Pre GE2025 Lissu amjibu Wenje, asema aliudanganya umma kuhusu suala la Abdul

Pre GE2025 Lissu amjibu Wenje, asema aliudanganya umma kuhusu suala la Abdul

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Tundulissu - ni tofauti na wanasiasa wote Tz maana yeye amewekeza katika haki, ukweli na kuipiga rushwa, labda Kwa mbali tumfananishe na Nyerere

Kuna mjinga mmoja nimeona anajaribu kumfananisha Lissu na yule jamaa aliyekuwa anatesa watu bila makosa na kutoa vitisho bila kufata sheria.
 
Nasari hakufuata taratibu za kuwasilisha ushahidi, ali broke chain of custody, ushahidi ulifika lakini uliisha kuwa compromised, usingerumika kufungua kesi, siyo kwamba ulikataliwa ila taratibu zililiukwa.
Ukishakariri mbowe ni mwenyekiti wa kudumu chadema baada ya kula pesa zake hata uambiwe nini huwezi kuelewa, wewe kwa jinsi ulivyo hata upewe ushahidi gani utaukataa hivyo yafaa uachwe uendelee kukariri wenje ni mungu wenje ni malaika yeye ndiyo msema kweli pekee
 
..naona kuna tit for tat inaendelea.

..tusubiri tuone mwisho wake.

..huenda ushahidi unaotamani kuuona utapatikana.

..uchaguzi huwa una mambo mengi sana ikiwemo mbinu za kijasusi baina ya wagombea.
Mbinu zao za ajabu sana, hazina aina yoyote ya kuthibitika, wanataka tuamini tu hivyo hivyo wanavyosema.

YAni akisema Lusu ni ukweli, hata bila vithibitisho.
 
wenje kwenda nyumbani kwa Lisu tu ni ushahidi pia, lakini ukiwa ni chawa wa mbowe hata uletewe ushahidi wa aina gani utaukataa
Hahaha yeye Lisu huwa haendi nyumbani kwa wenzake, nao ni ushahidi wa kwamba naye ni mla rushwa?

Unavyotaka lusema kila aliyeenda kwa Lisu ni mla rushwa, bila ishahidi wowote, kwasababu tu Lusu kasema?
 
Wapo watu wa mbowe wamekula pesa za mbowe ili wamtetee humu mitandaoni na hicho kikundi Akili zao zipo kama za wenje tu hivyo ni vigumu kuelewa chochote hata kama kina ukweli kiasi gani
 
Mbinu zao za ajabu sana, hazina aina yoyote ya kuthibitika, wanataka tuamini tu hivyo hivyo wanavyosema.

YAni akisema Lusu ni ukweli, hata bila vithibitisho.
Chawa wa mbowe wamekariri wenje ni malaika wenje ni mungu kwamba yeye ndiyo msema kweli pekee hata waambiwe nini watabisha tu, Dawa yao ni kuwaacha tu kwani watanzania wenye Akili kubwa kuliko wao wameshajua ukweli wote
 
Ukishakariri mbowe ni mwenyekiti wa kudumu chadema baada ya kula pesa zake hata uambiwe nini huwezi kuelewa, wewe kwa jinsi ulivyo hata upewe ushahidi gani utaukataa hivyo yafaa uachwe uendelee kukariri wenje ni mungu wenje ni malaika yeye ndiyo msema kweli pekee
WAkati akiwa mwenyekiti, Lisu alikuwa makamu wake, na Lisu alikuwa mjumbe tena muhimu ndani ya chama, na anasema maamuzi yote yalikuwa ya chama, sasa kwanini analaumiwa Mbowe pekee?

tutumie akili zetu vizuri.
Chuki isi tupofushe.
 
Weka clip (link) tusikilize, usitulishe maneno; wacha tumsikie wenyewe alichosema.
 
Mbowe atanunua uenyekiti kwa pesa nyingi atapora ushindi kwa uchakachuaji lakini ajue kuwa chadema inaenda kuwa kama TLP CUF na NCCR mageuzi, vinginevyo aje kumpigia magoti Lisu awe mpole maisha yaendelee
 
WAkati akiwa mwenyekiti, Lisu alikuwa makamu wake, na Lisu alikuwa mjumbe tena muhimu ndani ya chama, na anasema maamuzi yote yalikuwa ya chama, sasa kwanini analaumiwa Mbowe pekee?

tutumie akili zetu vizuri.
Chuki isi tupofushe.
Mbowe anaendesha chama kienyeji na kwa ubabe mkubwa sana, ukimpinga vikao vya ndani anakuchukia sana, na ndiyo maana Lisu hakutangaza nia ya kugombea uenyekiti mapema kwa hofu ya kumtokea kama yaliyomkuta wangwe na Zito pia heche kwa sasa, Mbowe ndiyo mhasibu mkuu katibu mkuu hana mamlaka yupo yupo tu, chama kinaendeshwa kienyeji sana kwa nguvu za chawa wa mbowe akina mdee sugu wenje bonface na wenzao, Kaa ujue hiki ni kipindi cha kampeni na kwenye kampeni ndipo madhaifu na mapungufu yote huanikwa wazi
 
Huu uongo tu, hata tusipoteze muda kujibu.
Kwahiyo, sasa hivi hiyo chuki ya Mbowe imeenda wapi? Mbona Lisu kagombea?

Anauthibitisho gani ya kina Chacha wangwe hayatampata, au ndiyo maana anashinda na kulaka kavaa bullet proof?
 
Watetezi wa mbowe tambueni kuwa mbowe ana madudu yake mengi kala pesa nyingi ya chadema kifisadi ndiyo maana ana hofu ya kuachia uenyekiti akijua mwenyekiti mpya huenda akaja kumuumbua kwa tuhuma za ufisadi wa pesa za chama
 
Huu uongo tu, hata tusipoteze muda kujibu.
Kwahiyo, sasa hivi hiyo chuki ya Mbowe imeenda wapi? Mbona Lisu kagombea?

Anauthibitisho gani ya kina Chacha wangwe hayatampata, au ndiyo maana anashinda na kulaka kavaa bullet proof?
Wewe ukishakariri kuwa mbowe ni mungu wako ni vigumu ukubali chochote hivyo ngoja tukuache umsaidie mbowe kuwa mwenyekiti wa kudumu chadema iwe ni safari yenu kuelekea kwa TLP NCCR na CUF
 
Wenje ni muongo na kila mtu mwenye akili zilizo sawa aliyemtazama na kumsikiliza kwenye mahojiano yake, anaweza kutambua straight forward kuwa wametengeneza uongo kisha wenzake waliokula mlungula naye wakamwambia nenda kajioshe maana ukiosheka wewe na sisi tutakuwa safi...

Unfortunately, hiyo interview yake badala ya kumwosha ndiyo kwanza imempaka kinyesi usoni zaidi na kuthibitisha pasipo shaka kuwa kumbe ni kweli ni rafiki wa Abdul (mtoto wa Rais Samia) na ni dalali wa rushwa za Abdul, CCM na Rais Samia na serikali yake kwa viongozi wa CHADEMA...

Nina mashaka kama hili deal la rushwa ndani ya CHADEMA linaweza kumwacha salama Freeman Mbowe pia...

Tunaisubiri hiyo orodha ya viongozi wengine wa CHADEMA waliopokea hiyo rushwa ya Abdul kwa hamu, tuwajue ili watengwe wasiendelee kukitia unajisi chama...
Hilo ni dili karibu la nane wanafanya na Mbowe.
 
Mbinu zao za ajabu sana, hazina aina yoyote ya kuthibitika, wanataka tuamini tu hivyo hivyo wanavyosema.

YAni akisema Lusu ni ukweli, hata bila vithibitisho.

..tusubiri Wenje atasema nini.

..au hata Abduli anaweza kujitokeza pia.
 
WAkati akiwa mwenyekiti, Lisu alikuwa makamu wake, na Lisu alikuwa mjumbe tena muhimu ndani ya chama, na anasema maamuzi yote yalikuwa ya chama, sasa kwanini analaumiwa Mbowe pekee?

tutumie akili zetu vizuri.
Chuki isi tupofushe.

..Tundu Lissu naye alipolipwa mafao yake na Mama Samia tuliambiwa amelambishwa asali / rushwa.
 
Mimi nafikiri salama ya Chadema kama chama Cha siasa ni KUMFUKUZA LISSU uwanachama aidha kabla ya uchaguzi ili asiwaharibie chama au baada ya uchaguzi ili wabaki salama baada ya uchaguzi. Sababu Kuu ni kwamba "Mtu mstaarabu haropokiropoki!".
Mzee acha kufikiri kizamani yaani kisa uchaguzi kisa kampeni za kuongea ukweli afukuzwe kweli ? Tambua Lisu hata afukuzwe au aondoke mwenyewe au abaki kama mwanachama wa kawaida haitasaidia chadema kuwa salama mpaka Mbowe aache Tabia zake mbovu za Ubabe uchoyo ubinafsi kufuja pesa za chama kujipa mamlaka ya fedha za chama peke yake
 
Back
Top Bottom