Lissu ametoa wapi mamia ya mamilioni kugharamia mkutano wake uliofanyika katika ukumbi wa kifahari wa Mlimani City?

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Najiuliza tu, hayo mamia ya mamilioni kayatoa wapi wakati juzi tu tulikuwa tunamchangia apate usafiri? Na akaandamana na watu wengi sana, wengine wamelipiwa nauli kutoka mikoani na kulazwa kwenye hoteli zenye fahari kuu jijini Dar es salaam?
 
ukiachilia mambwenyenye ya magharibi yanayombackup kwa siri sana,

fungu kubwa na logistics nyingine amefanya rafiki yake wa siku nyingi sana anaitwa Petro Msigwa, nadhani huyu muungwana ni kada wa CCM, pamoja na marafiki zake wengine..

na unajua siasa sio uadui bana 🐒
 
Nafikiri ungeanza kuhoji kwanza alitoa wapi mamilioni ya kufanya sherehe ya harusi yake Hyatt Regency Kilimanjaro (Kempinski)
Na ni zamani hizo... Kama hujui maisha ya mtu usikurupuke, Lissu sio masikini mwenzio.
 
Najiuliza tu, hayo mamia ya mamilioni kayatoa wapi wakati juzi tu tulikuwa tunamchangia apate usafiri? Na akaandamana na watu wengi sana, wengine wamelipiwa nauli kutoka mikoani na kulazwa kwenye hoteli zenye fahari kuu jijini Dar es salaam?
Msigwa foundation
 
Nafikiri ungeanza kuhoji kwanza alitoa wapi mamilioni ya kufanya sherehe ya harusi yake Hyatt Regency Kilimanjaro (Kempinski)
Na ni zamani hizo... Kama hujui maisha ya mtu usikurupuke, Lissu sio masikini mwenzio.
Enzi hizo yeye na Lugemeleza Nshala walikuwa wanaiba Lawyers Environmental Action Team (LEAT) mpaka wakaifilisi
 
Back
Top Bottom