Lissu ametoa wapi mamia ya mamilioni kugharamia mkutano wake uliofanyika katika ukumbi wa kifahari wa Mlimani City?

Najiuliza tu, hayo mamia ya mamilioni kayatoa wapi wakati juzi tu tulikuwa tunamchangia apate usafiri? Na akaandamana na watu wengi sana, wengine wamelipiwa nauli kutoka mikoani na kulazwa kwenye hoteli zenye fahari kuu jijini Dar es salaam?
Diaspora wamechanga na hata mimi nimechangia
 
Najiuliza tu, hayo mamia ya mamilioni kayatoa wapi wakati juzi tu tulikuwa tunamchangia apate usafiri? Na akaandamana na watu wengi sana, wengine wamelipiwa nauli kutoka mikoani na kulazwa kwenye hoteli zenye fahari kuu jijini Dar es salaam?
Umasikini mbaya sana. Unadumaza hata mzamo wa mtu.
Mawazo yake huwa ya kimasikini sikini tu.
Hawa ndio ukipata pesa wanakuzushia kuwa sio pesa ya halali hiyo.
Yote ni kwa sababu ya akili yao kushindwa kubadilika na kuwa na mtazamo chanya.
 
ukiachilia mambwenyenye ya magharibi yanayombackup kwa siri sana,

fungu kubwa na logistics nyingine amefanya rafiki yake wa siku nyingi sana anaitwa Petro Msigwa, nadhani huyu muungwana ni kada wa CCM, pamoja na marafiki zake wengine..

na unajua siasa sio uadui bana 🐒
Aaah,ya kweli haya wajameni😔
 
Nawakumbusha tu bila Mwamba Mbowe saa hizi Lissu angekuwa shimo la Tewa !
Kama Mbowe alibariki hiyo press conference sawa lakini kama hakuibariki basi Lissu hafai.
Kama mtakumbuka Mwl Nyarere aliwahi kusema CCM si mama yake anaweza kuhama lakini alisema zaidi he cannot leave his country to the dogs ! manake hawezi kuwaachia nchi wapuuzi.Vivo hivyo Mbowe aliaminiwa na Wazee waasisi akaachiwa chama sasa hawezi kukiacha chama kwa watu wasioaminika wenye tamaa binafsi.Tumeshamuona Lissu kuwa ni mbinafsi kutokana na matendo yake na matamshi yake ! Sidhani kama ni rahisi huyu bwana kuachiwa chama.
Kuwa kiongozi ni pamoja na kuwa na hekima huyu jamaa hana hekima aslani.
Tusubiri muda utaongea
 
ukiachilia mambwenyenye ya magharibi yanayombackup kwa siri sana,

fungu kubwa na logistics nyingine amefanya rafiki yake wa siku nyingi sana anaitwa Petro Msigwa, nadhani huyu muungwana ni kada wa CCM, pamoja na marafiki zake wengine..

na unajua siasa sio uadui bana 🐒
Umetanguliza neno usiri mkubwa ili usiulizwe kuhusu ushahidi. Msigwa yupi unamzungumzia. Nae ana wahisani au ni pesa zake kama ikiwa kweli amefanya
 
Umasikini mbaya sana. Unadumaza hata mzamo wa mtu.
Mawazo yake huwa ya kimasikini sikini tu.
Hawa ndio ukipata pesa wanakuzushia kuwa sio pesa ya halali hiyo.
Yote ni kwa sababu ya akili yao kushindwa kubadilika na kuwa na mtazamo chanya.
Mimi tajiri mkuu
 
Mwanaume kumuliza mwanume mwenzake anapata wapi hela za natumiz yake hii me naona haijakaa sawa
 
Sema Lissu mpunga upo. Kwa kazi alizowahi fanya atakuwa na mpunga mrefu sana kwasababu pia hafanyi biashara. Mwanasheria mkongwe huyo mwenye CV nene. Kwa sasa tu-focus kumsaidia kada mwenzetu wa CCM aliyepo CHADEMA kwa kazi maalum Ndugu Mbowe asije akaupoteza uenyekiti.
 
Najiuliza tu, hayo mamia ya mamilioni kayatoa wapi wakati juzi tu tulikuwa tunamchangia apate usafiri? Na akaandamana na watu wengi sana, wengine wamelipiwa nauli kutoka mikoani na kulazwa kwenye hoteli zenye fahari kuu jijini Dar es salaam?
Lisu ni asset kwa watu wengi usije kuta anaandaliwa kuwa mgombea wa uraisi wa CCM.
 
Najiuliza tu, hayo mamia ya mamilioni kayatoa wapi wakati juzi tu tulikuwa tunamchangia apate usafiri? Na akaandamana na watu wengi sana, wengine wamelipiwa nauli kutoka mikoani na kulazwa kwenye hoteli zenye fahari kuu jijini Dar es salaam?
rafiki yake msigwa kadhamini show hiyo sasa hapo ndiyo utajuwa hujui
 
Back
Top Bottom