Lissu ambana Mbowe: Aelezea Historia yake, adai hajawahi omba kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA, "Nimekijenga chama kwa jasho na nguvu zangu"

Ningependa niweke wazi na Watanzania wakielewe, sijawahi kuomba kuwa mwenyekiti kwa mtu yeyote, mwaka 2004 nilikuwa Mwenyekiti baada ya wajumbe wa kamati kuu na wazee wa Chadema kunipendekeza kutokana na historia na commitment yangu ya chama.

Nilianza harakati za kuijenga Chadema baada ya kuona kinasinzia mwaka 2000, nikiwa na Dk. Wilbrod Slaa na wengine watatu, tulitoa magari yetu tukatembea nchi nzima kufanya mikutano. Nikaenda vyuo vikuu kutafuta wanafunzi walioonesha mwelekeo wa kuwa viongozi.

Credit: Mwanahalisi
The Whole truth
 
Katika vetting bora Kuwai kufanyika Tanzania ni hii ya mbowe kuwa mwenyekiti

Other wise chadema ingekuwa tayari ni historia.

Kama ilivyo kwa CUF, NCCR, TADEA, UDP na ACT
Na siku CDM wakijidai kumwangusha Mboye itakuwa hadithi fasta!!!!
 
Ningependa niweke wazi na Watanzania wakielewe, sijawahi kuomba kuwa mwenyekiti kwa mtu yeyote, mwaka 2004 nilikuwa Mwenyekiti baada ya wajumbe wa kamati kuu na wazee wa Chadema kunipendekeza kutokana na historia na commitment yangu ya chama.

Nilianza harakati za kuijenga Chadema baada ya kuona kinasinzia mwaka 2000, nikiwa na Dk. Wilbrod Slaa na wengine watatu, tulitoa magari yetu tukatembea nchi nzima kufanya mikutano. Nikaenda vyuo vikuu kutafuta wanafunzi walioonesha mwelekeo wa kuwa viongozi.

Credit: Mwanahalisi
Endelea Kuwa Mwenyeki umefanya kazi kubwa na umetoa somo
 
Ningependa niweke wazi na Watanzania wakielewe, sijawahi kuomba kuwa mwenyekiti kwa mtu yeyote, mwaka 2004 nilikuwa Mwenyekiti baada ya wajumbe wa kamati kuu na wazee wa Chadema kunipendekeza kutokana na historia na commitment yangu ya chama.

Nilianza harakati za kuijenga Chadema baada ya kuona kinasinzia mwaka 2000, nikiwa na Dk. Wilbrod Slaa na wengine watatu, tulitoa magari yetu tukatembea nchi nzima kufanya mikutano. Nikaenda vyuo vikuu kutafuta wanafunzi walioonesha mwelekeo wa kuwa viongozi.

Credit: Mwanahalisi
Wanafaidi toka kwako.unawaonga wajumbe,
 
Chama ni chako mkuu wewe endelea tu.

Hata Museven na Kagame wanachaguliwa na wananchi, sasa kama wananchi wenyewe wanawapenda wao ni nani wawakatalie?
Kwamba Mbowe anaiba kura kama hao madikteta? Kuna madhaifu unaweza kuyasema ila sio Mbowe kuiba kura......

Ndio chama pekee kilichokua kwa kasi kuliko vyama VYOTE Tanzania tokea ashike uenyekiti. Kuna muda tutoe credits hta kama mioyo yetu haikubali ukweli.
 
Katika vetting bora Kuwai kufanyika Tanzania ni hii ya mbowe kuwa mwenyekiti

Other wise chadema ingekuwa tayari ni historia.

Kama ilivyo kwa CUF, NCCR, TADEA, UDP na ACT
Mara kadhaa inashauriwa kujenga taasisi na sio Mtu.
 
Kwamba Mbowe anaiba kura kama hao madikteta? Kuna madhaifu unaweza kuyasema ila sio Mbowe kuiba kura......

Ndio chama pekee kilichokua kwa kasi kuliko vyama VYOTE Tanzania tokea ashike uenyekiti. Kuna muda tutoe credits hta kama mioyo yetu haikubali ukweli.
Kukua kunategemea vitu vingi. Hata kizazi kimebadilika.

Mbowe siyo jiwe. Hata Nyerere aliitendea sana haki Tanzania, Afrika na nchi nyingi tu na aliondoka madarakani wakati watu bado wanamtaka.

Hili la kukaa kwenye chama eti kwasababu umesaidia chama hata kina Museven, Mugabe na Kagame wanafanya. Kwamba wakiunganisha nchi, kukuza uchumi au kukomboa nchi zao.

Mbowe siyo Jiwe, sasa bila yeye tujue hakuna CHADEMA.
 
Leo hii dr Slaa anaitwa dr Mihogo na misukule yako huku wengine wakiambatanisha na matusi, ww kama mwenyekiti umeshindwa kutoka hadharan kuwakemea hao mbwe.ha koko waliokuwa wanamchafua yule mzee alietumia nguvu zake na mali zake kupigania chama. Ilifikia kipindi dr Slaa alionekana hana thaman hata mbele ya "mr zero" kisa tu mshiko wake aliotumia kuhonga chama. Ki ukweli na bado dhambi ya kumtukana na kumdhalilisha dr Slaa itaendelea kukitafuna chama na wanachama kwa ujumla. Hongera pesa kwa kutuonesha ni nani mwenye roho ya utu na nani mwenye roho ya kutu.
Hata Zitto aliijenga sana CHADEMA hasa kwa vijana kuanza kupenda siasa na ndio mwanzo wa CHADEMA kukubalika na vijana na wasomi. Lakini asiitwe msaliti kisa alichofanya 2011-14?

Hta Lipumba licha ya kukosana na Seif ila bado alikiri mchango wake kuijenga CUF hadi kufika ilipofika.

So mchango wa Dk. Slaa haubadili usaliti wake. Na sio tu Mr Zero bali jimboni kwake walimkataa na kuipa kura CHADEMA ambazo hazikuwahi patikana Karatu tokea vyama vingi vianze. So msijaribu kudai waliomkataa ni kisa pesa, jimbo zima lilihongwa??

Hvi uliona maandamano ya kumsupport dr.Slaa yalivokua na watu 50 tu ubungo nzima!! Can u compare na maandamano ya kumpokea Mbowe mwanza? Get serious brother
 
Kukua kunategemea vitu vingi. Hata kizazi kimebadilika.

Mbowe siyo jiwe. Hata Nyerere aliitendea sana haki Tanzania, Afrika na nchi nyingi tu na aliondoka madarakani wakati watu bado wanamtaka.

Hili la kukaa kwenye chama eti kwasababu umesaidia chama hata kina Museven, Mugabe na Kagame wanafanya. Kwamba wakiunganisha nchi, kukuza uchumi au kukomboa nchi zao.

Mbowe siyo Jiwe, sasa bila yeye tujue hakuna CHADEMA.
Katiba ya chama chake inamruhusu unless hoja yako ielekezwe kwa kamati kuu kuwa wafanye ammendment hiko kipengele simple as that.
 
Mwamba .... watu wamekushambulia wee ila wameambulia patupu - na wengine kama mnavyojua tena...
 
Hata Zitto aliijenga sana CHADEMA hasa kwa vijana kuanza kupenda siasa na ndio mwanzo wa CHADEMA kukubalika na vijana na wasomi. Lakini asiitwe msaliti kisa alichofanya 2011-14?

Hta Lipumba licha ya kukosana na Seif ila bado alikiri mchango wake kuijenga CUF hadi kufika ilipofika.

So mchango wa Dk. Slaa haubadili usaliti wake. Na sio tu Mr Zero bali jimboni kwake walimkataa na kuipa kura CHADEMA ambazo hazikuwahi patikana Karatu tokea vyama vingi vianze. So msijaribu kudai waliomkataa ni kisa pesa, jimbo zima lilihongwa??

Hvi uliona maandamano ya kumsupport dr.Slaa yalivokua na watu 50 tu ubungo nzima!! Can u compare na maandamano ya kumpokea Mbowe mwanza? Get serious brother
Mkuu kwanza nikusahihishe.. Kura nyingi zilizopatikana huko Karatu mwaka 2015, hazikuwa za Chadema pekee bali ni za wanachama wote wa vyama vilivyojiunga na kujiita Ukawa. Sasa unapo compare chaguzi ambazo Chadema ilisimama yenyewe na hii ambayo ilisimama na vyama vingine (zaidi ya kimoja) vya siasa unakosea. Pili Mbowe ana pesa ya kuweza kuwahonga wanywa viloba, mateja nk wakampokee kwa shangwe na vigeregere ili kulaghai umma kuwa anapendwa, wakati dr Slaa yeye ni mtu wa uwezo wa kawaida tu kama mimi na ww, hawezi kuhonga watu wa kumpokea. La mwisho kbs kama mwenyekiti anakiri kuwa ktk watu waliojenga chama kwa gharama zao dr Slaa nae alikuwepo ni nini kilichomfanya abadili gia angani kwa kuruhusu mafisadi na mamluki wengine kutoka CCM waje kugombea nafasi mbali mbali za uraisi, ubunge na udiwani huku akiwaacha wafia chama kama kina dr Slaa eti waje wampigie deki Lowasa barabarani apite
 
Back
Top Bottom