Lissu ambana Mbowe: Aelezea Historia yake, adai hajawahi omba kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA, "Nimekijenga chama kwa jasho na nguvu zangu"

Lissu ambana Mbowe: Aelezea Historia yake, adai hajawahi omba kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA, "Nimekijenga chama kwa jasho na nguvu zangu"

Ndiyo maana wana cdm tunajivunia sana kuwa na mwenyekiti mwenye msimamo usiyo yumbishwa.

Ule usemi wa tulianza na Mungu wala hatukuuokota mitaani bali ulikuwa na chanzo chake na maana yake halisi.
Mbowe kama ameweza kutomboa kwa Dikteta na Ndugai sidhani kama kuna kigingi kingine
 
Mwamba anaunguruma .
Mwenyekiti wangu mie huyo.[emoji1422]
Yaani utabaki kuwa Mwenyekiti ili MaCCM yaendelee kuzima mmoja bada ya mwingine .. DADEKI..[emoji1494][emoji1736][emoji1494][emoji1736][emoji1494][emoji1736][emoji1494]

leo lumumba na Chamwino washapata kazi yakuwaingizia hela. Ni kumtukana Mzee Mbowe, mpaka vijasho vya kwapani viwatie fangasi. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
MaCCM yanamuogopa sana Mbowe.
[emoji1422][emoji1422][emoji1422][emoji1422][emoji1422][emoji1422][emoji1422][emoji1422]
Ccm imuogope Mbowe?

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Muulize sasa ana wabunge wangapi kule mjengoni?

Mwingine kakimbilia ublgiji ana hamu na ccm!

Mbowe ni kinyangalika tu mbele ya ccm! Mtu aliefeli mara 4 kuwainua chadema kwenda ikulu ccm itamuogopaje?
 
Acha Nyalandu kuna yule Mwambe aligombea uenyekiti huku akiunga juhudi. Sishangai alipojiuzulu ubunge Ndugai akamfuata nyumbani kurudi bungeni. Bora ya Mbowe mara elfu kuliko vichomi toka Ccm
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Kwani hicho chama chenu mbona cha hovyo sana mpaka kinawekewa wagombea na ccm?

Alafu Mbowe akifa mtafanyaje sasa?
 
toka nmejiungaga sjawahi kuelewaga point yako haya moja [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] , yaaani ni lifamba tu lipo chadema!
Kama mimi sijawahi kuelewa unachoandika hapa jf.
Utakuwa ni chizi maalifa uliye rogwa na jirani yako.
 
Tatizo unawaza kwa kinyumenyume
Vipi kwani?

Msukuma si ni sukuma gang? Inakuwaje tena chama kiwe mikononi mwao?

Kumbe nyumbu huwa mnacoment na kusahau mnachocoment.
 
Back
Top Bottom