Lissu aliwahi kusema ukiona watu wanasema wanamuachia Mungu ujue , Something is wrong

Lissu aliwahi kusema ukiona watu wanasema wanamuachia Mungu ujue , Something is wrong

Wajinga ambao hutumia fake I'd , key body warriors ,

Wamekaa, wakisuburi Polepole, Gwajima na Lissu wawapambinie.

Ni ujinga mkubwa Sana huu.

Lissu aliwahi kusema hakuna kumuachia Mungu.
KAMA UNALIPWA BASI SAWA ILA KAMA UNA MAISHA YA KINYEO SUBIRI UPAKIWE MKONGO WA JAMBIA YA ROSTAM
 
Mimi nishalamba Asali na sasa Nina ndugu na jamaa wananitegemea.
Kwa muktadha huo wa ndugu kukutegemea ,kila mtu anategemewa. Na nadhani hata Tundu Lisu ana mpk mke na watoto.

Kwahiyo tuendelee kuvitenga vinyeo vyetu chini halafu Kikwete na Rostam waendelee kuiuza nchi mpk pale Yesu atakaporudi ndiyo atatupigania
 
Ukiwemo wewe na Mimi. Hatuwezi.kujitoa .

Tumekalisha vinyeo kwenye makochi tunachat badala ya kuingia msituni ama barabarani.
Tanzania ni kisiwa cha mataahira, machawa, wadangaji na wanafiki.

Si umemsikia hata Ummy Mwalimu? Amekatwa kiuonevu lkn anafanya unafiki kwa kujifanya hakaumia.

Naomba nirudie: bila kuchapana na kuuana hakutakuwa na mabadiliko
Ukisikia naked truth, ndiyo hii sasa!
 
Wajinga ambao hutumia fake I'd , key body warriors ,

Wamekaa, wakisuburi Polepole, Gwajima na Lissu wawapambinie.

Ni ujinga mkubwa Sana huu.

Lissu aliwahi kusema hakuna kumuachia Mungu.
Wewe nawe ni "key body" warrior? Umepata ajira hivi karibuni ya kuja humu JF kuvuruga mijadala kama wenzio?
 
Tanzania ni kisiwa cha mataahira, machawa, wadangaji na wanafiki.

Si umemsikia hata Ummy Mwalimu? Amekatwa kiuonevu lkn anafanya unafiki kwa kujifanya hakaumia.

Naomba nirudie: bila kuchapana na kuuana hakutakuwa na mabadiliko
Burundi wameuwana miaka na miaka kuna mabadiliko gani?
Uganda wameuwana mbona M7 amefanya uganda 🇺🇬 kuwa mali ya familia?
Rwanda wameuwana mbona hata kauhuru uliko nako chini ya ccm Rwanda hakuna?
Dubai, Qtaar, Denmark, Malaysia,Indonesia waliuana lini mpaka wakapata hayo maendeleo walio nayo?

Tatizo la nchi hii sio ccm bali tatizo la nchi hii ni mfumo mzima wa jamii yetu kiufupi jamii ya kiafrika ni jamii iliyo jaa upumbavu mwingi.
Sasa inashangaza kutaka kupata viongozi bora kutoka ndani ya jamii ya wapumbavu.
Nataka nikuhakikishie hata leo ikatokea ccm ikatoka madarakani kikaingia chama kingine hakuna kitakacho badilika chochote ndani ya nchi hii.
 
Hivi kurogwa huwa wanarogwa maskini tu? Inamaana hakuna uchawi wa kurogo huyu na wahuni wenzie watupishe au wachawi hawajakasilika bado?

Tanzania ni kisiwa cha mataahira, machawa, wadangaji na wanafiki.

Si umemsikia hata Ummy Mwalimu? Amekatwa kiuonevu lkn anafanya unafiki kwa kujifanya hajaumia moyoni wala kuonewa.

Naomba nirudie: bila kuchapana na kuuana hakutakuwa na mabadiliko
I
 
Mkuu enjoy maisha achana na siasa au kuwa kama King Rostam piga madili ya pesa pita mbele.

Nchi hii hakuna aliye serious ukijifanya upo serious sana utapata ugonjwa wa moyo.
 
Ukisikia naked truth, ndiyo hii sasa!
Huwajui waTanzania. Subiri utaona ni jinsi gani walivyo s'ophisticated kuhusu maswala haya.
Hiyo ya kuingia barabarani na watu kuuliwa ni mbinu za kizamani hizo, ambazo matokeo yake hayana uhakika. Si unaona hapo kwa Ruto, kila msimu damu inamwagika, lakini mambo yanabaki vile vile; au kunapatikana mabadiliko 'cosmetic' tu!'
Tanzania can do better than that.
 
Hivi kurogwa huwa wanarogwa maskini tu? Inamaana hakuna uchawi wa kurogo huyu na wahuni wenzie watupishe au wachawi hawajakasilika bado?


I
Majini na uchawi huwa haviwadhuru matajiri. Na ndiyo maana huwezi kuona mwanafamilia wa tajiri kapandisha mashetani/mapepo/majini.

Kwann matajiri hawadhuriki na uchawi ama majini?

Majibu: Matajiri hupata baraka sana kupitia utoaji misaada wanaoufanya na kupitia ajira walizozitoa ktk miradi yao.
----+kila mtu aliyesaidiwa ama kuajiriwa na tajiri humuombea maisha mema na kummiminia mibaraka mingi sana. Mibaraka hii ndiyo huwa kinga dhidi uchawi na majini.
 
Majini na uchawi huwa haviwadhuru matajiri. Na ndiyo maana huwezi kuona mwanafamilia wa tajiri kapandisha mashetani/mapepo/majini.

Kwann matajiri hawadhuriki na uchawi ama majini?

Majibu: Matajiri hupata baraka sana kupitia utoaji misaada wanaoufanya na kupitia ajira walizozitoa ktk miradi yao.
----+kila mtu aliyesaidiwa ama kuajiriwa na tajiri humuombea maisha mema na kummiminia mibaraka mingi sana.
Kwani bongo hakuna masnaiper wa kukodi wafanye kweli mambo yaishe.
 
Tanzania ni kisiwa cha mataahira, machawa, wadangaji na wanafiki.

Si umemsikia hata Ummy Mwalimu? Amekatwa kiuonevu lkn anafanya unafiki kwa kujifanya hajaumia moyoni wala kuonewa.

Naomba nirudie: bila kuchapana na kuuana hakutakuwa na mabadiliko
Nililenga kukujibu wewe, jibu nililompa mkuu ' J. Tenga" hapo juu. Usiwadharau waTanzania hata mara moja. Hizo mbinu za kwenda kuwaangukia barabarani hao wapuuzi viongozi zimepitwa na wakati.

Huyo ummy unayemzungumzia hapo kategeshea fadhila za uteuzi; hilo linafahamika. Si unaona wanavyo 'recycle' mashudu kama akina Stephen Wasira; Rose Migiro na wengineo?
 
Tanzania ni kisiwa cha mataahira, machawa, wadangaji na wanafiki.

Si umemsikia hata Ummy Mwalimu? Amekatwa kiuonevu lkn anafanya unafiki kwa kujifanya hajaumia moyoni wala kuonewa.

Naomba nirudie: bila kuchapana na kuuana hakutakuwa na mabadiliko
Aiseee
 
Back
Top Bottom