PakiJinja
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 11,689
- 25,848
Kama kuna Intervies
Wasaidize wake wamsaidie apumzike kwanza. Pili, kabla ya hiyo misimamo na matamko wamalizie kwanza chaguzi ambazo zilisimama, wasuke Chama, Kamati kuu ikao ndipo aanze hizo Interviews.
Atambue kwamba sasa hivi amebeba image ya Chama.
Ingawa kuna hoja nzuri sana ameziongea , ila Kama kuna Interviews alizowahi kufanya Tundu Lissu ambazo hazijawahi kunivutia kabisa, basi ni hii.Tundu Lissu amesema "Sheria zetu za Uchaguzi ni mbovu, haziwezi kurekebishika zinahitaji kuandikwa upya na , tutazuia Uchaguzi kwa maandamano"
Soma, Pia: Wasira: Hoja ya Chadema kutaka Katiba mpya kabla ya uchaguzi mkuu Oktoba 2025 imechelewa