Pre GE2025 Lissu: Aliyeshika chupa ya damu nikipelekwa Nairobi ni Msigwa (sio Mbowe)

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Haya unayosema yanafanywa na Lissu?
 
Vipi unaumia?

Vumilia ndio kwanza kunakucha. Lissu sio chacha wangwe.
CCM wanafurahi kwa Mbowe kupisha uenyekiti. Ila watajua hawajui kwani totafuti ya Mbowe na Lissu ni kwamba Mbowe ni mstaarabu hataki vurugu na msikivu, Lissu ana misimamo ambayo haivumili chadema hii ya wanyonge haitakuwa hivyo tena under Lissu. Hivyo ni disadvantage kwa CCM. Mark my word.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…