Blood of Jesus
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 7,148
- 13,108
hao wanasiasa ndio wanaokupangia ulipe kodi kiasi gani, na bei za bidhaa masokoniWanasiasa wote ni matapeli, komaa nashughuli zako.
hao wanasiasa ndio wanaokupangia ulipe kodi kiasi gani, na bei za bidhaa masokoniWanasiasa wote ni matapeli, komaa nashughuli zako.
Mtahangaikia sana matamanio yenu, lakini CHADEMA inazidi kuwa imara maradufu kupindukia. Mtazidi kusononeka kwa kutotokea matarajio yenu. Mlitegemea sana waliokuwa wamimwunga mkono Mh. Mbowe wameguke, mmepigwa na butwaa kuona hakuna hata mmoja aliyemeguka na kuwafuata mashetani. Wenyeviti wote wa kanda na mikoa ambao walimwunga mkono Mbowe kwa nguvu zote, wapo na uongozi wa kitaifa kwa nguvu zao zote, huku mafisi mmebakia kusubiria kisichokuwepo.
Mtu, kwa uduni wa kunenga hoja, eti anasema CHADEMA i.emeguka na kuwa vipande vipande halafu anatarajia kuna wajinga watakaoamini! Hivyo vipande vilivyomeguka hajavitaja, wala kueleza viko wapi!!
CHADEMA ni moja wajati wote, baada ya kusinzia sinzia hapo katikati, sasa CHADEMA itaenda kwenye peak, na kuwashangaza wale masgetani waliosema kuwa CHADEMA imekufa.
NO REFORM NO ELECTION, na baada ya reforms, watu wataishuhudia nguvu kamili ya CHADEMA, na watasema kama imekufa au ipo hai, kama ni moja au ni vipande vipande.
Kama CHADEMA ipo vipande vipande, wanaogopa nini kuufanya uchaguzi uwe uchaguzi halisia, badala ya ule wa kishetani wenye sheria na kanuni za kishetani?
Eti kuna mpasuko CHADEMA,kamsikilize Luaga Mpina,Ndugai ex-speaker,msikilize Warioba Sinde(jaji) na Butiku utajua chama bila mipasuku midogomidogo ni mortuary.Kweli ni mdomo maana hana Dola! kwahiyo wananchi tunamuunga mkono kwa mdomo wake maana anatuambia ukweli! wengine watatumia dola siyo mdogo uko sahihi kabisa
Sawa mwenyekiti wa chama alikuwa lowasaAlikuwa ni Lowassa siyo Mbowe. Na bado kuna watu wengi wanasema alifanya kosa kumkaribisha Lowassa kwa sababu angesimama dr Slaa kama ilivyokuwa imepangwa, ushindi ungekuwa mkubwa zaidi.
Ndiyomaana nasema ni matapelihao wanasiasa ndio wanaokupangia ulipe kodi kiasi gani, na bei za bidhaa masokoni
Mtu mweusi ni mjinga sana.Kwani Mbowe angeendelea na CDM mpaka lini miaka 30 Hiyo siyo Demokrasia, wamekitoa kilichosemwa ni chagadema.kililofanyika chadema ni mfano mwema waungane sasa wakijenge chama hakuna jinsi bahati nzuri wengi wamerejea ie Sugu, Mungai etc ambao bado nao wafanye hivyo kuvunja makundi.
NA BADO MAPANDIKIZI YOTE YA CCM YATAJULIKANA NA KUFUKUZWA, SIKU ZOTE MAJI HAYAKAI NA MAFUTA.Moja ya sifa kubwa ya kiongozi kwenye taasisi yoyote ni uwezo wa kuunganisha watu, kusuluisha migogoro na kujenga timu.
Kinachotokea sasa hivi CHADEMA ni dhahiri kwamba mwenyekiti wa chama na wasaidizi wake wameshindwa kuifanya chadema kuwa moja.
Chama kimekuwa hakuna masikilizano, hakuna kuheshimiana, hakuna amani, hakuna umoja.
Makundi ya uchaguzi yameshindwa kuvunjwa na wote kwenye chama kuongea lugha moja.
Yote hii ni sababu ya udhaifu wa kiuongozi wa mwenyekiti Tundu Lissu. Lissu amekuwa mwenyekiti ila ni kama bado yupo kwenye mood ya uchaguzi bado anawaona watu waliomuunga mkono Mbowe ni maadui zake. Afanyi jitihada zozote kuwaunganisha wanachama.
Chadema nusu ya wanachama hawakumuunga mkono wakati wa uchaguzi, kwa kiongozi mwenye akili kabla ya kufanya intervention yoyote alipokabidhiwa chama alitakiwa awe humble na kuridhiana na makundi yote ndani ya chama.
Lakini yeye amekuwa mbabe anataka kukiendesha chama kwa mkono wa chuma.
Matokeo yake amefeli, sasa hivi chadema imefikia kiongozi wa kitaifa wa chama anapigwa na mlinzi wa mwenyekiti mpaka analazwa hospital na mwenyekiti anaona ni jambo dogo tu. Haya mambo tuliyaona kwa kina Sabaya sasa yapo chadema na kwa kuwa wafuasi wa Lissu wanayafurahia kuna wakati yatakuwa ya kawaida na kuna siku Lissu atadundwa na wanachama wake mbele ya umati. Hii siku inakuja.
Wazee wa kwenye chama msaidien Lissu amefeli. Kama chama kinaweza kukusanya less than million 50 kwenye kampeni ya uchangiaji ya kitaifa tena kwa wiki mbili nzima inamaana bado anakosa ushawishi na kuungwa mkono na tabaka lenye uchumi. Hii ni hatari sana kwenye uendeshaji wa taasisi.
Kwa kifupi mpaka sasa Lissu amefeli hakuna jambo lolote unaweza kusema amelifanikisha tangu achukue madaraka kwa kudhalilisha wenzie.
Matukio ya utekaji yanaendelea na hakuna alichofanya, chama kinashindwa kukusanya pesa, viongozi wa kitaifa wanapigwa, hakuna ruzuku inayofika kwenye jimbo kama alivyoahidi, mikutano inakkosa watu, no reform no election haijabamba mtaani yani kila kitu hovyo.
Mkuu, hongera kwa kuona mbaliKwa maoni yangu ambae nimeifuatilia CHADEMA tangu inaanzishwa, naona kipindi hiki cha Lissu CHADEMA imejipata barabara, hao wana CHADEMA wachache unaowasikia wakienda kinyume na "MOVEMENT' hii ya LISSU, ndio waliokuwa wanachelewesha "NO REFORM, NO ELECTION'. Kuhusu mipasuko, hakuna chama kisicho na nyufa ndani kwa ndani, cha msingi ni kuendelea kuziziba pale zinapotokeza. Nawashauri CHADEMA wapigilie hapohapo. 😛 😛 😛 😛
Kuna Jaluo moja liko Mwanza lilimpinga sana Lissu asishinde uenyekiti,sasa hivi ni wa kuhurumiwa. Hana hoja na amepuuzwa kinyamaNA BADO MAPANDIKIZI YOTE YA CCM YATAJULIKANA NA KUFUKUZWA, SIKU ZOTE MAJI HAYAKAI NA MAFUTA.
Mkuu Lissu kushindwa uongozi, solution ni kufukuza wanachama?NA BADO MAPANDIKIZI YOTE YA CCM YATAJULIKANA NA KUFUKUZWA, SIKU ZOTE MAJI HAYAKAI NA MAFUTA.
Moja ya sifa kubwa ya kiongozi kwenye taasisi yoyote ni uwezo wa kuunganisha watu, kusuluisha migogoro na kujenga timu.
Kinachotokea sasa hivi CHADEMA ni dhahiri kwamba mwenyekiti wa chama na wasaidizi wake wameshindwa kuifanya chadema kuwa moja.
Chama kimekuwa hakuna masikilizano, hakuna kuheshimiana, hakuna amani, hakuna umoja.
Makundi ya uchaguzi yameshindwa kuvunjwa na wote kwenye chama kuongea lugha moja.
Yote hii ni sababu ya udhaifu wa kiuongozi wa mwenyekiti Tundu Lissu. Lissu amekuwa mwenyekiti ila ni kama bado yupo kwenye mood ya uchaguzi bado anawaona watu waliomuunga mkono Mbowe ni maadui zake. Afanyi jitihada zozote kuwaunganisha wanachama.
Chadema nusu ya wanachama hawakumuunga mkono wakati wa uchaguzi, kwa kiongozi mwenye akili kabla ya kufanya intervention yoyote alipokabidhiwa chama alitakiwa awe humble na kuridhiana na makundi yote ndani ya chama.
Lakini yeye amekuwa mbabe anataka kukiendesha chama kwa mkono wa chuma.
Matokeo yake amefeli, sasa hivi chadema imefikia kiongozi wa kitaifa wa chama anapigwa na mlinzi wa mwenyekiti mpaka analazwa hospital na mwenyekiti anaona ni jambo dogo tu. Haya mambo tuliyaona kwa kina Sabaya sasa yapo chadema na kwa kuwa wafuasi wa Lissu wanayafurahia kuna wakati yatakuwa ya kawaida na kuna siku Lissu atadundwa na wanachama wake mbele ya umati. Hii siku inakuja.
Wazee wa kwenye chama msaidien Lissu amefeli. Kama chama kinaweza kukusanya less than million 50 kwenye kampeni ya uchangiaji ya kitaifa tena kwa wiki mbili nzima inamaana bado anakosa ushawishi na kuungwa mkono na tabaka lenye uchumi. Hii ni hatari sana kwenye uendeshaji wa taasisi.
Kwa kifupi mpaka sasa Lissu amefeli hakuna jambo lolote unaweza kusema amelifanikisha tangu achukue madaraka kwa kudhalilisha wenzie.
Matukio ya utekaji yanaendelea na hakuna alichofanya, chama kinashindwa kukusanya pesa, viongozi wa kitaifa wanapigwa, hakuna ruzuku inayofika kwenye jimbo kama alivyoahidi, mikutano inakkosa watu, no reform no election haijabamba mtaani yani kila kitu hovyo.
Vipi umeona waraka wa kwanza wa G55?Mtahangaikia sana matamanio yenu, lakini CHADEMA inazidi kuwa imara maradufu kupindukia. Mtazidi kusononeka kwa kutotokea matarajio yenu. Mlitegemea sana waliokuwa wamimwunga mkono Mh. Mbowe wameguke, mmepigwa na butwaa kuona hakuna hata mmoja aliyemeguka na kuwafuata mashetani. Wenyeviti wote wa kanda na mikoa ambao walimwunga mkono Mbowe kwa nguvu zote, wapo na uongozi wa kitaifa kwa nguvu zao zote, huku mafisi mmebakia kusubiria kisichokuwepo.
Mtu, kwa uduni wa kunenga hoja, eti anasema CHADEMA i.emeguka na kuwa vipande vipande halafu anatarajia kuna wajinga watakaoamini! Hivyo vipande vilivyomeguka hajavitaja, wala kueleza viko wapi!!
CHADEMA ni moja wajati wote, baada ya kusinzia sinzia hapo katikati, sasa CHADEMA itaenda kwenye peak, na kuwashangaza wale masgetani waliosema kuwa CHADEMA imekufa.
NO REFORM NO ELECTION, na baada ya reforms, watu wataishuhudia nguvu kamili ya CHADEMA, na watasema kama imekufa au ipo hai, kama ni moja au ni vipande vipande.
Kama CHADEMA ipo vipande vipande, wanaogopa nini kuufanya uchaguzi uwe uchaguzi halisia, badala ya ule wa kishetani wenye sheria na kanuni za kishetani?
Ndio mumpige Mwenezi wenu wa chama?Pale ccm wanapotoa ushauri kwa cdm. Cdm ina program ya NRNE, na michango ya tonetone. Aliye ndani ya cdm anapaswa kuonekana akipigania hilo. Hakuna muda wa kubembelezana na wale ambao wameshindwa lakini hawakuwa tayari kutokana na hongo walizopewa na ccm.
Hilo kundi la Mbowe lifahamu uenyekiti wa cdm haukuwa wa kudumu, bali wanapaswa kukubali na watoe ushirikiano kwa wengine. Kutaka wabembelezwe wakati wameshindwa kihalali ni kupotezeana muda. Hatuwezi kubembeleza kundi linalotaka tushindwe ili watuaminishe Mbowe ndio alikuwa anastahili kuwa mwenyekiti tu.
Umewasoma G55? Mnakuwa na mahaba mpaka mnakuwa wajinga.Hiiii, eti imegawanyika - Jidanganye!!
Eti kuna mpasuko CHADEMA,kamsikilize Luaga Mpina,Ndugai ex-speaker,msikilize Warioba Sinde(jaji) na Butiku utajua chama bila mipasuku midogomidogo ni mortuary.