Stan Mashamba
JF-Expert Member
- Apr 22, 2020
- 3,183
- 2,479
Na bado. Tume wasidhubutu kunajisi uchaguzi huu. Watende haki tu.People's power.
why ujihaminishe kwamba maghu hawezi kushindwa kwani yeye ndo anajipigia kura , acheni propaganda mfu , hapa kinachosemwa ni kuweka huwazi wa kuanzia upigaji kula na huesabuji kura na yapatikane matokeo halali muone kama kutakua na shida , popular jpm dunian sijui afrika vinausikanaje na uchaguzi wa haki,
so what unaposema kupangiwa na mabeberu na washadidia ushoga mkuu, ebu mkuu hapo ulipo jiangalie kipi umevaa kuanzia chini mpaka chini hakijatoka kwa mabeberu, alafu unaeleza kama vile kuna chama chochote kinaweza wapangia watanzania nani awe rais wao sio, kitu ambacho hakipo maana wahajili na wenye mamlaka ni wananchi mkuu, japo tunajitoa ufaham kwamba uongozi ni hati miliki ya chama flani na haya tumeyafanya kuwa mazoea tu thats mnakuja propaganda nyepesi et mara ushoga kwani umeanza leoHaki kwako ni huko kupangiwa na mabeberu na washadadia ushoga duniani kipi tufanye na kipi tusifanye? Acha huu utumwa wa kushikiwa akili, umeligharimu sana Taifa hili.
Una uhakika ilishinda kwa kura?Chadema kumbukeni mafuriko ya mzee Slaa na mzee lowassa. Lakini ccm ilishinda. Bungeni mhe Peter Msigwa alipata kusema maana ya insanity.
Wewe mwenye uhakika uweke hapa.Una uhakika ilishinda kwa kura?
Mlikua mnatafuta mtu wa kukera.Jamani Lissu anakera. Anakera bila kuvunja sheria huyu ndiyo Mgombea tulimsubiri kwa miaka nenda rudi.
Ni wizi wa kura ndio ushindi wa C-CM sio swala la kujiandikisha wala niniNilitaka nipite hiiviiii bila kuandika chochote kile. Umati nimeuelewa saaanaa km nilivyouelewa ule wa Lowasa. Ila mnapokwama wapinzani ni kupiga kura.. Kwa nn nasema kupiga kura, kwa sababu hapo utakuta waliojiandikisha kupiga kura ni 20% tuu ya nyomi lote uonalo... Pia vijijini ndani ndani hamuendi. Ccm wako kamili ktk kujiandikisha kupiga kura.
NAWAOMBA NDUGU ZANGU TAREHE YA KUPIGA KURA IKITANGAZWA TUTOKE KWA WINGI TUKAPIGE KURA, TUSIONGEE MITANDAONI TU.
MM NINA KAULI MBIU YANGU, MKONO UKAFANYE KAZI...
Uongo ..hamjiandikish mnalialia kuibiwa,.hata wewe ho hauna kadi,.... upo hapa unaleta propaganda za 47Ni wizi wa kura ndio ushindi wa C-CM sio swala la kujiandikisha wala nini
Unafikiri kwanini hawataki tume huru, wanataka iwe inateuliwa na mgombea wa CCM, yaani Yanga wanateua refa kwenye mechi na Simba.Uongo ..hamjiandikish mnalialia kuibiwa,.hata wewe ho hauna kadi,.... upo hapa unaleta propaganda za 47
Tukutane ktk box please hamasisha watu wajitokeze kwa wingi siku ya uchaguzi.. 😁Unafikiri kwanini hawataki tume huru, wanataka iwe inateuliwa na mgombea wa CCM, yaani Yanga wanateua refa kwenye mechi na Simba.
Huo ni ugolo uliopitiliza
Jibu swali, inakuwaje Yanga wanachagua marefa kwenye mechi na Simba?Tukutane ktk box please hamasisha watu wajitokeze kwa wingi siku ya uchaguzi.. [emoji16]
Lazima mseme hivyo bila hivyo watoto watalala njaaSisi wanalumumba buku7 tunasema kuwa huu umati ni video ya kutengeneza sio kweli hata kidogo!
Hata kama! Jua kuwa inaongeza hadhi ya kiumeChadema kumbukeni mafuriko ya mzee Slaa na mzee lowassa. Lakini ccm ilishinda. Bungeni mhe Peter Msigwa alipata kusema maana ya insanity.
Yaani mwaka huu watumishi wa umma tumenyooka haturudii makosa!Mwaka 2015 hakukuwa na unyanyasaji kwa wapinzani watumishi wa umma walikuwa wakilipwa nyongeza za mishahara lakini sasa 2020 kuna mabaya mengi kupitiliza utawala huu umewatesa wengi kwa njia mbalimbali
Fairness kwani wale mawakala wenu huwa wana kaxo gani mle ndani,???Jibu swali, inakuwaje Yanga wanachagua marefa kwenye mechi na Simba?
Is that what you call fairness?
jibu swali uliloulizwa..je chama dola kitakubali uchaguzi uwe huru na haki? ukweli na uwazi? jibu kwa kifupi acha kubwabwaja
Anapata tabu sana huko alipoAliyetoa wazo la kumpiga risasi alikosea sana, ona matokeo yake sasa.
Tayat ushapiga kura na matokeo mmeshinda!! tusihesabu kura za mitandaoni tusubiri siku ifike..... msije kimbia humu... mkono ukatende haki ya moyo.😁Anapata tabu sana huko alipo
kwa mujibu wa viwango vya haki za msingi za binadamu kisheriaHuru na haki kwa mujibu wa nani?