sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,704
- 9,932
Sio red brigade kile kikosi cha kupiga viongozi wa kitaifa ni zaidi ya interehamweRed brigade iliishia wapi.
Kuna haja ya kufufuliwa kama haipo.
Chadema wanapaswa waunde vikundi vya wajilinda.
Kwenye hili wasisikilize mtu.
Green guard wapo wao mbona.
Chama kimekuwa kama kikundi cha vibaka.Wananchi waliwapa tumaini mwanzoni na kuwaamini hadi kuwapambania..
Baadae wakagundua na nyie ni walambaji wa asali wazuri..
Sasa hizo si aibu kabisa mnapigana hadi mnataka kuuana..
Hii hoja ni kama nimeilewa flani..Kwa maoni yangu ambae nimeifuatilia CHADEMA tangu inaanzishwa, naona kipindi hiki cha Lissu CHADEMA imejipata barabara, hao wana CHADEMA wachache unaowasikia wakienda kinyume na "MOVEMENT' hii ya LISSU, ndio waliokuwa wanachelewesha "NO REFORM, NO ELECTION'. Kuhusu mipasuko, hakuna chama kisicho na nyufa ndani kwa ndani, cha msingi ni kuendelea kuziziba pale zinapotokeza. Nawashauri CHADEMA wapigilie hapohapo. 😛 😛 😛 😛
Duh chama au panya road?Kwa maoni yangu ambae nimeifuatilia CHADEMA tangu inaanzishwa, naona kipindi hiki cha Lissu CHADEMA imejipata barabara, hao wana CHADEMA wachache unaowasikia wakienda kinyume na "MOVEMENT' hii ya LISSU, ndio waliokuwa wanachelewesha "NO REFORM, NO ELECTION'. Kuhusu mipasuko, hakuna chama kisicho na nyufa ndani kwa ndani, cha msingi ni kuendelea kuziziba pale zinapotokeza. Nawashauri CHADEMA wapigilie hapohapo. 😛 😛 😛 😛
Kamanda lisu, aka dikiteta uchwara, fukuza wote wasiokuunga mkono. Wewe ndiye mwenyekiti wa chama, tumia mamlaka ya uenyekiti wako kuwanyoosha wote wasiokubaliana na wewe. Ukiwaacha watakukwamisha, halafu watageuka na kusema ... "mnaona uenyekiti umemshinda."Lakini yeye amekuwa mbabe anataka kukiendesha chama kwa mkono wa chuma.
Moja ya sifa kubwa ya kiongozi kwenye taasisi yoyote ni uwezo wa kuunganisha watu, kusuluisha migogoro na kujenga timu.
Kinachotokea sasa hivi CHADEMA ni dhahiri kwamba mwenyekiti wa chama na wasaidizi wake wameshindwa kuifanya chadema kuwa moja.
Chama kimekuwa hakuna masikilizano, hakuna kuheshimiana, hakuna amani, hakuna umoja.
Makundi ya uchaguzi yameshindwa kuvunjwa na wote kwenye chama kuongea lugha moja.
Yote hii ni sababu ya udhaifu wa kiuongozi wa mwenyekiti Tundu Lissu. Lissu amekuwa mwenyekiti ila ni kama bado yupo kwenye mood ya uchaguzi bado anawaona watu waliomuunga mkono Mbowe ni maadui zake. Afanyi jitihada zozote kuwaunganisha wanachama.
Chadema nusu ya wanachama hawakumuunga mkono wakati wa uchaguzi, kwa kiongozi mwenye akili kabla ya kufanya intervention yoyote alipokabidhiwa chama alitakiwa awe humble na kuridhiana na makundi yote ndani ya chama.
Lakini yeye amekuwa mbabe anataka kukiendesha chama kwa mkono wa chuma.
Matokeo yake amefeli, sasa hivi chadema imefikia kiongozi wa kitaifa wa chama anapigwa na mlinzi wa mwenyekiti mpaka analazwa hospital na mwenyekiti anaona ni jambo dogo tu. Haya mambo tuliyaona kwa kina Sabaya sasa yapo chadema na kwa kuwa wafuasi wa Lissu wanayafurahia kuna wakati yatakuwa ya kawaida na kuna siku Lissu atadundwa na wanachama wake mbele ya umati. Hii siku inakuja.
Wazee wa kwenye chama msaidien Lissu amefeli. Kama chama kinaweza kukusanya less than million 50 kwenye kampeni ya uchangiaji ya kitaifa tena kwa wiki mbili nzima inamaana bado anakosa ushawishi na kuungwa mkono na tabaka lenye uchumi. Hii ni hatari sana kwenye uendeshaji wa taasisi.
Kwa kifupi mpaka sasa Lissu amefeli hakuna jambo lolote unaweza kusema amelifanikisha tangu achukue madaraka kwa kudhalilisha wenzie.
Matukio ya utekaji yanaendelea na hakuna alichofanya, chama kinashindwa kukusanya pesa, viongozi wa kitaifa wanapigwa, hakuna ruzuku inayofika kwenye jimbo kama alivyoahidi, mikutano inakkosa watu, no reform no election haijabamba mtaani yani kila kitu hovyo.
☝️ Kabla ya kuja hapa jukwaani na uzi wako jipange kwanza kimantiki na kimaaudhui. Uzi ukiwa umejaa mihemuko na hisia hasi, tena ukiwa umesheheni vitu vya kufirika kuliko uhalisia wa mambo, basi uzi huo unageuka kuwa upuuzi na porojo tupu.Moja ya sifa kubwa ya kiongozi kwenye taasisi yoyote ni uwezo wa kuunganisha watu, kusuluisha migogoro na kujenga timu.
Kinachotokea sasa hivi CHADEMA ni dhahiri kwamba mwenyekiti wa chama na wasaidizi wake wameshindwa kuifanya chadema kuwa moja.
Chama kimekuwa hakuna masikilizano, hakuna kuheshimiana, hakuna amani, hakuna umoja.
Makundi ya uchaguzi yameshindwa kuvunjwa na wote kwenye chama kuongea lugha moja.
Yote hii ni sababu ya udhaifu wa kiuongozi wa mwenyekiti Tundu Lissu. Lissu amekuwa mwenyekiti ila ni kama bado yupo kwenye mood ya uchaguzi bado anawaona watu waliomuunga mkono Mbowe ni maadui zake. Afanyi jitihada zozote kuwaunganisha wanachama.
Chadema nusu ya wanachama hawakumuunga mkono wakati wa uchaguzi, kwa kiongozi mwenye akili kabla ya kufanya intervention yoyote alipokabidhiwa chama alitakiwa awe humble na kuridhiana na makundi yote ndani ya chama.
Lakini yeye amekuwa mbabe anataka kukiendesha chama kwa mkono wa chuma.
Matokeo yake amefeli, sasa hivi chadema imefikia kiongozi wa kitaifa wa chama anapigwa na mlinzi wa mwenyekiti mpaka analazwa hospital na mwenyekiti anaona ni jambo dogo tu. Haya mambo tuliyaona kwa kina Sabaya sasa yapo chadema na kwa kuwa wafuasi wa Lissu wanayafurahia kuna wakati yatakuwa ya kawaida na kuna siku Lissu atadundwa na wanachama wake mbele ya umati. Hii siku inakuja.
Wazee wa kwenye chama msaidien Lissu amefeli. Kama chama kinaweza kukusanya less than million 50 kwenye kampeni ya uchangiaji ya kitaifa tena kwa wiki mbili nzima inamaana bado anakosa ushawishi na kuungwa mkono na tabaka lenye uchumi. Hii ni hatari sana kwenye uendeshaji wa taasisi.
Kwa kifupi mpaka sasa Lissu amefeli hakuna jambo lolote unaweza kusema amelifanikisha tangu achukue madaraka kwa kudhalilisha wenzie.
Matukio ya utekaji yanaendelea na hakuna alichofanya, chama kinashindwa kukusanya pesa, viongozi wa kitaifa wanapigwa, hakuna ruzuku inayofika kwenye jimbo kama alivyoahidi, mikutano inakkosa watu, no reform no election haijabamba mtaani yani kila kitu hovyo.
CHADEMA ina wanachama wangapi ? ,mpaka mamluki wabembelezwe, kama hawataki kusoma alama za nyakati ,waende ccm ,au watulie wajenge chama, mda wa kubembelezana umekwisha ,Moja ya sifa kubwa ya kiongozi kwenye taasisi yoyote ni uwezo wa kuunganisha watu, kusuluisha migogoro na kujenga timu.
Kinachotokea sasa hivi CHADEMA ni dhahiri kwamba mwenyekiti wa chama na wasaidizi wake wameshindwa kuifanya chadema kuwa moja.
Chama kimekuwa hakuna masikilizano, hakuna kuheshimiana, hakuna amani, hakuna umoja.
Makundi ya uchaguzi yameshindwa kuvunjwa na wote kwenye chama kuongea lugha moja.
Yote hii ni sababu ya udhaifu wa kiuongozi wa mwenyekiti Tundu Lissu. Lissu amekuwa mwenyekiti ila ni kama bado yupo kwenye mood ya uchaguzi bado anawaona watu waliomuunga mkono Mbowe ni maadui zake. Afanyi jitihada zozote kuwaunganisha wanachama.
Chadema nusu ya wanachama hawakumuunga mkono wakati wa uchaguzi, kwa kiongozi mwenye akili kabla ya kufanya intervention yoyote alipokabidhiwa chama alitakiwa awe humble na kuridhiana na makundi yote ndani ya chama.
Lakini yeye amekuwa mbabe anataka kukiendesha chama kwa mkono wa chuma.
Matokeo yake amefeli, sasa hivi chadema imefikia kiongozi wa kitaifa wa chama anapigwa na mlinzi wa mwenyekiti mpaka analazwa hospital na mwenyekiti anaona ni jambo dogo tu. Haya mambo tuliyaona kwa kina Sabaya sasa yapo chadema na kwa kuwa wafuasi wa Lissu wanayafurahia kuna wakati yatakuwa ya kawaida na kuna siku Lissu atadundwa na wanachama wake mbele ya umati. Hii siku inakuja.
Wazee wa kwenye chama msaidien Lissu amefeli. Kama chama kinaweza kukusanya less than million 50 kwenye kampeni ya uchangiaji ya kitaifa tena kwa wiki mbili nzima inamaana bado anakosa ushawishi na kuungwa mkono na tabaka lenye uchumi. Hii ni hatari sana kwenye uendeshaji wa taasisi.
Kwa kifupi mpaka sasa Lissu amefeli hakuna jambo lolote unaweza kusema amelifanikisha tangu achukue madaraka kwa kudhalilisha wenzie.
Matukio ya utekaji yanaendelea na hakuna alichofanya, chama kinashindwa kukusanya pesa, viongozi wa kitaifa wanapigwa, hakuna ruzuku inayofika kwenye jimbo kama alivyoahidi, mikutano inakkosa watu, no reform no election haijabamba mtaani yani kila kitu hovyo.
Pumba tupuWananchi waliwapa tumaini mwanzoni na kuwaamini hadi kuwapambania..
Baadae wakagundua na nyie ni walambaji wa asali wazuri..
Sasa hizo si aibu kabisa mnapigana hadi mnataka kuuana..
usingemjadili hapa,kitendo cha kumjadili hapa kunavitu amekuzid kwa mbali sanaMoja ya sifa kubwa ya kiongozi kwenye taasisi yoyote ni uwezo wa kuunganisha watu, kusuluisha migogoro na kujenga timu.
Kinachotokea sasa hivi CHADEMA ni dhahiri kwamba mwenyekiti wa chama na wasaidizi wake wameshindwa kuifanya chadema kuwa moja.
Chama kimekuwa hakuna masikilizano, hakuna kuheshimiana, hakuna amani, hakuna umoja.
Makundi ya uchaguzi yameshindwa kuvunjwa na wote kwenye chama kuongea lugha moja.
Yote hii ni sababu ya udhaifu wa kiuongozi wa mwenyekiti Tundu Lissu. Lissu amekuwa mwenyekiti ila ni kama bado yupo kwenye mood ya uchaguzi bado anawaona watu waliomuunga mkono Mbowe ni maadui zake. Afanyi jitihada zozote kuwaunganisha wanachama.
Chadema nusu ya wanachama hawakumuunga mkono wakati wa uchaguzi, kwa kiongozi mwenye akili kabla ya kufanya intervention yoyote alipokabidhiwa chama alitakiwa awe humble na kuridhiana na makundi yote ndani ya chama.
Lakini yeye amekuwa mbabe anataka kukiendesha chama kwa mkono wa chuma.
Matokeo yake amefeli, sasa hivi chadema imefikia kiongozi wa kitaifa wa chama anapigwa na mlinzi wa mwenyekiti mpaka analazwa hospital na mwenyekiti anaona ni jambo dogo tu. Haya mambo tuliyaona kwa kina Sabaya sasa yapo chadema na kwa kuwa wafuasi wa Lissu wanayafurahia kuna wakati yatakuwa ya kawaida na kuna siku Lissu atadundwa na wanachama wake mbele ya umati. Hii siku inakuja.
Wazee wa kwenye chama msaidien Lissu amefeli. Kama chama kinaweza kukusanya less than million 50 kwenye kampeni ya uchangiaji ya kitaifa tena kwa wiki mbili nzima inamaana bado anakosa ushawishi na kuungwa mkono na tabaka lenye uchumi. Hii ni hatari sana kwenye uendeshaji wa taasisi.
Kwa kifupi mpaka sasa Lissu amefeli hakuna jambo lolote unaweza kusema amelifanikisha tangu achukue madaraka kwa kudhalilisha wenzie.
Matukio ya utekaji yanaendelea na hakuna alichofanya, chama kinashindwa kukusanya pesa, viongozi wa kitaifa wanapigwa, hakuna ruzuku inayofika kwenye jimbo kama alivyoahidi, mikutano inakkosa watu, no reform no election haijabamba mtaani yani kila kitu hovyo.
Hakuna kucheka na kima, hizo drama za kiccm hazina nafasi kwa sasa.Chama kimekuwa kama kikundi cha vibaka.
CHADEMA sasa ndiyo kimekuwa chama kweli cha Upinzani kelele hizi za wana CCM zitapigwa sana, CHADEMA imekua imara zaidi sasa! LISSU na viongoizi wao tunawaelewa sasa vizuri!Moja ya sifa kubwa ya kiongozi kwenye taasisi yoyote ni uwezo wa kuunganisha watu, kusuluisha migogoro na kujenga timu.
Kinachotokea sasa hivi CHADEMA ni dhahiri kwamba mwenyekiti wa chama na wasaidizi wake wameshindwa kuifanya chadema kuwa moja.
Chama kimekuwa hakuna masikilizano, hakuna kuheshimiana, hakuna amani, hakuna umoja.
Makundi ya uchaguzi yameshindwa kuvunjwa na wote kwenye chama kuongea lugha moja.
Yote hii ni sababu ya udhaifu wa kiuongozi wa mwenyekiti Tundu Lissu. Lissu amekuwa mwenyekiti ila ni kama bado yupo kwenye mood ya uchaguzi bado anawaona watu waliomuunga mkono Mbowe ni maadui zake. Afanyi jitihada zozote kuwaunganisha wanachama.
Chadema nusu ya wanachama hawakumuunga mkono wakati wa uchaguzi, kwa kiongozi mwenye akili kabla ya kufanya intervention yoyote alipokabidhiwa chama alitakiwa awe humble na kuridhiana na makundi yote ndani ya chama.
Lakini yeye amekuwa mbabe anataka kukiendesha chama kwa mkono wa chuma.
Matokeo yake amefeli, sasa hivi chadema imefikia kiongozi wa kitaifa wa chama anapigwa na mlinzi wa mwenyekiti mpaka analazwa hospital na mwenyekiti anaona ni jambo dogo tu. Haya mambo tuliyaona kwa kina Sabaya sasa yapo chadema na kwa kuwa wafuasi wa Lissu wanayafurahia kuna wakati yatakuwa ya kawaida na kuna siku Lissu atadundwa na wanachama wake mbele ya umati. Hii siku inakuja.
Wazee wa kwenye chama msaidien Lissu amefeli. Kama chama kinaweza kukusanya less than million 50 kwenye kampeni ya uchangiaji ya kitaifa tena kwa wiki mbili nzima inamaana bado anakosa ushawishi na kuungwa mkono na tabaka lenye uchumi. Hii ni hatari sana kwenye uendeshaji wa taasisi.
Kwa kifupi mpaka sasa Lissu amefeli hakuna jambo lolote unaweza kusema amelifanikisha tangu achukue madaraka kwa kudhalilisha wenzie.
Matukio ya utekaji yanaendelea na hakuna alichofanya, chama kinashindwa kukusanya pesa, viongozi wa kitaifa wanapigwa, hakuna ruzuku inayofika kwenye jimbo kama alivyoahidi, mikutano inakkosa watu, no reform no election haijabamba mtaani yani kila kitu hovyo.
Wengine tunamuelewa kwelikweli! tumechoka na CCMSilaha ya Lissu ni mdomo. lazima atafeli
Kweli ni mdomo maana hana Dola! kwahiyo wananchi tunamuunga mkono kwa mdomo wake maana anatuambia ukweli! wengine watatumia dola siyo mdogo uko sahihi kabisaSilaha ya Lissu ni mdomo. lazima atafeli