- Thread starter
- #21
Fikiria vizuri swali lako, kwani marais tunaowachagua walishawahi kuwa marais wakati mwingine?Lisu hajawahi kuwa top leader.
Huko kutofaa umekupimaje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fikiria vizuri swali lako, kwani marais tunaowachagua walishawahi kuwa marais wakati mwingine?Lisu hajawahi kuwa top leader.
Huko kutofaa umekupimaje?
Mwambie aseme mwingine tena tuone utabiri wake sio wa kubahatishaNashindwaje kumuamini mtu aliyesema waziwazi Magu atakufa na kweli ikawa hivyo.
Lema aliyeshiriki kila operation ya CDM toka 2005
Lissu ameomba kuwa mwenyekiti wa chama na sio kiongozi mkuu wa chamaWatu kama Tundu Lissu wana nafasi yao ndani ya vyama vya siasa. Machachari ya Tundi Lissu yanafaa sana kuibua hamasa kwa wanachi.
Si mmeona CCM wamepotea kwenye anga tangu kinyang'anyiro cha uchaguzi ndani ya CHAMA kilipoanza mwaka jana mwishoni?
Ni kama Paul Makonda, anaweza kukusanya watu wengi kuliko mwenyekiti wa CCM lakini huwezi kamwe kumpa Makonda uenyekiti, hata uenezi tu ulimshinda.
Ndivyo ilivyo kwa Lissu. Nafasi ya Lissu ndani ya CHAMA sio kuwa mwenyekiti, CHADEMA tunakosea, Lissu anafaa sana kuendelea na nafasi za chini ya mwenyekiti wa CHAMA.