Lissu amefeli, CHADEMA ipo vipande vipande ameshindwa kuiunganisha

 

Attachments

Hiiii, eti imegawanyika - Jidanganye!!
 
Kweli ni mdomo maana hana Dola! kwahiyo wananchi tunamuunga mkono kwa mdomo wake maana anatuambia ukweli! wengine watatumia dola siyo mdogo uko sahihi kabisa
Eti kuna mpasuko CHADEMA,kamsikilize Luaga Mpina,Ndugai ex-speaker,msikilize Warioba Sinde(jaji) na Butiku utajua chama bila mipasuku midogomidogo ni mortuary.
 
Alikuwa ni Lowassa siyo Mbowe. Na bado kuna watu wengi wanasema alifanya kosa kumkaribisha Lowassa kwa sababu angesimama dr Slaa kama ilivyokuwa imepangwa, ushindi ungekuwa mkubwa zaidi.
Sawa mwenyekiti wa chama alikuwa lowasa
 
Mtu mweusi ni mjinga sana.
Mwaka jana walisema ni chama cha kidikteta mana kina mwenyekiti wa maisha ( mbowe). Mwaka huu lisu hafai kwasababu kamshinda mbowe!
Kwanini mzungu qsituzarau hapo
 
Baad ya kupata viongozi wazalendo, CHADEMA imerejea kwenye njia kuu.
Cha ajabu ccm ndo wanaona vipande vilivyopo ndani ya CHADEMA
 
NA BADO MAPANDIKIZI YOTE YA CCM YATAJULIKANA NA KUFUKUZWA, SIKU ZOTE MAJI HAYAKAI NA MAFUTA.
 
Mkuu, hongera kwa kuona mbali
 
NA BADO MAPANDIKIZI YOTE YA CCM YATAJULIKANA NA KUFUKUZWA, SIKU ZOTE MAJI HAYAKAI NA MAFUTA.
Kuna Jaluo moja liko Mwanza lilimpinga sana Lissu asishinde uenyekiti,sasa hivi ni wa kuhurumiwa. Hana hoja na amepuuzwa kinyama
 

View: https://www.instagram.com/p/DIBMHZmgmUV/?igsh=OTByM3UzbDQ4aDFz
 
Vipi umeona waraka wa kwanza wa G55?

Soon unakuja wa pili.
 
Ndio mumpige Mwenezi wenu wa chama?
 
aunganishe wann kwani wao hawajui wajibu wao ....watoke na lisuatakuwa imara Leo na kesho itakuwa zaidi
 
Eti kuna mpasuko CHADEMA,kamsikilize Luaga Mpina,Ndugai ex-speaker,msikilize Warioba Sinde(jaji) na Butiku utajua chama bila mipasuku midogomidogo ni mortuary.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…