Kijani hatuna mupasuko😅Kwa maoni yangu ambae nimeifuatilia CHADEMA tangu inaanzishwa, naona kipindi hiki cha Lissu CHADEMA imejipata barabara, hao wana CHADEMA wachache unaowasikia wakienda kinyume na "MOVEMENT' hii ya LISSU, ndio waliokuwa wanachelewesha "NO REFORM, NO ELECTION'. Kuhusu mipasuko, hakuna chama kisicho na nyufa ndani kwa ndani, cha msingi ni kuendelea kuziziba pale zinapotokeza. Nawashauri CHADEMA wapigilie hapohapo. 😛 😛 😛 😛
aunganishe wann kwani wao hawajui wajibu wao ....watoke na lisuatakuwa imara Leo na kesho itakuwa zaidi
Tena alitakiwa akapigiwe mbele ya Nchimbi ili iwe fundisho kutumika na ccm.Ndio mumpige Mwenezi wenu wa chama?
mnapiga picha za asb kabla watu hawajajaView attachment 3293163
Sawa Lissu yupo imara ndio maana mikutano haina watu.
Sawa, mpo jirani na mnapopataka kufika. CUF ya maalim na lipumba walipitia hizi stages.Tena alitakiwa akapigiwe mbele ya Nchimbi ili iwe fundisho kutumika na ccm.
mnapiga picha za asb kabla watu hawajaja
Ni kweli, maana hatuko tayari na chaguzi za kipuuzi.Sawa, mpo jirani na mnapopataka kufika. CUF ya maalim na lipumba walipitia hizi stages.
Haizuii uchaguzi kufanyika.Ni kweli, maana hatuko tayari na chaguzi za kipuuzi.
Uchaguzi wa kishenzi utaachaje kufanyika?Haizuii uchaguzi kufanyika.
Uwe wa kishenz Rais na wabunge watapatikana na wataongoza kwa miaka mitano na hakuna chadema watacho gain.Uchaguzi wa kishenzi utaachaje kufanyika?