Lissu amtetea Rais Samia kupanda kwa gharama za maisha

Lissu amtetea Rais Samia kupanda kwa gharama za maisha

Lissu nae kichwani kama Msukuma PhD feki, so according to Lissu Katiba mbovu ndio imepandisha gharama za vyakula? Is that?

Yaani kashindwa kusema hata ni gharama za mafuta kupanda, au sbb ya vita vya Russia vs Ukraine, hata hili hajui? Kasema Katiba mbovu ndio chanzo cha bei ya vyakula kupanda? Kweli?

Mental hysteria mbona ni watu wengi wagonjwa sana, i repeat, did he say bad Constitution is the cause of hiking food & commodities prices? OMG, he is on his way to poor thinkers of 2023..!!
 
Huwezi kuitenganisha serikali ya Samia na kupanda kwa gharama za maisha, kama ni tozo wameziweka wao, mikopo ya kila siku wanayokopa na kulipa wameiweka wao, na mipango yao mingi serikalini haieleweki, na hayupo wa kuwasimamia mawaziri wanapokosea, wameachwa wao ndio wawe marais wa wizara zao.

Huku Bashe anatuambia ametoa mahindi kwenye maghala yakapunguze mfumuko wa bei, lakini bado serikali hiyo hiyo inaendelea kuuza chakula nje..

Hii maana yake kama chakula kitaendelea kuuzwa nje, basi hakuna namna chakula kinachotolewa kwenye maghala kitakuja kupunguza tatizo, kwasababu bado patakuwepo na upungufu wa chakula matokeo yake bei zitaendelea kuwa juu..
Kwahiyo kati ya wewe na lisu tumuamini nani, au mnapingana na lisu shujaa wenu
 
Lissu nae kichwani kama Msukuma PhD feki, so according to Lissu Katiba mbovu ndio imepandisha gharama za vyakula? Is that?

Yaani kashindwa kusema hata ni gharama za mafuta kupanda, au sbb ya vita vya Russia vs Ukraine, hata hili hajui? Kasema Katiba mbovu ndio chanzo cha bei ya vyakula kupanda? Kweli?

Mental hysteria mbona ni watu wengi wagonjwa sana, i repeat, did he say bad Constitution is the cause of hiking food & commodities prices? OMG, he is on his way to poor thinkers of 2023..!!
Na wewe unapingana na shujaa wenuu?
 
Watu hawajaelewa hiyo kauli, katiba bora inategemewa kuongeza uwajibikaji katika serikali, bunge na mahakama.
 
Ebu muoneeni huruma huyo mama wa watu.

Kuna mengi ya kumlaumu ‘Bi Tozo’ lakini sio kwenye jitihada zake za kuitafutia nchi pesa za kutimiza sera za maendeleo.

Yeye anapambana wakati mawaziri wake wengi hovyo kweli kweli wasio na uwezo wa ku envision madhara ya maamuzi yao.

Gharama za maisha ni shida halisi kwa watanzania, hasa chakula na hii ni basic need ya binadamu. Yes kuna external factors but also mtazamo mmbovu wa Bashe kwa kile anachokiita kulinda wakulima.

Sasa badala ya kuendelea na hii denial kwa siasa uchwara ni muda sasa wa kutafuta immediate solution to curb the situation, wananchi wanalia maisha ni magumu.
 
Ww mtoto umekuja juzi JF, hata hujui watu huku, shithole, before you open your scented mouth, get to know people of JF, pumbaf ww
Kwahiyo Kwa kuwa mwenyeji wa jamii forum umeona matusii ndio alama ya uzeefu wako humu.
 
Back
Top Bottom