Uchaguzi 2020 Lissu anaendesha kampeni kivivu, siku moja anafanya jimbo moja ilhali majimbo yako 264. Itamchukua miezi 9 kuyamaliza, tume imetoa miezi miwili tu

Magufuli vipi? Yeye mpak sasa ametembelea majimbo mangapi?

Yesu na Muhammad hawakuitembelea dunia nzima lkn dunia nzma leo tunawaamini. Lisu ni kusudi la Mungu. Subiri utaona.
Ahaa, Mtume Lisu.
 
Weka wewe.

Hebu nisaidie unapoongea nukta huwa unaiwekaje mdomoni unanyonga mdomo kushoto au kulia au unawekaje?
Rudi darasani ...... Hayo ndiyo matatizo ya kukimbilia Ukada unasahau shule!!
 
Makamanda pumzi imekata.

Hawana la kusema zaidi ya kurudirudia maneno ya miaka 5 iliyopita
 
Heri kufanya kampeni kwenye majimbo 50 tu kuliko kufika majimbo yote 264 kuwambia fyatueni watoto elimu bure au maendeleo hayana vyama wakati zote twajua ili tz iwe na maendeleo lazima upinza uondoke ili tuwe na chama kimoja
 
Lisu na Salum Mwalimu wanambatana kubana matumizi gari iko moja watajigawa vipi na chama hakiko tayari kugharimia magari mawili hakina hela
Hawa njaa Kali wakipewa nchi itakuwaje? Mbowe kala hela za kampeni walizokatwa wabunge 8.9 bil ndo maana wagombea wao wanabanana kwenye gari moja.

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Kama lowassa aliyamaliza why lissu ashindwe
 
Siyo kivivu!
Anajua akifanya mikutano 3 mkoa moja Kama Magufuli alivyofanya Singida watu watakuwa wachache sana, na kupelekea kushindwa kuchukua hata "picha za angle" ili kudanganya watu kulikuwa na nyomi.

Angalia Magu na CCM hawana siasa za "picha za nyomi" Kama CHADEMA, sababu kwao nyomi ni kawaida na siyo issue!

CHADEMA lazima wafanye roadshow na kuita makamanda wa mikoa jirani angalau kuwe na idadi Fulani kwenye mikutano yao. Ndiyo maana lazima kampeni iwe mkoa moja, tena kwa kurukia mikoa ya mbali!

Wakati CCM Rais ana mikutano, makamu wa Rais naye anaendesha kampeni sehemu nyingine tofauti, na Waziri Mkuu naye sehemu tofauti kwa wakati moja. CHADEMA cream yote inafanya mkutano moja mkoa moja! ili "kujenga nyomi!".
 
Kama mgombea anasema wazi kwamba risasi 1 bado imegomea kwenye @@rioni Tume imeruhusu wa nini!
Mmh!

Kwa jinsi walivyo CDM ni watu wa kupenda kushauriwa kitu chochote?
 
Mwenye mistari miwili umesha choka.. page 2 utamaliza.miaka.mingapi..

Simbilisi wa lumumba[emoji1][emoji1][emoji1][emoji111]
 
Leo kapiga bahi,
Magufuli vipi? Yeye mpak sasa ametembelea majimbo mangapi?

Yesu na Muhammad hawakuitembelea dunia nzima lkn dunia nzma leo tunawaamini. Lisu ni kusudi la Mungu. Subiri utaona.

Magufuli vipi? Yeye mpak sasa ametembelea majimbo mangapi?

Yesu na Muhammad hawakuitembelea dunia nzima lkn dunia nzma leo tunawaamini. Lisu ni kusudi la Mungu. Subiri utaona.
Nadhani Kwa Leo katembelea Bahi,Manyoni na Singida mjini.
 
Pamoja na ukweli huo, ni kweli pia hata huyo Mwenyekiti wake itafika mahali atamwachia "goma" alicheze mwenyewe. Hivi kweli Mbowe yuko Shinyanga au kesha rudi DSM?
 
Pamoja na ukweli huo, ni kweli pia hata huyo Mwenyekiti wake itafika mahali atamwachia "goma" alicheze mwenyewe. Hivi kweli Mbowe yuko Shinyanga au kesha rudi DSM?
Wacha umbea wako wewe gamba fuatilia mambo ya chakubanga
 
Maoni yako mazuri lakini jambo usilolofahamu ni kwamba Lissu anafahamika saana Tanzania nzima tofauti na matarajio ya watawala kubana mda wa kampeni kusudi asifike kila mahali..labda kitu ambacho ungeshauri atembelee zile sehemu ambazo CCM wamejanga base kujaribu kuwaamsha waliolala.Aachane na mijini kwani huku tayari anajulikana. Vle vile kama wanampango wa kuungana na ACT huu ndio wakati muafaka wa kuungana na kugawana majimbo ya kutembelea vingnievyo wasipoungana watakuwa wanapoteza mda
 
Kwanza uko sahihi. JPM na CCM yao wanaweza kufikia maeneo mengi zaidi kwa wakati mfupi kwa sababu zilizo wazi. Wana rasilimali fedha nyingi zikiwemo za halali na zisizo halali. Bado wanal;azimisha watumishi wauma washiriki kampeni; nakadhalika nakadhalika. Umekosea sana, kusema majimbo ya mjini JPM atawalaza. Mjini hasa maeneo ya watu wenye akili za kuwatosha JPM atashindwa vibaya mno. Kila mwenye akili timamu anayejitegemea mwenyewe hawezi kumpigia kura JPM!
 
Sasa nyie mlionunua ndege mnahangaika huko kote kufanya nn wkt mnasema watz wanawapenda na wanaona maendeleo....

Na hapo mmepiga kampeni miaka yote mitano ccm ccm magufuli magufuli lkn bado mnaogopa..... ..

Yaani ccm inahangaika km yenyewe ndo upinzani 😀😀

Kwa taarifa yenu watz hawataki uchafu wa ccm tangu 2015 hapa watu wanasubiri tu kupiga kura Lissu anapita kusalimia zaidi.

Watz wanataka mabadiriko tu sio ngonjera za madaraja..

Chadema ni chama cha kidigitally. Mbona mm kijijini kwetu wamehamasika na wako tayari kwa mara nyingine kuwapa kura chadema ✌️✌️
 
Hawana fedha kama 2015 baada ya kumuuzia EL chama. Mwwka huu mpaka watembeze bakuli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…