Pre GE2025 Lissu amjibu Wasira. Asema Uchaguzi Mkuu usogezwe mbele kupata Katiba Mpya, vinginevyo watazuia uchaguzi kwa maandamano

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
P
panicking disorder
 
Ninyi wajinga wajinga wanafiki tulieni, waacheni wazalendo wenye akili na weledi walete mabadiliko. Mabadiliko, hata siku moja, hayaletwi na machawa punguani.
 
Ngoja tisubiri yatakayojiri,ni suala la muda tu.Jamaa siasa zake ni ngumu,anajua yeye mwenyewe namna ya kuziendesha pamoja na wale waliomuwezesha kuwa mwenuekiti licha ya CCM kumuunga mkono Mbowe.
 
Acha wazalendo wa kweli wenye akili kubwa waongoze mabadiliko ya kweli Tanzania.

Hata siku moja, mabadiliko ya kweli huwa hayaletwi na watu wajinga wajinga, punguani na wanafiki, kama ninyi.
 
Tumpe muda Lissu anaweza kufanya jambo nchi hii na watu hawataamini,kizuri yeye ni mwalimu wa sheria
 
Ili wapate nini hasa kwenye ulimwengu huu wa ushindani wa kiuchumi?

Hamjui mnachoongea.Kama kina Burkifaso na umaskini wao wamewatimua Western sembuse Tanzania ?
Bukinabe wamefanikiwa sbb ya viongozi wazalendo, huko ccm Kuna mzalendo yupi?
 
Bukinabe wamefanikiwa sbb ya viongozi wazalendo, huko ccm Kuna mzalendo yupi?
Wamefanikiwa kufanyaje? Nimetolea mfano wa maskini kujitutumua itashindikanaje Kwa Tanznaia yenye hela?

Kwa Sasa hatuna sababu ya kujitutumua
 
Mzee Wasira Amechezea Umeme
Nimeishi jirani naye pale Makangira Msasani wakati akiwa bench

Ni mzee mmoja mstaarabu sana, kuna Wakati namkaribisha BIA pale Leecars club anasema" bwana mdogo Leo nimeagiza ile pombe yetu ya kijijini sitakunywa BIA"
 
Ya Kijijini Ipi Hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…