Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 25,252
- 36,513
Diaspora wamechanga na hata mimi nimechangiaNajiuliza tu, hayo mamia ya mamilioni kayatoa wapi wakati juzi tu tulikuwa tunamchangia apate usafiri? Na akaandamana na watu wengi sana, wengine wamelipiwa nauli kutoka mikoani na kulazwa kwenye hoteli zenye fahari kuu jijini Dar es salaam?