Silaha ya Lissu ni mdomo. lazima atafeli
Moja ya sifa kubwa ya kiongozi kwenye taasisi yoyote ni uwezo wa kuunganisha watu, kusuluisha migogoro na kujenga timu.
Kinachotokea sasa hivi CHADEMA ni dhahiri kwamba mwenyekiti wa chama na wasaidizi wake wameshindwa kuifanya chadema kuwa moja.
Chama kimekuwa hakuna masikilizano, hakuna kuheshimiana, hakuna amani, hakuna umoja.
Makundi ya uchaguzi yameshindwa kuvunjwa na wote kwenye chama kuongea lugha moja.
Yote hii ni sababu ya udhaifu wa kiuongozi wa mwenyekiti Tundu Lissu. Lissu amekuwa mwenyekiti ila ni kama bado yupo kwenye mood ya uchaguzi bado anawaona watu waliomuunga mkono Mbowe ni maadui zake. Afanyi jitihada zozote kuwaunganisha wanachama.
Chadema nusu ya wanachama hawakumuunga mkono wakati wa uchaguzi, kwa kiongozi mwenye akili kabla ya kufanya intervention yoyote alipokabidhiwa chama alitakiwa awe humble na kuridhiana na makundi yote ndani ya chama.
Lakini yeye amekuwa mbabe anataka kukiendesha chama kwa mkono wa chuma.
Matokeo yake amefeli, sasa hivi chadema imefikia kiongozi wa kitaifa wa chama anapigwa na mlinzi wa mwenyekiti mpaka analazwa hospital na mwenyekiti anaona ni jambo dogo tu. Haya mambo tuliyaona kwa kina Sabaya sasa yapo chadema na kwa kuwa wafuasi wa Lissu wanayafurahia kuna wakati yatakuwa ya kawaida na kuna siku Lissu atadundwa na wanachama wake mbele ya umati. Hii siku inakuja.
Wazee wa kwenye chama msaidien Lissu amefeli. Kama chama kinaweza kukusanya less than million 50 kwenye kampeni ya uchangiaji ya kitaifa tena kwa wiki mbili nzima inamaana bado anakosa ushawishi na kuungwa mkono na tabaka lenye uchumi. Hii ni hatari sana kwenye uendeshaji wa taasisi.
Kwa kifupi mpaka sasa Lissu amefeli hakuna jambo lolote unaweza kusema amelifanikisha tangu achukue madaraka kwa kudhalilisha wenzie.
Matukio ya utekaji yanaendelea na hakuna alichofanya, chama kinashindwa kukusanya pesa, viongozi wa kitaifa wanapigwa, hakuna ruzuku inayofika kwenye jimbo kama alivyoahidi, mikutano inakkosa watu, no reform no election haijabamba mtaani yani kila kitu hovyo.
Lile genge la rangi ya manyasi nyasi wote matapeliWanasiasa wote ni matapeli, komaa nashughuli zako.
Hii chadema ya lissu ni kama mungiki viongozi wa kitaifa wanavunjwa taya, kuna siku lissu atashikiwa mapanga kwenye mkutano tupo hapaMtahangaikia sana matamanio yenu, lakini CHADEMA inazidi kuwa imara maradufu kupindukia. Mtazidi kusononeka kwa kutotokea matarajio yenu. Mlitegemea sana waliokuwa wamimwunga mkono Mh. Mbowe wameguke, mmepigwa na butwaa kuona hakuna hata mmoja aliyemeguka na kuwafuata mashetani. Wenyeviti wote wa kanda na mikoa ambao walimwunga mkono Mbowe kwa nguvu zote, wapo na uongozi wa kitaifa kwa nguvu zao zote, huku mafisi mmebakia kusubiria kisichokuwepo.
Mtu, kwa uduni wa kunenga hoja, eti anasema CHADEMA i.emeguka na kuwa vipande vipande halafu anatarajia kuna wajinga watakaoamini! Hivyo vipande vilivyomeguka hajavitaja, wala kueleza viko wapi!!
CHADEMA ni moja wajati wote, baada ya kusinzia sinzia hapo katikati, sasa CHADEMA itaenda kwenye peak, na kuwashangaza wale masgetani waliosema kuwa CHADEMA imekufa.
NO REFORM NO ELECTION, na baada ya reforms, watu wataishuhudia nguvu kamili ya CHADEMA, na watasema kama imekufa au ipo hai, kama ni moja au ni vipande vipande.
Kama CHADEMA ipo vipande vipande, wanaogopa nini kuufanya uchaguzi uwe uchaguzi halisia, badala ya ule wa kishetani wenye sheria na kanuni za kishetani?
Watu wa Mbowe na rafiki yake Abdul kwani walikubali kushindwa? Mbowe aliumia sana sana na nia yake ni kuona chama kinakufa ili apate sababu ya kusema kuwa bila yeye hakuna Chadema.Moja ya sifa kubwa ya kiongozi kwenye taasisi yoyote ni uwezo wa kuunganisha watu, kusuluisha migogoro na kujenga timu.
Kinachotokea sasa hivi CHADEMA ni dhahiri kwamba mwenyekiti wa chama na wasaidizi wake wameshindwa kuifanya chadema kuwa moja.
Chama kimekuwa hakuna masikilizano, hakuna kuheshimiana, hakuna amani, hakuna umoja.
Makundi ya uchaguzi yameshindwa kuvunjwa na wote kwenye chama kuongea lugha moja.
Yote hii ni sababu ya udhaifu wa kiuongozi wa mwenyekiti Tundu Lissu. Lissu amekuwa mwenyekiti ila ni kama bado yupo kwenye mood ya uchaguzi bado anawaona watu waliomuunga mkono Mbowe ni maadui zake. Afanyi jitihada zozote kuwaunganisha wanachama.
Chadema nusu ya wanachama hawakumuunga mkono wakati wa uchaguzi, kwa kiongozi mwenye akili kabla ya kufanya intervention yoyote alipokabidhiwa chama alitakiwa awe humble na kuridhiana na makundi yote ndani ya chama.
Lakini yeye amekuwa mbabe anataka kukiendesha chama kwa mkono wa chuma.
Matokeo yake amefeli, sasa hivi chadema imefikia kiongozi wa kitaifa wa chama anapigwa na mlinzi wa mwenyekiti mpaka analazwa hospital na mwenyekiti anaona ni jambo dogo tu. Haya mambo tuliyaona kwa kina Sabaya sasa yapo chadema na kwa kuwa wafuasi wa Lissu wanayafurahia kuna wakati yatakuwa ya kawaida na kuna siku Lissu atadundwa na wanachama wake mbele ya umati. Hii siku inakuja.
Wazee wa kwenye chama msaidien Lissu amefeli. Kama chama kinaweza kukusanya less than million 50 kwenye kampeni ya uchangiaji ya kitaifa tena kwa wiki mbili nzima inamaana bado anakosa ushawishi na kuungwa mkono na tabaka lenye uchumi. Hii ni hatari sana kwenye uendeshaji wa taasisi.
Kwa kifupi mpaka sasa Lissu amefeli hakuna jambo lolote unaweza kusema amelifanikisha tangu achukue madaraka kwa kudhalilisha wenzie.
Matukio ya utekaji yanaendelea na hakuna alichofanya, chama kinashindwa kukusanya pesa, viongozi wa kitaifa wanapigwa, hakuna ruzuku inayofika kwenye jimbo kama alivyoahidi, mikutano inakkosa watu, no reform no election haijabamba mtaani yani kila kitu hovyo.
Wewe umefanikiwa Nini na Bado umepangaMoja ya sifa kubwa ya kiongozi kwenye taasisi yoyote ni uwezo wa kuunganisha watu, kusuluisha migogoro na kujenga timu.

Watu wa Mbowe na rafiki yake Abdul kwani walikubali kushindwa? Mbowe aliumia sana sana na nia yake ni kuona chama kinakufa ili apate sababu ya kusema kuwa bila yeye hakuna Chadema.
Sijapanga nakaa nyumba ya urithi sinza.Wewe umefanikiwa Nini na Bado umepanga
Mbowe alifanya nini cha maana? Kuisindikiza CCM kwenye uchaguzi?Lissu hakuna alichofanya cha maana tangu aingie madarakani. Kazi yake ni kuropoka hovyo.
Pale ccm wanapotoa ushauri kwa cdm. Cdm ina program ya NRNE, na michango ya tonetone. Aliye ndani ya cdm anapaswa kuonekana akipigania hilo. Hakuna muda wa kubembelezana na wale ambao wameshindwa lakini hawakuwa tayari kutokana na hongo walizopewa na ccm.Moja ya sifa kubwa ya kiongozi kwenye taasisi yoyote ni uwezo wa kuunganisha watu, kusuluisha migogoro na kujenga timu.
Kinachotokea sasa hivi CHADEMA ni dhahiri kwamba mwenyekiti wa chama na wasaidizi wake wameshindwa kuifanya chadema kuwa moja.
Chama kimekuwa hakuna masikilizano, hakuna kuheshimiana, hakuna amani, hakuna umoja.
Makundi ya uchaguzi yameshindwa kuvunjwa na wote kwenye chama kuongea lugha moja.
Yote hii ni sababu ya udhaifu wa kiuongozi wa mwenyekiti Tundu Lissu. Lissu amekuwa mwenyekiti ila ni kama bado yupo kwenye mood ya uchaguzi bado anawaona watu waliomuunga mkono Mbowe ni maadui zake. Afanyi jitihada zozote kuwaunganisha wanachama.
Chadema nusu ya wanachama hawakumuunga mkono wakati wa uchaguzi, kwa kiongozi mwenye akili kabla ya kufanya intervention yoyote alipokabidhiwa chama alitakiwa awe humble na kuridhiana na makundi yote ndani ya chama.
Lakini yeye amekuwa mbabe anataka kukiendesha chama kwa mkono wa chuma.
Matokeo yake amefeli, sasa hivi chadema imefikia kiongozi wa kitaifa wa chama anapigwa na mlinzi wa mwenyekiti mpaka analazwa hospital na mwenyekiti anaona ni jambo dogo tu. Haya mambo tuliyaona kwa kina Sabaya sasa yapo chadema na kwa kuwa wafuasi wa Lissu wanayafurahia kuna wakati yatakuwa ya kawaida na kuna siku Lissu atadundwa na wanachama wake mbele ya umati. Hii siku inakuja.
Wazee wa kwenye chama msaidien Lissu amefeli. Kama chama kinaweza kukusanya less than million 50 kwenye kampeni ya uchangiaji ya kitaifa tena kwa wiki mbili nzima inamaana bado anakosa ushawishi na kuungwa mkono na tabaka lenye uchumi. Hii ni hatari sana kwenye uendeshaji wa taasisi.
Kwa kifupi mpaka sasa Lissu amefeli hakuna jambo lolote unaweza kusema amelifanikisha tangu achukue madaraka kwa kudhalilisha wenzie.
Matukio ya utekaji yanaendelea na hakuna alichofanya, chama kinashindwa kukusanya pesa, viongozi wa kitaifa wanapigwa, hakuna ruzuku inayofika kwenye jimbo kama alivyoahidi, mikutano inakkosa watu, no reform no election haijabamba mtaani yani kila kitu hovyo.
Anaendesha kampeni ya NRNE, matokeo baadae. Unataka aonyeshe amefanya nini kwani alikuwa anajenga nyumba utake kuona kafikia hatua gani?Lissu hakuna alichofanya cha maana tangu aingie madarakani. Kazi yake ni kuropoka hovyo.
Mbowe alipata 40% ya kura za urais na wabunge wengi kuwai kutokea.Mbowe alifanya nini cha maana? Kuisindikiza CCM kwenye uchaguzi?
Mnaleta chokochoko ili mfukuzwe mpate chakuongea sasa kwa taarifa yenu hafukuzwi mtu mshadandia mtumbwi wa vibwengo mnajua wenyewe mshuke au mpikwe mkiwa ndani hadi mnatema ulimi kama waliowatuma hakuna rangi mtaacha kuona na tupo hapa mtaomba poo nyie TAL kanyaga hapo hapo washatepeta vilio vingi ni ishara kua dawa imewaingia sasa inakuja wiki ya motto huko kusini mlikofukarisha wananchi,Peleka motto hadi wajiharishieKamanda lisu, aka dikiteta uchwara, fukuza wote wasiokuunga mkono. Wewe ndiye mwenyekiti wa chama, tumia mamlaka ya uenyekiti wako kuwanyoosha wote wasiokubaliana na wewe. Ukiwaacha watakukwamisha, halafu watageuka na kusema ... "mnaona uenyekiti umemshinda."
Alikuwa ni Lowassa siyo Mbowe. Na bado kuna watu wengi wanasema alifanya kosa kumkaribisha Lowassa kwa sababu angesimama dr Slaa kama ilivyokuwa imepangwa, ushindi ungekuwa mkubwa zaidi.Mbowe alipata 40% ya kura za urais na wabunge wengi kuwai kutokea.