Pre GE2025 Lissu amjibu Wasira. Asema Uchaguzi Mkuu usogezwe mbele kupata Katiba Mpya, vinginevyo watazuia uchaguzi kwa maandamano

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kama kuna Intervies
Ingawa kuna hoja nzuri sana ameziongea , ila Kama kuna Interviews alizowahi kufanya Tundu Lissu ambazo hazijawahi kunivutia kabisa, basi ni hii.
Wasaidize wake wamsaidie apumzike kwanza. Pili, kabla ya hiyo misimamo na matamko wamalizie kwanza chaguzi ambazo zilisimama, wasuke Chama, Kamati kuu ikao ndipo aanze hizo Interviews.
Atambue kwamba sasa hivi amebeba image ya Chama.
 
namba ( 2) nolijuaga tu ndio itakua wimbo wenu. sasa ngoja nikusadie uelewe mana hiv vitu wanadiplomassia wakubwa ndio tunatambua.kasema hivii watajaribuu ina amanaa ni kitu kigumu mno. hapa itabidi mnywe akayabagu ii bujumbura na mandaz
 
Atafute namna nyingine tuu hii ya maandamano kwa watanzania ni uongo imesha shindwa, serikali inajua kabisa yakitangazwa maandamano wao watatoa vitisho kidogo tuu na hakuna atakae ingia barabarani afikirie upya
Yani siku iyo tunakiomba Jesh letu la Polisi, na Jeshi la wananchi tunafanya usafi dunia nzima, kila nyumba tunafanya bure kabisa.
 
Hata wewe umeropoka kwenye huwo mtango wako wa maneno.
 
kutumia maandamano kama approach ya kutaka kusikilizwa mbinu ili buma ndio maana mara baada ya Mbowe kutoka gerezani akaona badala abadilishe mbinu nyingine za mapambano atumie mbinu ya mazungimzo na mkuu wa nchi ingawa ilitafsiriwa kulamba asali. Ukiangalia kwa jicho la tatu inaoneka dhahiiri shahiri nothing gona change the narrative, maana kipindi mwenyekiti mstaafu yupo gerezani Lisu alikuwa makamu wa Mbowe sasa kwanini alishindwa kuhamasisha maandamano ili mbowe aachiwe yeye akiwa nje ndio kama bosi ,kwa hiyo dawa ambayo utawala umeona kuwadhibiti chadema ni kukamata viongozi wao wandaamizi na waweka gerezani kwa kufanya hivyo serikali ya ccm inakuwa imewaweza na kuwadhibiti wapizani 100%
 
Takataka +
 
Mwanaharakati huru alisema huyu ataiingiza nchi kwenye vita🐼
 
Pole
 
Ccm sasa mmepata mganga wenu mlijifanya matahira kitambo sana
 
Wazee wa amshaamsha washaanza 😄

Ova
 
Ila ndio mtata sasa
 
yale maandamano ya mwisho kuitishwa yamalizikaje vile? Ni wangapi walijitokeza? Tanzania kwa maneno ni hodari sana ila kwa vitendo no way! Kila mmoja anaipenda roho yake na familia yake. Watasema weee na kuwatomeza wenzao wakati wao wanakaa pembeni wakiangalia wenzao wanavyosulubiwa.
 
Tunazungumzia vyama vya upinzani sio vyama bandia, Tanzania inafahamika chama kikuu cha upinzani ni chadema kwa Tanganyika na kule Zanzibar ni ACT
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…