Lissu ameni inspire nirudi darasani kusoma shahada nyingine ya sheria

wengi wamesoma sheria, tena kumzidi ila huyu bwana ni habari nyingine. watu kama hawa ni nadra kuwapata. ni talanta pia, maana kuna watu, wamechimbuka huko havard, na kwa lissu wanakaa.

we, soma tu ila kila mtu ana upekee wake. hongera kwa kumkabali mwamba.
 
Iyo ulikua nayo imekusaidia nini
 
Shahidi :Nilikabidhi video katika mfumo wa mp4

Wakili:Mp4 ni nini?

Shahidi: abuhsugfjpalshdhajs
 
Naomba kujua uwezo wa wakilia wa serikali anayejibizana na lissu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…