britanicca
Platinum Member
- May 20, 2015
- 18,261
- 48,864
- Thread starter
-
- #121
Uoga maana hata jeshini nao wamechoka kuna taarifaNje ya mada kidogo, kikachero hii imekaaje?!
Huku niliko leo kwa mara ya kwanza tangu nizaliwe, .....
Jeshi la polisi limepita mtaani na gari ya matangazo ikituomba mwananchi yeyote anaemiliki silaha isiyo halali akaiandikishe, hatachukuliwa hatua, ni zoezi la kuimarisha usalama!... na wenye nazo kihalali wakazihakiki!
Kiukweli bado nafikiria lengo la hii operesheni ya polisi sijapata jibu! Ni uoga? Ama ni nini?... sijawahi kushuhudia kitu kama hichi nchini tangu nizaliwe miaka 37 iliyopita!.
Timu ya watu Kwenda kumshawishi Lissu kwamba
Aachiwe huru ila aondoke nchini imegonga mwamba baada ya Lissu kugoma sharti hilo,
Wakamshauri Rais kuwa Kama kagoma basi afungwe kifungo cha muda mrefu ila ndani miezi michache alafu atolewe kwa msamaha wa Rais na akose kigezo cha kugombea, David Kamote naye anazingua sana tupo na tutakuwapo
Ukinikatalia basi yatajulikana muda ukishaga pita na wanaotukana wanaombaga msamaha wenyewe
Britanicca
Mtangajyika aondoke nchini kwake aende wapi ? Wanaotakiwa kuondoka tanganyika ni wale kutoka nchi jirani sio TLTimu ya watu Kwenda kumshawishi Lissu kwamba
Aachiwe huru ila aondoke nchini imegonga mwamba baada ya Lissu kugoma sharti hilo,
Wakamshauri Rais kuwa Kama kagoma basi afungwe kifungo cha muda mrefu ila ndani miezi michache alafu atolewe kwa msamaha wa Rais na akose kigezo cha kugombea, David Kamote naye anazingua sana tupo na tutakuwapo
Ukinikatalia basi yatajulikana muda ukishaga pita na wanaotukana wanaombaga msamaha wenyewe
Britanicca
Uhaini afungwe miezi michache?
Ukimpenda wewe, halafu akapendwa pia na akina Abdul na Lucas Mwashambwa, inatosha sana. Mimi hapana.mpende tu, ni rais wa nchi, the rest is non of your business
hakuna mwingine, ni yeye mpende tuUkimpenda wewe, halafu akapendwa pia na akina Abdul na Lucas Mwashambwa, inatosha sana. Mimi hapana.
Nisaidie kulekebisha ticha!Rekebisha lugha umekosea.
OkRekebisha lugha umekosea.
Ndio dalili haswa ya u zombie.Wewe umeshajidhihirisha kwamba una akili ya kushikiwa.Endelea kuamini ujinga.Juzi mlifungwa kamba na huyo huyo eti marehemu Bibi Titi alisamehewa na Nyerere mwaka 1975.Mkaitikia kama misukule.Acha watakao kutukana wakutukane britanicca. Kwangu mimi hata ukiandika mawe yameimba kwaya nitaamini.
Umeongea kitu ambacho mimi nimekuwa nikiwaeleza wazee wa "mitano tena" kwamba hata kama samia atapita salama sala kwenye hili vugu vugu linalotishia kumng'oa madarakani hapo October.... ila hii miaka mitano utawala wake utakuwa na misuko suko sana kuliko za watangulizi wake wote, na anaweza hata asiimalize hata awamu yenyewe.Kwanza atakuwa mwovu zaidi kuliko alivyo kwisha onyesha katika hii miaka ya kuokota barabarani.
Ataivuruga sana nchi huyu, na wananchi wenyewe watavurugika sana. Kuibuka kwa makundi hatari ndani ya jamii, yakihatarisha usalama wa makundi mengine halitakuwa jambo la kushangaza.
CCM ingekuwa ni imara, huyu mama na hao wenzake wanaoitumia CCM yenyewe isingeruhusu afanye yote haya aliyo kwisha fanya hadi sasa.Umeongea kitu ambacho mimi nimekuwa nikiwaeleza wazee wa "mitano tena" kwamba hata kama samia atapita salama sala kwenye hili vugu vugu linalotishia kumng'oa madarakani hapo October.... ila hii miaka mitano utawala wake utakuwa na misuko suko sana kuliko za watangulizi wake wote, na anaweza hata asiimalize hata awamu yenyewe.
Tukiachana na raia tu wa kawaida sisi ambaye yeye anaamini hatuna la kumfanya, humo humo tu kwenye ccm yake tayari kuna mpasuko mkubwa sana ambao haujawahi kutokea tangu chama kinaanzishwa kitu ambacho kinashusha uimara wa chama
Hiyo operation wanata kujua kuwa ni watanzania wangapi wa kawaida ambao ni potential threat kwao pale hali itakapokuwa mbaya zaidi hili aidha wakimbie au wajua jnsi ya kukabiliana nao.Nje ya mada kidogo, kikachero hii imekaaje?!
Huku niliko leo kwa mara ya kwanza tangu nizaliwe, .....
Jeshi la polisi limepita mtaani na gari ya matangazo ikituomba mwananchi yeyote anaemiliki silaha isiyo halali akaiandikishe, hatachukuliwa hatua, ni zoezi la kuimarisha usalama!... na wenye nazo kihalali wakazihakiki!
Kiukweli bado nafikiria lengo la hii operesheni ya polisi sijapata jibu! Ni uoga? Ama ni nini?... sijawahi kushuhudia kitu kama hichi nchini tangu nizaliwe miaka 37 iliyopita!.
Kwani JK ni std Unit ?Nyerere kasamehe akina Bibi TITI ulikuwa hujazaliwa Mwaka 1975?
CCM ingekuwa ni imara, huyu mama na hao wenzake wanaoitumia CCM yenyewe isingeruhusu afanye yote haya aliyo kwisha fanya hadi sasa.
Kwa bahati mbaya sana, CCM kama chama sasa hivi kinatumiwa tu na Genge la hawa watu wa hovyo kabisa.
Hili ndilo limekuwa tatizo letu kubwa.
Sasa kama unavyo sema hapa; huenda huko huko ndani ya CCM hatimae kutainuka watu ambao hawatakubali chama chao kiendelee kuvurugwa kama kilivyo vurugwa hadi sasa. Kama hilo halitatokea, CCM na yenyewe itakuwa njiani kuwa kama hivi vyama vingine vilivyo dhoofu na pengine hatimae kutoweka kabisa.
Sasa hivi kinacho washikilia pamoja ni hayo marupurupu yanayotokana na kuwa na serikali. haya yakiondolewa CCM itasambaratika.
Hilo genge la wahuni ni obvious unawaongelea wana mtandao sio?...CCM ingekuwa ni imara, huyu mama na hao wenzake wanaoitumia CCM yenyewe isingeruhusu afanye yote haya aliyo kwisha fanya hadi sasa.