Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,906
- 5,000
Wakuu,
Lissu anaongea club house sasa hivi kujibu hoja za wenje na kuongelea mambo mengine.
Kati ya aliyosema ni kuwa hajawahi kumtuma Wenje kuhusu madai yake kabisa na kwamba ni uongo. Lakini pia hajawahi kutoa doc za madai yake kwa abdul ili amsaidie kufatilie madai yake.
Pia soma: Pre GE2025 - Kuhusu kupokea pesa za Abdul, Mbowe asema Lissu aache kuwapaka matope wenzake
Alipoenda kumpa rushwa alitolewa nje, na siyo kwenda kuchukua docs za madai ya Lissukwahiyo wenje kadanganya.
Haya sasa mambo yanazidi kuwa matamu.
Kufatilia session hiyo washa VPN ukafaidi, bila VPN huwezi kusikiliza, ni kwenye channel ya Sauti ya Watanzania.
View attachment Part2 (1).m4a
View attachment Part3.m4a