sonofobia
JF-Expert Member
- Jun 21, 2015
- 1,171
- 4,295
- Thread starter
- #121
Haya unayosema yanafanywa na Lissu?Ukiwa na waridi ni lazima unukie waridi,ama amini nje ya waridi inaweza kuwa na marashi yasiyowavutia wengi,demokrasia ya Sasa ni ya hovyo kabisa,usiposhinda wamehujumu,badala ya kufanya propoganda Sasa mwendo wa kuzusha,kupagazie,kushutumu,kuzira na kuyumbisha.