Nilipe nisepe
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 446
- 971
Ubaya ubwela
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
panicking disorderHuyu jamaa ni kiande kweli kweli.
Yani yeye azuie uchaguzi kama nani kwenye hii nchi?
Eti tutaaandamana. Ataandamana na nani?
Yani mtanzania wa kuandamana ili kuzuia uchaguzi yupo wapi?
Huyu anachojua ni kuropoka tu hiko chama sio size yake hajui uongozi.
Wewe kama hutaki uchaguzi sisi tunautaka, na ACT pamoja na CCM watu wameshatangaza nia na wagombea.
Asiyetaka uchaguzi aende akapigwe pipe Ubeligiji. Hakuna mtu atazuia uchaguzi nchi hii hizo ni ndoto za mtu mwenye mwezi mchanga.
Yani unafikiri kwa kuwa umefanikiwa kumchafua Mbowe aliyekulea na kuokoa maisha yako ndio utazuia na uchaguzi wewe punguani?
Mpumbavu!
Ninyi wajinga wajinga wanafiki tulieni, waacheni wazalendo wenye akili na weledi walete mabadiliko. Mabadiliko, hata siku moja, hayaletwi na machawa punguani.Huyu jamaa ni kiande kweli kweli.
Yani yeye azuie uchaguzi kama nani kwenye hii nchi?
Eti tutaaandamana. Ataandamana na nani?
Yani mtanzania wa kuandamana ili kuzuia uchaguzi yupo wapi?
Huyu anachojua ni kuropoka tu hiko chama sio size yake hajui uongozi.
Wewe kama hutaki uchaguzi sisi tunautaka, na ACT pamoja na CCM watu wameshatangaza nia na wagombea.
Asiyetaka uchaguzi aende akapigwe pipe Ubeligiji. Hakuna mtu atazuia uchaguzi nchi hii hizo ni ndoto za mtu mwenye mwezi mchanga.
Yani unafikiri kwa kuwa umefanikiwa kumchafua Mbowe aliyekulea na kuokoa maisha yako ndio utazuia na uchaguzi wewe punguani?
Mpumbavu!
Ngoja tisubiri yatakayojiri,ni suala la muda tu.Jamaa siasa zake ni ngumu,anajua yeye mwenyewe namna ya kuziendesha pamoja na wale waliomuwezesha kuwa mwenuekiti licha ya CCM kumuunga mkono Mbowe.Huyu jamaa ni kiande kweli kweli.
Yani yeye azuie uchaguzi kama nani kwenye hii nchi?
Eti tutaaandamana. Ataandamana na nani?
Yani mtanzania wa kuandamana ili kuzuia uchaguzi yupo wapi?
Huyu anachojua ni kuropoka tu hiko chama sio size yake hajui uongozi.
Wewe kama hutaki uchaguzi sisi tunautaka, na ACT pamoja na CCM watu wameshatangaza nia na wagombea.
Asiyetaka uchaguzi aende akapigwe pipe Ubeligiji. Hakuna mtu atazuia uchaguzi nchi hii hizo ni ndoto za mtu mwenye mwezi mchanga.
Yani unafikiri kwa kuwa umefanikiwa kumchafua Mbowe aliyekulea na kuokoa maisha yako ndio utazuia na uchaguzi wewe punguani?
Mpumbavu!
Acha wazalendo wa kweli wenye akili kubwa waongoze mabadiliko ya kweli Tanzania.Huyu jamaa ni kiande kweli kweli.
Yani yeye azuie uchaguzi kama nani kwenye hii nchi?
Eti tutaaandamana. Ataandamana na nani?
Yani mtanzania wa kuandamana ili kuzuia uchaguzi yupo wapi?
Huyu anachojua ni kuropoka tu hiko chama sio size yake hajui uongozi.
Wewe kama hutaki uchaguzi sisi tunautaka, na ACT pamoja na CCM watu wameshatangaza nia na wagombea.
Asiyetaka uchaguzi aende akapigwe pipe Ubeligiji. Hakuna mtu atazuia uchaguzi nchi hii hizo ni ndoto za mtu mwenye mwezi mchanga.
Yani unafikiri kwa kuwa umefanikiwa kumchafua Mbowe aliyekulea na kuokoa maisha yako ndio utazuia na uchaguzi wewe punguani?
Mpumbavu!
Sio wewe tu watanganyika wote mazezeta, lakini kupitia huyo jamaa atawajenga na mtashirikiIli nipate nini? Mimi ni mwoga sana kwenye mambo ya kijinga
Siwezi shiriki mambo ya kijinga maana Mimi sio zezetaSio wewe tu watanganyika wote mazezeta, lakini kupitia huyo jamaa atawajenga na mtashiriki
Hata magufuli mlimuita hivyo lkn angalau ndie rais alieacha alama zinazoonekana Kwa machoKUMEKUCHA KICHAA KAPEWA RUNGU.
Mzee Wasira Amechezea UmemeHaya
NakaziaTumpe muda Lissu anaweza kufanya jambo nchi hii na watu hawataamini,kizuri yeye ni mwalimu wa sheria
Bukinabe wamefanikiwa sbb ya viongozi wazalendo, huko ccm Kuna mzalendo yupi?Ili wapate nini hasa kwenye ulimwengu huu wa ushindani wa kiuchumi?
Hamjui mnachoongea.Kama kina Burkifaso na umaskini wao wamewatimua Western sembuse Tanzania ?
Jamba Jamba KafaMiaka mingapi?
Ndio nani?Jamba Jamba Kafa
Wamefanikiwa kufanyaje? Nimetolea mfano wa maskini kujitutumua itashindikanaje Kwa Tanznaia yenye hela?Bukinabe wamefanikiwa sbb ya viongozi wazalendo, huko ccm Kuna mzalendo yupi?
Ndio! Au wewe unapendekeza nini?mh, maandamano tena
Nimeishi jirani naye pale Makangira Msasani wakati akiwa benchMzee Wasira Amechezea Umeme
Ya Kijijini Ipi HiyoNimeishi jirani naye pale Makangira Msasani wakati akiwa bench
Ni mzee mmoja mstaarabu sana, kuna Wakati namkaribisha BIA pale Leecars club anasema" bwana mdogo Leo nimeagiza ile pombe yetu ya kijijini sitakunywa BIA"
Nadhani Konyagi Mwitu 😄Ya Kijijini Ipi Hiyo