Ccm wanaogopa hadi bendera tuu za chadema wanahangaika kuzishusha utafikiri bendera zile ndio watu. Chadema ipo mioyoni kwa watu haifi leo wala kesho. Kubalini tuu kuishi na chadema kama mlivyo kubali kuishi na Ukimwi siku zote.Nyerere mwenyewe alishawahi ulizwa ni chama gani anapendezwa na sera zake, akasema CHADEMA. Hiyo speech serikali ya CCM wameificha mpaka kesho
CCM ni kikundi Cha hooligans!Ccm wanaogopa hadi bendera tuu za chadema wanahangaika kuzishusha utafikiri bendera zile ndio watu. Chadema ipo mioyoni kwa watu haifi leo wala kesho. Kubalini tuu kuishi na chadema kama mlivyo kubali kuishi na Ukimwi siku zote.
KIbaraka wa nani?Sitaki hata kukusukia kwa jinsi nisivyokupend lissu. Wewe ni kibaraka mkubwa usiyokua na chembe ya aibu.
Ulisema vyemaCcm wanamuogopa Mbowe kama wanavyo iogopa katiba mpya.
Ulisema vyema kabisaMbowe ni CHADEMA na CHADEMA ni Mbowe.
Bila Mbowe hakuna CHADEMA.
Ila BAVICHA wakisha kula mirungi, wanasema CHADEMA ni Taasisi.
Labda taasisi ndio Mbowe.
Hahaha nashangaa watu wengine hawajivunii mwenyekiti Mbowe.Ndiyo maana wana cdm tunajivunia sana kuwa na mwenyekiti mwenye msimamo usiyo yumbishwa.
Ule usemi wa tulianza na Mungu wala hatukuuokota mitaani bali ulikuwa na chanzo chake na maana yake halisi.
Saa hizi wanampigia kampeni humu aendelee kuwa mwenyekiti.Ccm wanamuogopa Mbowe kama wanavyo iogopa katiba mpya.
Ulisema vemaKatika vetting bora Kuwai kufanyika Tanzania ni hii ya mbowe kuwa mwenyekiti
Other wise chadema ingekuwa tayari ni historia.
Kama ilivyo kwa CUF, NCCR, TADEA, UDP na ACT
Sitaki hata kukusukia kwa jinsi nisivyokupend lissu. Wewe ni kibaraka mkubwa usiyokua na chembe ya aibu.
Hahaha kumbe mnamfahamu mropokaji.Mbowe andika kitabu cha maisha yako kuna kitu inabidi watu na hasa vijana wajifunze !
Sasa huyu mwamba ndo unataka umlinganishe na mropokaji.Huyo mropokaji haingii hata chembe kwa mwamba huyu !
Hahaha hawaelewi, wape abc zake wamtambue.Sitaki hata kukusukia kwa jinsi nisivyokupend lissu. Wewe ni kibaraka mkubwa usiyokua na chembe ya aibu.
HahahaLisu anambana Mbowe tena?
Hahaha kweli kabisaUpo sahihi na ndiyo maombi ya CCM hayo
Hahaha ulijuaje?Mbowe n sawa na MESSI BACELONA AU MO PALE SIMBA