Tetesi: Lissu amepewa option ya ama kuachiwa Huru ila aondoke nchini kakataa

Aisee
 
Watawala wamelewa madaraka Lissu angekubali atoke then hawachenjie juu kwa juu hawa jamaa wanafanya nchi mali yao kwa hiyo tumekubaliana mahakama haziko huru angekubali kuondoka nchini wangekuja na siasa za Maji taka kwamba mnamuona Lissu baada ya kuachiwa kakimbia nchi siasa za maji taka
 

Hata akina Mandela walifungwa na kupoteza sifa za kugombea. Mwisho wote tunajua nini kilitokea. Hizi kesi za kisiasa mwisho wake wote tunaujua.
 
Hawa jamaa wajinga sana..

Wanamwendeaje mtu ambaye wanajua kabisa si mtu wa namna yao na si mshirika wa uovu wao, si mtu wa kupenda kupindisha pindisha mambo waki assume kuwa atawakubalia....?

Alikataa pesa (haina shaka kuwa yalikuwa mabilioni kadhaa) ya Abdul mwana wa malikia ambayo yalikuwa wazi, yasiyo na sharti la kijinga na kipuuzi kama hili na ya kuletewa nyumbani kabisa wategemee kuwa wangeweza kumwingiza kwenye mtego wa kijinga namna hiyo ndani ya gereza huku akijua kabisa kuwa, hana makosa na wanamuonea tu..?

Tumuunge mkono huyu mtu maana ni mtu wa HAKI kwa hakika. Ndiye aifaaye Tanzania kwa sasa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…