Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We unadhani kuna wabunge wangapi na wanajua mangapi wenye acess na internet ya kuingia JF na kuropoka.Kiongozi lazima awe mwajibikaji.
Wengine wanajiudhulu kabisa kisa matendo maovu wewe unazungumzia kusema tuu
Wewe unatak rushwa iendelee kuchukukuliwa uko ndo uozo wa chama ndani uko nje unapaka mafuta lazima transparency ni muhimu kwenye siasa za chama hiyo sio jambo la kifichaChama kinagawanyika sasa, tatizo la kuwa na watu wasiojua kipi kiongelewe mazingira gani, hata kama ni kweli kwamba kuna watu wanachukua rushwa, top officials wanaonywa ndani ya cycle, unless kama mambo yameharibika sana.
Ndio maana kwa maoni yangu sioni kama Lissu ninkiongozi mzuri, japo ni activist mzuri, radicalist mzuri ila uongozi ni package ambayo siamini kama ameibeba yote.
hivi wenje hajawahi kuwa ccm huyu.?Kumbe wenje ni mpuuzi kiasi hicho.
Amegundua chama kina MAMBA wengi kwenye msafara wa kengezz...wacha mvua inyeshe tujue panapovujaLissu kaamua kumwaga ugali..
We unadhani kuna wabunge wangapi na wanajua mangapi wenye acess na internet ya kuingia JF na kuropoka.
Au kuna watumishi wangapi wa umma wana-ona upuuzi unaondelea kwenye wizara zao na wanajua namna wanavyomulikwa.
Jerry akiwa meya wa Dar aliwahi sema kuhusu madawa ya kulevya, ‘ mimi jicho moja naona’ serikali macho yote aoni’ vitu vingine elewa.
Kiongozi wa chama anajukumu la kulinda imani ya chama chake mbele ya wananchi, mnyukano wa ndani upo. Iła vitu mbinu bila ya kuharibu reputation ya chama.
Kwetu kumekucha 👋
SIASA NI KAMA DINI TU WATU WAKIKUAMINI HATA UCHAFUE VIPI HAWAKUSIKII YAANI WATU KWA MBOWE HATA USEME ANAKULA WATU HAWATA KUELEWA WATAMCHAGUA TUMbowe awe makini Sana kwani Lisu muda Siyo mrefu anakwenda kumwaga mboga, hasara itakuwa kwa Mbowe na CHADEMA kwa Ujumla , Lisu Hana chochote cha kupoteza maana hakuna chochote amewahi kunufaika nacho katika hizo biashara za chinichini hapo CHADEMA
Watu wasafi hawapendwi na watu wengi walafi.Ila Lisu kuna nati imelegea.no wonder wakina jiwe walimfanyizia,anaudhi sana.
Kama hii ni kweli basi anafanya kazi nzuri sana ya wapinzani wake wakuu. Kuna mambo ya wananchi na kuna mambo ya wanachama. Sio kila kitu unaongea in public. Kama mume wako ni kikojozi, kumtangaza hadharani hakutasaidia kitu.Wakuu,
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tanzania Bara na 'mgombea' wa nafasi ya Mwenyekiti wa chama hicho Taifa Tundu Lissu amewashukia wale wote wanaodai kuwa miongoni ya watu wanaomuunga mkono katika kinyang'anyiro cha kutafuta nafasi hiyo ni wale ambao mara zote amekuwa akiwatuhumu kuwa wanajihusisha na vitendo vya rushwa ndani ya CHADEMA
Akizunguma na wanahabari kwenye ofisi za makao makuu ya chama hicho zilizopo Mikocheni, jijini Dar es Salaam Desemba 18.2024 ikiwa ni muda mfupi baada ya kurejesha fomu za kuwania nafasi ya Mwenyekiti wa chama hicho Taifa katika mchakato wa ndani wa uchaguzi unaoendelea Lissu amesema amekanusha vikali madai ya kuungwa mkono na watu wanaojihusisha na vitendo hivyo.
Pia soma: Kuelekea 2025 - Freeman Mbowe: Nitatoa uamuzi wa kugombea Uenyekiti siku ya Jumamosi saa 5 asubuhi
Amesema miongoni mwa wale anaowatuhumu mara kwa mara kujihusisha na vitendo vya rushwa mmoja wapo ametangaza dhamira ya kugombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA (ingawa Lissu hajabainisha kama mgombea huyo anatokea upande wa Tanzania Bara au Zanzibar), na kwamba mtu huyo ametangaza hadharani kuwa anamuunga mkono Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Freeman Mbowe katika mchakato huo (ingawa Mbowe mwenyewe ameahidi kutoa msimamo wake ndani ya saa 48)
Aidha, Lissu ameenda mbali zaidi kwa kudai kuwa mtu huyo (anayemtuhumu) ndiye aliyemfuata nyumbani kwake (Tegeta, Dar es Salaam) akiwa ameambatana na mtu mmoja aliyemtaja kwa jina moja la 'Abdul' ambapo wawili hao walifika kumshawishi apokee rushwa, na kwamba walitumia nafasi hiyo kumueleza watu wengine ndani ya chama hicho waliofikiwa na 'Abdul' na 'kuchukua chao', lakini Lissu aliwakatalia
"Mtu aliyemleta Abdul nyumbani kwangu kuja kunihonga anagombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa chama, na amesema kwa maneno yake mwenyewe kuwa anamuunga Mwenyekiti (Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa) mkono, sasa hao wanaosema niliowasema mimi (kuwa wanajihusisha na rushwa) na wananiunga mkono ni kina nani?, ninajuwa aliyemleta Abdul nyumbani kwangu anagombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa chama na amesema anamuunga mkono Mwenyekiti, maana yake mimi najuwa aliyeniambia amepewa hela na Abdul na aliyeniambia wengine waliyepewa hela na Abdul, na ndiye aliyemleta Abdul nyumbani kwangu na ndiye mgombea wa nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa chama, huyo ambaye mimi nimemsema na ananiunga mkono ni nani?" -Lissu
Lisu hata kama sio kiongozi mzuri lakini ndio Mwenye saport kubwa ya wananchi, na Mbowe anasapoti kubwa ya wajumbe aliowatengenezea mazingira washinde. Sasa ni either chama kibaki makao makuu au mkipeleke kwa wananchi uchaguzi ni wenu.Chama kinagawanyika sasa, tatizo la kuwa na watu wasiojua kipi kiongelewe mazingira gani, hata kama ni kweli kwamba kuna watu wanachukua rushwa, top officials wanaonywa ndani ya cycle, unless kama mambo yameharibika sana.
Ndio maana kwa maoni yangu sioni kama Lissu ninkiongozi mzuri, japo ni activist mzuri, radicalist mzuri ila uongozi ni package ambayo siamini kama ameibeba yote.
Wewe tunajua unaclmchukia Lissu sababu alimnyoosha Magufuli na wewe ni mfuasi wa Magufuli kindakindakiAmeshaonyesha hatoshi
Huko serikalini kila mtu angekuwa anamchongea mwenzake sijui ingekuwaje.
Ndio maana, mawaziri wanaapa kutunza siri za nchi.
Hakuna serikali isiyokuwa na mambo ya hovyo duniani. Huko kwenye vyama vya siasa ndio kabisa.
Sasa mtu anaetoa siri za ndani, ndio wakumuamini huyo.
Mambo mengine ni ya ku-leak wengine waseme hiyo ndio political-etiquette sio wewe muhusika kusema direct.
Hivi unadhani CCM walio madarakani au wanasiasa wa nchi zingine wangekuwa wanachongeana. Kungekuwa na chama cha kudumu kweli.
Lissu hajui siasa.
Acheni aanike uovu na Wala rushwa bila kujali unafanywa na nani?. Ni either mumchague Mbowe chama kibaki ofisini au mumchague Lissu chama kiende kwa wananchi uchaguzi ni wenu.Kama hii ni kweli basi anafanya kazi nzuri sana ya wapinzani wake wakuu. Kuna mambo ya wananchi na kuna mambo ya wanachama. Sio kila kitu unaongea in public. Kama mume wako ni kikojozi, kumtangaza hadharani hakutasaidia kitu.
Anapomuunganisha Wenje na Mbowe anatuambia kuwa ile rushwa ilikuwa na baraka za Mbowe. Kuwa Mbowe amekuwa analipwa na wakina "Abdul" miaka yote hii. Hizi ni tuhuma nzito sana. Ingawa wana tofauti zao lengo kuu linatakiwa kukiacha chama chake salama baada ya uchaguzi. Kama ni kweli anayosema kuhusu Wenje angemshughulikia baada ya uchaguzi. Kwa kumshutumu Mbowe kwa mafumbo anajiharibia kwa wale wenye imani nae. Kama ana ushahidi wa dhati kuwa Mbowe analipwa na CCM aseme wazi wazi ili wananchi wamjue na wampe adhabu atakayokuwa anastahili.
Anachofanya sasa ni kuleta mpasuko katika chama ambao itakuwa vigumu kuuziba. Mwisho wa siku faida itakuwa kwa CCM maana kuna watu wa CDM watakaoona bora wajikalie nyumbani kuliko kumpigia kura kama atagombea urais. Anachokifanya sio kizuri kwa mustakabali wa chama chake.
Scorched earth tactics hazijawahi kumuacha mtu salama. Ego yake inampeleka pabaya. Na akiwa Mwenyekiti tusubiri purge na witch hunt kubwa katika chama chake.
Yetu macho.
Amandla...
Kuna wanasiasa wapumbavu pia na kuna siasa za kipumbavu pia wewe itakuwa unazungumzia wanasiasa wapumbavu na siasa za kipumbavu..maana katika siasa na wanasiasa wapumbavu ndiyo ufuata hiyo kanuni yako...nimesha gundua naongea na mtu mpumbavu piaKaka utakuwa sio mwanasiasa.
Vinginevyo mwanasiasa utoi siri za ndani.
Hata sisi wa nje tunaongea jumla jumla tu kwenye kuwananga watu ambao tuna details zao za kina.
Wanaotuambia ni kwa sababu wanaelewa tunajua siasa na mipaka ya kuongea.
Seuse mtu aliekuwa makamu mwenyekiti wa chama anajua mangapi.
Lissu ni mchanga wa siasa, ni sawa akipewa umbea wa Ma-CCM na kuwalipua kwa hizo taarifa.
Mambo ya ndani ya CDM anatakiwa awape wengine wa nje waseme, wacha source ijulikane mmbeya nini yeye.
Lakini Lissu kama yeye hawezi toa siri za chama.
Probability of an event to occur is 0.95.Pengine hata Mwenyekiti atakuwa analazimishwa na kina Abdul aendelee kuwa Mwenyekiti.
Siasa hizi ni biashara mkuu, Tundu anataka kutoka nje ya mfumo ndio maana unaona watu wengi ndani ya chama wamechanganyikiwa na wapambe wa CCM pia wamechanganyikiwa.
Utachanganya sana lùgha ila Lissu ni mtu makini mno ndio maana maccm hamumpendiThe gentleman is completely a looser in everything in politics kwasabb ya mdomo, papara na tamaa 🐒