Lissu ambana Mbowe: Aelezea Historia yake, adai hajawahi omba kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA, "Nimekijenga chama kwa jasho na nguvu zangu"

Lissu ambana Mbowe: Aelezea Historia yake, adai hajawahi omba kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA, "Nimekijenga chama kwa jasho na nguvu zangu"

Haya mahojiano ya Mhe. Lissu na Mhe. Mbowe nimejifunza vingi.

Kuna watu wana exposure kwenye nyanja nyingi kuanzia Kijamii na Kiuchumi ndiyo maana wanafanikiwa.

Imagine Mbowe ameanza biashara akiwa na miaka 20's, ana connect ndege kutoka Jiji moja hadi lingine at that age.

Ndiyo maana Mkuu The Boss aliwahi kuandika kuwa Mbowe ni mtoto wa Mjini kitambo.

Kama miaka ya 1990 anachangia chama milioni 1 kutoka kwenye akaunti yake binafsi, ina maana zilikuwa nyingi ndiyo maana alitoa kiasi hicho 🙌

Anyways, sio vibaya kujifunza kwa waliofanikiwa
 
Nyerere mwenyewe alishawahi ulizwa ni chama gani anapendezwa na sera zake, akasema CHADEMA. Hiyo speech serikali ya CCM wameificha mpaka kesho
Ccm wanaogopa hadi bendera tuu za chadema wanahangaika kuzishusha utafikiri bendera zile ndio watu. Chadema ipo mioyoni kwa watu haifi leo wala kesho. Kubalini tuu kuishi na chadema kama mlivyo kubali kuishi na Ukimwi siku zote.
 
CCM ni genge la kigaidi linalotumia mabavu ya vyombo vya dola kuendelea kutawala
 
Mimi leo mpaka kesho kutwa Mbowe anastahili kuendelea kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA.
 
Mbowe andika kitabu cha maisha yako kuna kitu inabidi watu na hasa vijana wajifunze !
Sasa huyu mwamba ndo unataka umlinganishe na mropokaji.Huyo mropokaji haingii hata chembe kwa mwamba huyu !
 
Ndiyo maana wana cdm tunajivunia sana kuwa na mwenyekiti mwenye msimamo usiyo yumbishwa.

Ule usemi wa tulianza na Mungu wala hatukuuokota mitaani bali ulikuwa na chanzo chake na maana yake halisi.
Hahaha nashangaa watu wengine hawajivunii mwenyekiti Mbowe.
 
Sitaki hata kukusukia kwa jinsi nisivyokupend lissu. Wewe ni kibaraka mkubwa usiyokua na chembe ya aibu.
1000228167.jpg
 
Mbowe andika kitabu cha maisha yako kuna kitu inabidi watu na hasa vijana wajifunze !
Sasa huyu mwamba ndo unataka umlinganishe na mropokaji.Huyo mropokaji haingii hata chembe kwa mwamba huyu !
Hahaha kumbe mnamfahamu mropokaji.
 
Back
Top Bottom