Lissu ametoa wapi mamia ya mamilioni kugharamia mkutano wake uliofanyika katika ukumbi wa kifahari wa Mlimani City?

Umetanguliza neno usiri mkubwa ili usiulizwe kuhusu ushahidi. Msigwa yupi unamzungumzia. Nae ana wahisani au ni pesa zake kama ikiwa kweli amefanya
kwani hujui msigwa yupo chama gani? na hujui mbinu za kimafia za huko aliko? lissu sasahivi ni ccxm
 
Najiuliza tu, hayo mamia ya mamilioni kayatoa wapi wakati juzi tu tulikuwa tunamchangia apate usafiri? Na akaandamana na watu wengi sana, wengine wamelipiwa nauli kutoka mikoani na kulazwa kwenye hoteli zenye fahari kuu jijini Dar es salaam?
Kutoka kwa wanachama hapo vipi?
 
Umetanguliza neno usiri mkubwa ili usiulizwe kuhusu ushahidi. Msigwa yupi unamzungumzia. Nae ana wahisani au ni pesa zake kama ikiwa kweli amefanya
Gentleman,
zingatia maelezo hayo, ni muhimu sana for the record 🐒
 
Najiuliza tu, hayo mamia ya mamilioni kayatoa wapi wakati juzi tu tulikuwa tunamchangia apate usafiri? Na akaandamana na watu wengi sana, wengine wamelipiwa nauli kutoka mikoani na kulazwa kwenye hoteli zenye fahari kuu jijini Dar es salaam?
Mamia ya mamilioni, hivi una akili kweli wewe? Hata ni hizo propaganda basi angalia zifanane fanane na ukweli, eti ukumbi wa kifahari.
 
Ukiisikiliza Speech ya Lissu alisema wazi kuwa kuwa Wafadhili wamesaidia ule mkutano wake.
 
Najiuliza tu, hayo mamia ya mamilioni kayatoa wapi wakati juzi tu tulikuwa tunamchangia apate usafiri? Na akaandamana na watu wengi sana, wengine wamelipiwa nauli kutoka mikoani na kulazwa kwenye hoteli zenye fahari kuu jijini Dar es salaam?
Uliambiwa ni milioni mia ngapi?
 
Najiuliza tu, hayo mamia ya mamilioni kayatoa wapi wakati juzi tu tulikuwa tunamchangia apate usafiri? Na akaandamana na watu wengi sana, wengine wamelipiwa nauli kutoka mikoani na kulazwa kwenye hoteli zenye fahari kuu jijini Dar es salaam?
Unafahamu gharama za kukodi ukumbi wa Mlimani City ni kiasi GANI?
 
ANACHOLALAMIKIA LISSU KWA MBOWE NDO WANACHOLALAMIKIA CHADEMA KWA CCM.. NDO SIASA ILIVYO, KILA MJA ANAPIGANIA CHAKE..
 
Najiuliza tu, hayo mamia ya mamilioni kayatoa wapi wakati juzi tu tulikuwa tunamchangia apate usafiri? Na akaandamana na watu wengi sana, wengine wamelipiwa nauli kutoka mikoani na kulazwa kwenye hoteli zenye fahari kuu jijini Dar es salaam?
Mkuu kwani wewe ndiye mweka hazina au mtia saini mwenza kwenye akaunti ya Tundu Lissu.

Kuhusu kuchangiwa, Tundu Lissu hakuwahi kuomba kuchangiwa. Watu tu kwa mapenzi yao ndio waliomua kumchangia.

Mkuu unasahauje haraka kiasi hicho??
 
Kikubwa hapa Lissu anaendeshwa na msigwa kwa remote control
Mkuu
Hapana bana. Nimeshiriki kichangisha.

Kwa taarifa yako ndani ya masaa matatu Diaspora na wapenda mageuzi tulichanga jumla ya milioni 10+

Kila aliyechangia namfahamu na huyo msigwa anavyowaogopa Sauti ya Watanzania (Diaspora) hathubutu kusogeza pua yake kule
 
Back
Top Bottom