Uchaguzi 2020 Lissu amwambia Rais Magufuli afungulie Vyombo vya Habari ili asisumbuke kuweka bando kuwaangalia wapinzani kwenye WhatsApp

Uchaguzi 2020 Lissu amwambia Rais Magufuli afungulie Vyombo vya Habari ili asisumbuke kuweka bando kuwaangalia wapinzani kwenye WhatsApp

why ujihaminishe kwamba maghu hawezi kushindwa kwani yeye ndo anajipigia kura , acheni propaganda mfu , hapa kinachosemwa ni kuweka huwazi wa kuanzia upigaji kula na huesabuji kura na yapatikane matokeo halali muone kama kutakua na shida , popular jpm dunian sijui afrika vinausikanaje na uchaguzi wa haki,

Haki kwako ni huko kupangiwa na mabeberu na washadadia ushoga duniani kipi tufanye na kipi tusifanye? Acha huu utumwa wa kushikiwa akili, umeligharimu sana Taifa hili.
 
Haki kwako ni huko kupangiwa na mabeberu na washadadia ushoga duniani kipi tufanye na kipi tusifanye? Acha huu utumwa wa kushikiwa akili, umeligharimu sana Taifa hili.
so what unaposema kupangiwa na mabeberu na washadidia ushoga mkuu, ebu mkuu hapo ulipo jiangalie kipi umevaa kuanzia chini mpaka chini hakijatoka kwa mabeberu, alafu unaeleza kama vile kuna chama chochote kinaweza wapangia watanzania nani awe rais wao sio, kitu ambacho hakipo maana wahajili na wenye mamlaka ni wananchi mkuu, japo tunajitoa ufaham kwamba uongozi ni hati miliki ya chama flani na haya tumeyafanya kuwa mazoea tu thats mnakuja propaganda nyepesi et mara ushoga kwani umeanza leo
 
Nilitaka nipite hiiviiii bila kuandika chochote kile. Umati nimeuelewa saaanaa km nilivyouelewa ule wa Lowasa. Ila mnapokwama wapinzani ni kupiga kura.. Kwa nn nasema kupiga kura, kwa sababu hapo utakuta waliojiandikisha kupiga kura ni 20% tuu ya nyomi lote uonalo... Pia vijijini ndani ndani hamuendi. Ccm wako kamili ktk kujiandikisha kupiga kura.

NAWAOMBA NDUGU ZANGU TAREHE YA KUPIGA KURA IKITANGAZWA TUTOKE KWA WINGI TUKAPIGE KURA, TUSIONGEE MITANDAONI TU.

MM NINA KAULI MBIU YANGU, MKONO UKAFANYE KAZI...
Ni wizi wa kura ndio ushindi wa C-CM sio swala la kujiandikisha wala nini
 
Ni wizi wa kura ndio ushindi wa C-CM sio swala la kujiandikisha wala nini
Uongo ..hamjiandikish mnalialia kuibiwa,.hata wewe ho hauna kadi,.... upo hapa unaleta propaganda za 47
 
Uongo ..hamjiandikish mnalialia kuibiwa,.hata wewe ho hauna kadi,.... upo hapa unaleta propaganda za 47
Unafikiri kwanini hawataki tume huru, wanataka iwe inateuliwa na mgombea wa CCM, yaani Yanga wanateua refa kwenye mechi na Simba.

Huo ni ugolo uliopitiliza
 
Unafikiri kwanini hawataki tume huru, wanataka iwe inateuliwa na mgombea wa CCM, yaani Yanga wanateua refa kwenye mechi na Simba.

Huo ni ugolo uliopitiliza
Tukutane ktk box please hamasisha watu wajitokeze kwa wingi siku ya uchaguzi.. 😁
 
Tukutane ktk box please hamasisha watu wajitokeze kwa wingi siku ya uchaguzi.. [emoji16]
Jibu swali, inakuwaje Yanga wanachagua marefa kwenye mechi na Simba?

Is that what you call fairness?
 
Mwaka 2015 hakukuwa na unyanyasaji kwa wapinzani watumishi wa umma walikuwa wakilipwa nyongeza za mishahara lakini sasa 2020 kuna mabaya mengi kupitiliza utawala huu umewatesa wengi kwa njia mbalimbali
Yaani mwaka huu watumishi wa umma tumenyooka haturudii makosa!
 
Anapata tabu sana huko alipo
Tayat ushapiga kura na matokeo mmeshinda!! tusihesabu kura za mitandaoni tusubiri siku ifike..... msije kimbia humu... mkono ukatende haki ya moyo.😁
 
Back
Top Bottom