Pre GE2025 Lissu: Aliyeshika chupa ya damu nikipelekwa Nairobi ni Msigwa (sio Mbowe)

Pre GE2025 Lissu: Aliyeshika chupa ya damu nikipelekwa Nairobi ni Msigwa (sio Mbowe)

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kwa hiyo Lissu anaichafua chadema kusema ukweli aliyemsaidia kushika chupa ni msigwa sio mbowe
Wapi kasema aliyeshika ni Msigwa na si Mbowe!? Nataka unioneshe alipotaja jina la Mbowe. Acheni uchawi
 
Lissu hakuwa na fahamu,Mbowe kaweka kila kitu wazi sijui kwanini unapenda ligi.

Mtoa mada kapotosha.Mod ikiwapendeza pandishe clip ya Jokakuu kuondoa sintofahamu.

..labda kavuta toka kwa Abduli.
 
Ukiandika habari moja ya kuchafua Chadema jf, Unalipwa Laki 1 kutoka kwa Pedeshee, ndio maana wanapishana humu na muda si mrefu wataanza kulogana
nimeshangaa sana na kuna mtu kapewa seniour member ndani ya siku mbil kajiunga jumanne alhamisi ni swniour member. Yaani kweli JF inatia wasiwasi sana mpaka naogopa!🤔
 
Kwa mara ya kwanza naanza kupata wasiwasi na uwezo wa Mheshimiwa Lissu katika namna kuendesha siasa zake.

Ni wazi tena pasipo shaka Lissu hadi kesho ni mgombea uRais wa Chadema lakini njia anayoitumia hakika hatofika mbali wala hawezi kushinda uRais iwapo atakuwa sehemu ya vurugu ndani ya chama chake.

Kumbe Lissu ni mjinga sana.Katika siasa huwezi kusonga mbele kama unajiweka ktk eneo la vurugu ndani ya base yako mwenyewe.
Hivi hayo matamshi yake aliongea kabla ya Lema na Msigwa au baada yao? Mbona kama aliongea before na hakuhusisha na comment ya Lema na Msigwa?
 
..Mbowe huyu hapa anaeleza kila kitu.

..Na anasema aliyeshika chupa ya damu ni Msigwa.

..Mbowe hajawahi kusema kuwa yeye ndiye alishika chupa ya damu.

View: https://www.youtube.com/watch?v=fyDrDx9HHAQ

My
nimeshangaa sana na kuna mtu kapewa seniour member ndani ya siku mbil kajiunga jumanne alhamisi ni swniour member. Yaani kweli JF inatia wasiwasi sana mpaka naogopa!🤔
... isije ikawa ni member wa zamani kidogo aliyebadili jina!
 
Hivi hayo matamshi yake aliongea kabla ya Lema na Msigwa au baada yao? Mbona kama aliongea before na hakuhusisha na comment ya Lema na Msigwa?

..Ni clip ambayo imekatishwa ili kuakisi uzushi wa mtoa mada.

..wakati Lissu yuko nje ya nchi Mbowe alikwenda Ikungi Singida na alisimulia mkasa mzima wa kutoa Lissu Dodoma kwenda Nairobi.

..Mbowe alisema Msigwa ndiye aliyesema chupa ya damu kwa ajili ya Lissu wakati wakiwa ktk ndege kwenda Nairobi.

..pia alieleza kwamba yeye, Mbowe, alikuwa ameshikilia mtungi wa gesi kwa ajili ya Lissu.

..Ccm wameshindwa kujibu hoja za Lissu ktk mikutano yake mkoani Singida hivyo wameamua kufanya propaganda.
 
Kwa mara ya kwanza naanza kupata wasiwasi na uwezo wa Mheshimiwa Lissu katika namna kuendesha siasa zake.

Ni wazi tena pasipo shaka Lissu hadi kesho ni mgombea uRais wa Chadema lakini njia anayoitumia hakika hatofika mbali wala hawezi kushinda uRais iwapo atakuwa sehemu ya vurugu ndani ya chama chake.

Kumbe Lissu ni mjinga sana.Katika siasa huwezi kusonga mbele kama unajiweka ktk eneo la vurugu ndani ya base yako mwenyewe.
Sio Lissu tu, mtu yoyote ataemnyooshea kidole Mbowe wenu mtamuita mjinga na majina yote ya kumdhalilisha.
 
..labda kavuta toka kwa Abduli.
Duh leo hii Lissu amekuwa mla rushwa tena amenunuliwa na Abdul sababu tu anautaka uenyekiti wa Chadema!!? mungu Mbowe sio mchezo.
 
..Ni clip ambayo imekatishwa ili kuakisi uzushi wa mtoa mada.

..wakati Lissu yuko nje ya nchi Mbowe alikwenda Ikungi Singida na alisimulia mkasa mzima wa kutoa Lissu Dodoma kwenda Nairobi.

..Mbowe alisema Msigwa ndiye aliyesema chupa ya damu kwa ajili ya Lissu wakati wakiwa ktk ndege kwenda Nairobi.

..pia alieleza kwamba yeye, Mbowe, alikuwa ameshikilia mtungi wa gesi kwa ajili ya Lissu.

..Ccm wameshindwa kujibu hoja za Lissu ktk mikutano yake mkoani Singida hivyo wameamua kufanya propaganda.
Mimi nimemnukuu Lema ndio maana umepuuzwa sababu hujui unachokielezea umechanganyikiwa na balaa la Lissu
 
nimeshangaa sana na kuna mtu kapewa seniour member ndani ya siku mbil kajiunga jumanne alhamisi ni swniour member. Yaani kweli JF inatia wasiwasi sana mpaka naogopa!🤔
Aliyejuu GA jumanne ni nani kamanda?

Lissu ndio amewavuruga kiasi hiki?
 
Drip ya damu alishika Msigwa mbowe alipampu oksijeni Lissu asijizime data
Hapa Kuna kundi la wavuta weed dhidi ya wasovuta🤣🤣🤣 Sugu,Lema na Mbowe Vs Lissu,Msigwa,Mnyika.
Kiufupi lisu na Mbowe wanaamini mama anaweza kuwa mrahisi kwenye uchaguzi so wote wanataka kugombea nae 2025!!!
Wajipange lasivyo chama kinaenda kupotea maana sisem wanapenyeza majungu na fweza
 
Attachments

  • F640BBD3-A09D-4AE8-BDAF-06D9011F801E.jpeg
    F640BBD3-A09D-4AE8-BDAF-06D9011F801E.jpeg
    77.3 KB · Views: 1
Kamanda Lissu baada ya kumgusa mbowe amekosa fikra pevu?
Haya ni matusi.
Ukiwa na waridi ni lazima unukie waridi,ama amini nje ya waridi inaweza kuwa na marashi yasiyowavutia wengi,demokrasia ya Sasa ni ya hovyo kabisa,usiposhinda wamehujumu,badala ya kufanya propoganda Sasa mwendo wa kuzusha,kupagazie,kushutumu,kuzira na kuyumbisha.
 
Back
Top Bottom