulivu moyoni mwako. Mbaya zaidi, mtu huyo anakuonyesha waziwazi kwamba matendo yako juu yake hayamgusi na kumteteresha.

Aina ya watu kama Tundu Lissu ni wachache sana.
baada ya ule mkasa wa lisasi za magufuli, Tundu Lissu alitegemewa kuwa kama mfu, hata kama anaendelea kuishi.

Kwako unene ndio Afya sio!!!!
 
Back
Top Bottom