Lissu ana Kismart Cha ajabu, Leo Uchaguzi ukifanyika Huru na Haki atashinda Urais akiwa Lockup

Bush Dokta

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2023
Posts
42,525
Reaction score
74,605
Kwa wanaomjua Tundu Lissu na baraka alizonazo hawatapinga hili

Huyu Bwana ana kismart cha ajabu sana.

PAmoja na kwamba yuko lockup leo uchaguzi ukifanyika huyu bwana akapelekewa form aisee nakuapia Dunia itasimama. Atashinda.
 
hata akishinda akiwa lockup hatatngazwa maana hayupo kwenye uchaguzi kwahiyo mnajidanganya na kuota ndoto za mchana
 
Kwa wanaomjua Tundu Lissu na baraka alizonazo hawatapinga hili

Huyu Bwana ana kismart cha ajabu sana.

PAmoja na kwamba yuko lockup leo uchaguzi ukifanyika huyu bwana akapelekewa form aisee nakuapia Dunia itasimama. Atashinda.
Lisu ni mwamba hasa, machawa na lumumba yote wanamgwaya
 
Samia na CCM wanamuogopa sana Lissu hadi wanatumia Polisi, TISS na Mahakama kumdhibiti. Kwenye uchaguzi huru na wa haki Lissu saa nne asubuhi anashinda, CCM waoga sana.
 
Kukiwa na uchaguzi ulio huru na wa haki kabisa, mgombea wa CCM kwenye nafasi ya Urais, hawezi kupata hata 40%. CCM wanalijua hilo, ndiyo maana hawataki kusikia habari ya tume huru ya uchaguzi, wala kuwaondoa polisi kwenye kuvuruga uchaguzi.
 
Anajua sana
 
Back
Top Bottom