Lissu amefeli, CHADEMA ipo vipande vipande ameshindwa kuiunganisha

Mtahangaikia sana matamanio yenu, lakini CHADEMA inazidi kuwa imara maradufu kupindukia. Mtazidi kusononeka kwa kutotokea matarajio yenu. Mlitegemea sana waliokuwa wamimwunga mkono Mh. Mbowe wameguke, mmepigwa na butwaa kuona hakuna hata mmoja aliyemeguka na kuwafuata mashetani. Wenyeviti wote wa kanda na mikoa ambao walimwunga mkono Mbowe kwa nguvu zote, wapo na uongozi wa kitaifa kwa nguvu zao zote, huku mafisi mmebakia kusubiria kisichokuwepo.

Mtu, kwa uduni wa kunenga hoja, eti anasema CHADEMA i.emeguka na kuwa vipande vipande halafu anatarajia kuna wajinga watakaoamini! Hivyo vipande vilivyomeguka hajavitaja, wala kueleza viko wapi!!

CHADEMA ni moja wajati wote, baada ya kusinzia sinzia hapo katikati, sasa CHADEMA itaenda kwenye peak, na kuwashangaza wale masgetani waliosema kuwa CHADEMA imekufa.
NO REFORM NO ELECTION, na baada ya reforms, watu wataishuhudia nguvu kamili ya CHADEMA, na watasema kama imekufa au ipo hai, kama ni moja au ni vipande vipande.

Kama CHADEMA ipo vipande vipande, wanaogopa nini kuufanya uchaguzi uwe uchaguzi halisia, badala ya ule wa kishetani wenye sheria na kanuni za kishetani?
 
Silaha ya Lissu ni mdomo. lazima atafeli

Sahihi kabisa. Hiyo ina maana Lisu ni mwanasiasa halisi. Mwanasiasa halisi hutumia mdomo wake kuipata nguvu ya wananchi ya kumwunga mkono.

Wale mashetani wanatumia bunduki, mapanga na marungu.

Mungu wetu uzidi kumlinda Tundu Lisu kama ulivyomlinda dhidi ya wale mawakala wa shetani. Tunaomba uendelee kuwaabisha mawakala wa shetani wanaoteka, wanaowapoteza na kuwaua binadamu wenzao, ili tu wao waendelee kubakia madarakani kwa nguvu badala ya ridhaa ya wananchi. Mungu wetu tunaomba, hata wanapowadhulumu wananchi kuipata haki yao ya kuwapata viongozi wao, hata wakiyapora madaraka hayo, kamwe wasiyafurahie wala kudumu nayo.
 
Kwani Mbowe angeendelea na CDM mpaka lini miaka 30 Hiyo siyo Demokrasia, wamekitoa kilichosemwa ni chagadema.kililofanyika chadema ni mfano mwema waungane sasa wakijenge chama hakuna jinsi bahati nzuri wengi wamerejea ie Sugu, Mungai etc ambao bado nao wafanye hivyo kuvunja makundi.
 
Wanasiasa wote ni matapeli, komaa nashughuli zako.
Lile genge la rangi ya manyasi nyasi wote matapeli
 
Hii chadema ya lissu ni kama mungiki viongozi wa kitaifa wanavunjwa taya, kuna siku lissu atashikiwa mapanga kwenye mkutano tupo hapa
 
CCM mnatia huruma kwa kweli! Yaaani hizi nyuzi mnazoandika zinaonesha how desperate you are kutokana na kasi ya wananchi kumkubali Lissu.

Hao mapandikizi wenu watawapiga sana hela mwaka huu lakini ndo hivyo wananchi washawadharau. CHADEMA ipo imara na kila mtanzania mwenye akili anaipenda sasa.

Mmebaki nyie na propaganda zenu mfu.
 
Watu wa Mbowe na rafiki yake Abdul kwani walikubali kushindwa? Mbowe aliumia sana sana na nia yake ni kuona chama kinakufa ili apate sababu ya kusema kuwa bila yeye hakuna Chadema.
 
Wewe umefanikiwa Nini na Bado umepanga
 
Watu wa Mbowe na rafiki yake Abdul kwani walikubali kushindwa? Mbowe aliumia sana sana na nia yake ni kuona chama kinakufa ili apate sababu ya kusema kuwa bila yeye hakuna Chadema.

Lissu hakuna alichofanya cha maana tangu aingie madarakani. Kazi yake ni kuropoka hovyo.
 
Pale ccm wanapotoa ushauri kwa cdm. Cdm ina program ya NRNE, na michango ya tonetone. Aliye ndani ya cdm anapaswa kuonekana akipigania hilo. Hakuna muda wa kubembelezana na wale ambao wameshindwa lakini hawakuwa tayari kutokana na hongo walizopewa na ccm.

Hilo kundi la Mbowe lifahamu uenyekiti wa cdm haukuwa wa kudumu, bali wanapaswa kukubali na watoe ushirikiano kwa wengine. Kutaka wabembelezwe wakati wameshindwa kihalali ni kupotezeana muda. Hatuwezi kubembeleza kundi linalotaka tushindwe ili watuaminishe Mbowe ndio alikuwa anastahili kuwa mwenyekiti tu.
 
Lissu hakuna alichofanya cha maana tangu aingie madarakani. Kazi yake ni kuropoka hovyo.
Anaendesha kampeni ya NRNE, matokeo baadae. Unataka aonyeshe amefanya nini kwani alikuwa anajenga nyumba utake kuona kafikia hatua gani?
 
Mnaleta chokochoko ili mfukuzwe mpate chakuongea sasa kwa taarifa yenu hafukuzwi mtu mshadandia mtumbwi wa vibwengo mnajua wenyewe mshuke au mpikwe mkiwa ndani hadi mnatema ulimi kama waliowatuma hakuna rangi mtaacha kuona na tupo hapa mtaomba poo nyie TAL kanyaga hapo hapo washatepeta vilio vingi ni ishara kua dawa imewaingia sasa inakuja wiki ya motto huko kusini mlikofukarisha wananchi,Peleka motto hadi wajiharishie
 

Attachments

  • 20250331_221737.jpg
    132.2 KB · Views: 25
  • Roma_Mkatoliki_1080p_20250224_195154.mp4
    2.2 MB
Mbowe alipata 40% ya kura za urais na wabunge wengi kuwai kutokea.
Alikuwa ni Lowassa siyo Mbowe. Na bado kuna watu wengi wanasema alifanya kosa kumkaribisha Lowassa kwa sababu angesimama dr Slaa kama ilivyokuwa imepangwa, ushindi ungekuwa mkubwa zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…