Chambusiso
JF-Expert Member
- Jul 11, 2007
- 2,592
- 4,640
You heard? Kanyoosha yani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lissu mwenyewe amenunuliwa na Mr. Amsterdam. Na kama sio kweli ebu niambie familia yake inaishi wapi? Ebu nipe mfano wa Kiongozi yeyote Mzalendo wa nchi yake ambaye familia yake inaishi nje ya nchi yake! Mfano mmoja tu nami ntamuunga mkono Lissu. Usiponipa mfano mmoja tu, nitakupotezea maana sijibizani na nyumbu! Ahahahahaha!!!
Lissu angekua mropokaji angekutwa na hatia kwenye kesi nyingi sana.Mimi nafikiri salama ya Chadema kama chama Cha siasa ni KUMFUKUZA LISSU uwanachama aidha kabla ya uchaguzi ili asiwaharibie chama au baada ya uchaguzi ili wabaki salama baada ya uchaguzi. Sababu Kuu ni kwamba "Mtu mstaarabu haropokiropoki!".
Mtoto wa kiume kuchecheka hivi kwenye mijadala ya kiume inaleta picha tofauti mkuu.Lissu mwenyewe amenunuliwa na Mr. Amsterdam. Na kama sio kweli ebu niambie familia yake inaishi wapi? Ebu nipe mfano wa Kiongozi yeyote Mzalendo wa nchi yake ambaye familia yake inaishi nje ya nchi yake! Mfano mmoja tu nami ntamuunga mkono Lissu. Usiponipa mfano mmoja tu, nitakupotezea maana sijibizani na nyumbu! Ahahahahaha!!!
Kwahiyo Lissu ni kama Prof. Kabudi? Hapo ana tofauti gani na CCM? Ahahahahaha!!!..watoto wa viongozi mbalimbali tena waadilifu wa nchi hii wanaishi nje.
..kwa mfano, watoto wa Mzee Paul Kimiti muasisi wa Ccm ni raia wa Uingereza na majuzi walipewa tuzo na malkia.
..pia watoto wa Prof.Kabudi wanaishi nje ya nchi na baba yao amesikika akisema hivyo.
..ukichunguza familia nyingi za vigogo wa Ccm watoto wao wamesoma academy, na nje ya nchi.
Mtume mkeo au bintiyo aje anitembelee angalau kwa usiku mmoja. Ahahahahaha!!Mtoto wa kiume kuchecheka hivi kwenye mijadala ya kiume inaleta picha tofauti mkuu.
Mkuu it is too late has kwa Mbowe, itakuwa na damage kubwa zadi kuliko unavyofikiri.Mimi nafikiri salama ya Chadema kama chama Cha siasa ni KUMFUKUZA LISSU uwanachama aidha kabla ya uchaguzi ili asiwaharibie chama au baada ya uchaguzi ili wabaki salama baada ya uchaguzi. Sababu Kuu ni kwamba "Mtu mstaarabu haropokiropoki!".
🤣 🤣 🤣Alafu nawe ifikie muda uoneshe upande wako...
Kwahiyo Lissu ni kama Prof. Kabudi? Hapo ana tofauti gani na CCM? Ahahahahaha!!!
Watu mapenzi yanawapofusha, haya maneno maneno bila ushahidi ni porojo tu, hapa hakuna uthibitisho wa nani mkweli.
Walete audio na bideo za vikao vyao.
Abdul yupo hai, TAKUKURU wa muhoji na atoe ushahidi wake, na jinsi alivyowapa, kina nani kawapa, lini, wapi ,kiasi gani na kwa njia zipi, bank transfer au cash, na je kuna receipt za kuthibitisha miamala au la.
Mimi simuamini Lisu wala Wenje, ushahidi wao uchukuliwe kitaalam, ili upate credibility, siyo hizi porojo za alisema hibi, alisema vile.
Wote wananafadi nzuri kuwassidia takukuru tupate nyama, tumechoshwa na mifupa.
Binafsi, kama Lisu anataka nimuamini, akapeleke ushahidi takukuru, wao watawakamata watuhumiwa, na tutajua mbivu na mbichi.
Kwaiyo awafiche Wala rushwa?Mimi nafikiri salama ya Chadema kama chama Cha siasa ni KUMFUKUZA LISSU uwanachama aidha kabla ya uchaguzi ili asiwaharibie chama au baada ya uchaguzi ili wabaki salama baada ya uchaguzi. Sababu Kuu ni kwamba "Mtu mstaarabu haropokiropoki!".
Nani anaweza, Sauti ya Watanzania? Au wafuasi wa Lisu?..Takukuru hawawezi kushughulikia tuhuma zinazomhusu mtoto wa Mr & Mrs Hafidh.
Wenje ni mtu mwenye IQ ndogo sana uwezo wake wa kufikiri ni mdogo sanaKanyoosha rula!
Kumbe Wenje alitungatunga maneno tu kujikosha!
Nani anaweza, Sauti ya Watanzania? Au wafuasi wa Lisu?
Hata kama takukuru haiwezi, wekeni ushadi wowote mlio nao nami niuone, ama wakimaandishi yani receipt, audio au video nithibitishe, sio kuongea tu bila ushahidi wa aina yoyote.
Yani tumuamini Lisu kila asemacho, kwasabanu ni Lisu.
wenje kwenda nyumbani kwa Lisu tu ni ushahidi pia, lakini ukiwa ni chawa wa mbowe hata uletewe ushahidi wa aina gani utaukataaNani anaweza, Sauti ya Watanzania? Au wafuasi wa Lisu?
Hata kama takukuru haiwezi, wekeni ushadi wowote mlio nao nami niuone, ama wakimaandishi yani receipt, audio au video nithibitishe, sio kuongea tu bila ushahidi wa aina yoyote.
Yani tumuamini Lisu kila asemacho, kwasabanu ni Lisu.
Wenje kwenda tu kwa lisu pia ni ushahidi achilia mengine zaidi..naona kuna tit for tat inaendelea.
..tusubiri tuone mwisho wake.
..huenda ushahidi unaotamani kuuona utapatikana.
..uchaguzi huwa una mambo mengi sana ikiwemo mbinu za kijasusi baina ya wagombea.
Nasari hakufuata taratibu za kuwasilisha ushahidi, ali broke chain of custody, ushahidi ulifika lakini uliisha kuwa compromised, usingerumika kufungua kesi, siyo kwamba ulikataliwa ila taratibu zililiukwa.Nanye Go,
..wakati wa JPM, Joshua Nassari aliwasilisha ushahidi mzuri sana wa rushwa ya wana-CCM kwa Takukuru. Ushahidi huo ulipuuziwa, na aliowatuhumu walipandishwa vyeo, na wapo madarakani hata katika utawala wa Mama.
Kosa la mbowe ni kumtuma mtu mjinga mjinga kama Wenje ajibu tuhuma ni mara 100 wangekaa kimya tu ingewasaidia sanaYou heard? Kanyoosha yani