Lissu ameni inspire nirudi darasani kusoma shahada nyingine ya sheria

Annunaki

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2021
Posts
2,212
Reaction score
4,676
Leo wakati nafuatilia videos zote za matukio ya leo kuhusu kesi ya uhaini ya Lissu, nimejikuta nahamisika sana kurudi darasani kusoma shahada ya Sheria. Ni ukweli ukiijua sheria vizuri mahakamani uwezi kuonewa onewa kizembe.

Ni rasmi sasa naenda kuanza kusoma sheria. Nitawekeza kwa nguvu zote katika taaluma hii.

Mwisho kabisa, aisee Lissu ni bingwa wa sheria kwelikweli.
 
Niliwahi comment hapa kuwa Lissu anafanya vijana wapende kusome sheria. Kama sio comment, basi ilikuwa katika moja ya nyuzi zangu humu ila bahati mbaya ile comment sikumbuki nini kilitokea ikafutwa kama sio uzi kuunganishwa.

Kilichonisukumu ilikuwa ni mchango wa Lissu Bungeni kama nakumbuka sawa sawa.

All in all, Lissu ni mtu mwenye kipaji maalumu na huenda yuko hapa duniani kwa kazi maalumu kuhusu nchi yake na si kuishi tu hapa duniani kama sisi wengine.

Muda utathibitisha.
 
Kichwa kinachaji?
 
Kuijua sheria ni muhimu sana katika maisha yetu haya na sasa na mimi sina budi kurudi darasani nifuate nyendo zake huyu gwiji na mtaalamu wa sheria.
 
Leo wakati nafuatilia videos zote za matukio ya leo kuhusu kesi ya uhaini ya Lissu, nimejikuta nahamisika sana kurudi darasani kusoma shahada ya Sheria. Ni ukweli ukiijua sheria vizuri mahakamani uwezi kuonewa onewa kizembe.

Ni rasmi sasa naenda kuanza kusoma sheria. Nitawekeza kwa nguvu zote katika taaluma hii.

Mwisho kabisa, aisee Lissu ni bingwa wa sheria kwelikweli.

Usijisumbue, Lisu sio shahada peke yake; ni experience, msomaji kweli, na very committed mtu, more to tabia!
 
Leo wakati nafuatilia videos zote za matukio ya leo kuhusu kesi ya uhaini ya Lissu, nimejikuta nahamisika sana kurudi darasani kusoma shahada ya Sheria. Ni ukweli ukiijua sheria vizuri mahakamani uwezi kuonewa onewa kizembe.

Ni rasmi sasa naenda kuanza kusoma sheria. Nitawekeza kwa nguvu zote katika taaluma hii.

Mwisho kabisa, aisee Lissu ni bingwa wa sheria kwelikweli.
karibu kwenye uwanda wa sheria.
 
yule ndo alivyo kabla hajasoma sheria tayari alikuwa anaijua,kawaulize walimu wake wa msingi ,toka alivyoingia la tatu hajawahi wahi namba shule,kulima Mashamba ya walimu wala kujenga nyumba ya mwl ,yote hayo aliyatafsiri ni ukoloni .......
 
Hii peke yake haitoshi...Yule Mzee ni gifted leo alikua anatoa darasa kuanzia kwa mawakili wake,wa serikali,wasikilizaji,askari, mpaka hakimu mwenyewe.
Serikali huwa inamkamata ili aende kutoa uzoefu wa kazi kwa mawakili wa serikali. Leo alivyoingia tu mzigoni, Mara paap, suruali zikajaa mavi- Mara paap- tuahirishe hii kesi- huyu shahidi aje Siku Nyingine. Ile ngoma sio ya kitoto hata Ramadhani Kingai anaujua mziki wake.

Shauri hili ni isidingo tupu…
 
Back
Top Bottom