Lissu muogope Mungu bei ya mchele imepanda kwa sababu ya Katiba? kwani Katiba ndio imeanza kutumika leo?Tundu Lissu amekunukuliwa na gazeti la Majira la leo akiweka bayana kuwa suala la ugumu wa maisha tulionao sasa wa kupanda kwa bidhaa kama mchele, maharage, unga, mafuta na bidhaa mbalimbali haukusababishwa na Rais Samia hivyo asilaumiwe Samia bali wa kulaumiwa ni Katiba mbovu ya tuliyonayo sasa.
View attachment 2495982
Ndiyo tatizo la kusoma kichwa cha habari na ukakifanyia hitimisho bila kusoma habari nzima,vichwa vingine vya habari viko kimkakati zaidi kuvutia wasomaji au kulenga kumpa mtu jina baya.Lissu muogope Mungu bei ya mchele imepanda kwa sababu ya Katiba? kwani Katiba ndio imeanza kutumika leo?
Kwani katiba ndio imefungua mipaka kwa Wakenya,Wanyarwanda,Wakongomani na Warundi kumiminika hadi mashambani huko vijijini kulangua mazao?Tundu Lissu amekunukuliwa na gazeti la Majira la leo akiweka bayana kuwa suala la ugumu wa maisha tulionao sasa wa kupanda kwa bidhaa kama mchele, maharage, unga, mafuta na bidhaa mbalimbali haukusababishwa na Rais Samia hivyo asilaumiwe Samia bali wa kulaumiwa ni Katiba mbovu ya tuliyonayo sasa.
View attachment 2495982
Katiba ndiyo inampa Rais mamlaka ya umungumtu.Kwani katiba ndio imefungua mipaka kwa Wakenya,Wanyarwanda,Wakongomani na Warundi kumiminika hadi mashambani huko vijijini kulangua mazao?
Katiba ndio imeweka Tozo za miamala ya kibenki na mitandao ya simu?
Je!
Katiba ikiwa mpya na mazao yataota bila Pembejeo kuwekwa kwenye ardhi kurutubisha mazao?
Katiba mpya ni hitaji muhimu kwa wasaka madaraka ya kisiasa!
Hii ingine ni blah..blah....
Kumbe mko zaidi ya mmoja.Tumenukuu gazeti la Majira
CCM kuna wapumbavu wengi sanaNdiyo tatizo la kusoma kichwa cha habari na ukakifanyia hitimisho bila kusoma habari nzima,vichwa vingine vya habari viko kimkakati zaidi kuvutia wasomaji au kulenga kumpa mtu jina baya.
Acheni uongo mbona alisema Tozo sio za mwigulu ila ni sababu ya maagizo ya Samia!! Hata bando na mengineyo mzigo wote aliuweka kwa Samia na kusema chanzo Cha Samia kufanya hayo yote ni sababu ya katiba kumfanya kuwa mungu.Tundu Lissu amekunukuliwa na gazeti la Majira la leo akiweka bayana kuwa suala la ugumu wa maisha tulionao sasa wa kupanda kwa bidhaa kama mchele, maharage, unga, mafuta na bidhaa mbalimbali haukusababishwa na Rais Samia hivyo asilaumiwe Samia bali wa kulaumiwa ni Katiba mbovu ya tuliyonayo sasa.
View attachment 2495982
Umelima hekari ngapi kwanza wewe katika masika hii?.Mamako na babako hawajalima ili wakugawiye chakula bure?.Kwani katiba ndio imefungua mipaka kwa Wakenya,Wanyarwanda,Wakongomani na Warundi kumiminika hadi mashambani huko vijijini kulangua mazao?
Katiba ndio imeweka Tozo za miamala ya kibenki na mitandao ya simu?
Je!
Katiba ikiwa mpya na mazao yataota bila Pembejeo kuwekwa kwenye ardhi kurutubisha mazao?
Katiba mpya ni hitaji muhimu kwa wasaka madaraka ya kisiasa!
Hii ingine ni blah..blah....
Kipindi kile kila tatizo sababu ni Magufuli, sipati picha kama angekuwepo halafu kukawa na haya matatizo tuliyonayo sasa sijui ingekuaje.Kumbe kipindi kile cha Magufuli tulikuwa na katiba nzuri sana