stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 7,134
- 4,556
huyu dogo hua ni famba, ni kama alitoroka milembe sjawahi kuelewa anaongeaga nnSasa mtu kama mmawia unategemea akili atoe wapi mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huyu dogo hua ni famba, ni kama alitoroka milembe sjawahi kuelewa anaongeaga nnSasa mtu kama mmawia unategemea akili atoe wapi mkuu
Kamuulize jiwehehehe kwahio story ya zitto itakuaje sasa
zitto yuko ccm?Upo sahihi na ndiyo maombi ya CCM hayo
Mbowe kama ameweza kutomboa kwa Dikteta na Ndugai sidhani kama kuna kigingi kingineNdiyo maana wana cdm tunajivunia sana kuwa na mwenyekiti mwenye msimamo usiyo yumbishwa.
Ule usemi wa tulianza na Mungu wala hatukuuokota mitaani bali ulikuwa na chanzo chake na maana yake halisi.
Ccm imuogope Mbowe?Mwamba anaunguruma .
Mwenyekiti wangu mie huyo.[emoji1422]
Yaani utabaki kuwa Mwenyekiti ili MaCCM yaendelee kuzima mmoja bada ya mwingine .. DADEKI..[emoji1494][emoji1736][emoji1494][emoji1736][emoji1494][emoji1736][emoji1494]
leo lumumba na Chamwino washapata kazi yakuwaingizia hela. Ni kumtukana Mzee Mbowe, mpaka vijasho vya kwapani viwatie fangasi. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
MaCCM yanamuogopa sana Mbowe.
[emoji1422][emoji1422][emoji1422][emoji1422][emoji1422][emoji1422][emoji1422][emoji1422]
ACT na CCM kuna tofauti?zitto yuko ccm?
Kamuulize jiwe
Hakuna tenaMbowe kama ameweza kutomboa kwa Dikteta na Ndugai sidhani kama kuna kigingi kingine
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Kwani hicho chama chenu mbona cha hovyo sana mpaka kinawekewa wagombea na ccm?Acha Nyalandu kuna yule Mwambe aligombea uenyekiti huku akiunga juhudi. Sishangai alipojiuzulu ubunge Ndugai akamfuata nyumbani kurudi bungeni. Bora ya Mbowe mara elfu kuliko vichomi toka Ccm
ACT na CCM kuna tofauti?
Sure, Dikteta mpaka akaamua kujifiaHakuna tena
Kwahiyo Mbowe ataishi milele?Upo sahihi na ndiyo maombi ya CCM hayo
Kama mimi sijawahi kuelewa unachoandika hapa jf.toka nmejiungaga sjawahi kuelewaga point yako haya moja [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] , yaaani ni lifamba tu lipo chadema!
Mungu siyo YosefuSure, Dikteta mpaka akaamua kujifia
Waliotaka afe karibu wote wamekufa amebaki mmoja tu, yule kichaa wa kigogoKwahiyo Mbowe ataishi milele?
Vipi kwani?Tatizo unawaza kwa kinyumenyume
Hafi mtu siyo Jiwe hilo [emoji16][emoji23][emoji1787][emoji23] [emoji23] [emoji23] Kwani hicho chama chenu mbona cha hovyo sana mpaka kinawekewa wagombea na ccm?
Alafu Mbowe akifa mtafanyaje sasa?
Hakuna namna MUNGU yupo upande wetuMungu siyo Yosefu
Sure, Dikteta mpaka akaamua kujifia