kingundya
JF-Expert Member
- Apr 22, 2013
- 3,253
- 4,824
Kijani hatuna mupasuko😅Kwa maoni yangu ambae nimeifuatilia CHADEMA tangu inaanzishwa, naona kipindi hiki cha Lissu CHADEMA imejipata barabara, hao wana CHADEMA wachache unaowasikia wakienda kinyume na "MOVEMENT' hii ya LISSU, ndio waliokuwa wanachelewesha "NO REFORM, NO ELECTION'. Kuhusu mipasuko, hakuna chama kisicho na nyufa ndani kwa ndani, cha msingi ni kuendelea kuziziba pale zinapotokeza. Nawashauri CHADEMA wapigilie hapohapo. 😛 😛 😛 😛