Waminepo
JF-Expert Member
- Feb 3, 2019
- 374
- 254
Ahaa, Mtume Lisu.Magufuli vipi? Yeye mpak sasa ametembelea majimbo mangapi?
Yesu na Muhammad hawakuitembelea dunia nzima lkn dunia nzma leo tunawaamini. Lisu ni kusudi la Mungu. Subiri utaona.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahaa, Mtume Lisu.Magufuli vipi? Yeye mpak sasa ametembelea majimbo mangapi?
Yesu na Muhammad hawakuitembelea dunia nzima lkn dunia nzma leo tunawaamini. Lisu ni kusudi la Mungu. Subiri utaona.
Rudi darasani ...... Hayo ndiyo matatizo ya kukimbilia Ukada unasahau shule!!Weka wewe.
Hebu nisaidie unapoongea nukta huwa unaiwekaje mdomoni unanyonga mdomo kushoto au kulia au unawekaje?
Makamanda pumzi imekata.Lissu kaishiwa nguvu aendesha kampeni kivivu majimbo yako 264 yeye siku moja anafanya Jimbo moja itamchukua miezi 9 kuyamaliza tume imetoa miezi miwili tu kabla ya kura.
Kwa spidi hiyo hatamaliza majimbo 264 ya uchaguzi anaendesha kampeni kwa mwendo wa kuchechemea, hana stamina ya kampeni na tayari anaonyesha kuchoka hasa kimwili, kifikra, kisaikolojia na kipesa.
Kampeni ya Urais tulimwambia sio lelemama au kwa Kiingereza tunamwambia Presidential campain is not a Lele Mother. Ndio maana Magufuli akichoka hupiga push up ku boost mwili tayari kwa awamu inayofuata ya kampeni.
Hawa njaa Kali wakipewa nchi itakuwaje? Mbowe kala hela za kampeni walizokatwa wabunge 8.9 bil ndo maana wagombea wao wanabanana kwenye gari moja.Lisu na Salum Mwalimu wanambatana kubana matumizi gari iko moja watajigawa vipi na chama hakiko tayari kugharimia magari mawili hakina hela
Kama lowassa aliyamaliza why lissu ashindweLissu kaishiwa nguvu aendesha kampeni kivivu majimbo yako 264 yeye siku moja anafanya Jimbo moja itamchukua miezi 9 kuyamaliza tume imetoa miezi miwili tu kabla ya kura.
Kwa spidi hiyo hatamaliza majimbo 264 ya uchaguzi anaendesha kampeni kwa mwendo wa kuchechemea, hana stamina ya kampeni na tayari anaonyesha kuchoka hasa kimwili, kifikra, kisaikolojia na kipesa.
Kampeni ya Urais tulimwambia sio lelemama au kwa Kiingereza tunamwambia Presidential campain is not a Lele Mother. Ndio maana Magufuli akichoka hupiga push up ku boost mwili tayari kwa awamu inayofuata ya kampeni.
Siyo kivivu!Lissu kaishiwa nguvu aendesha kampeni kivivu majimbo yako 264 yeye siku moja anafanya Jimbo moja itamchukua miezi 9 kuyamaliza tume imetoa miezi miwili tu kabla ya kura.
Kwa spidi hiyo hatamaliza majimbo 264 ya uchaguzi anaendesha kampeni kwa mwendo wa kuchechemea, hana stamina ya kampeni na tayari anaonyesha kuchoka hasa kimwili, kifikra, kisaikolojia na kipesa.
Kampeni ya Urais tulimwambia sio lelemama au kwa Kiingereza tunamwambia Presidential campain is not a Lele Mother. Ndio maana Magufuli akichoka hupiga push up ku boost mwili tayari kwa awamu inayofuata ya kampeni.
Mmh!Kama mgombea anasema wazi kwamba risasi 1 bado imegomea kwenye @@rioni Tume imeruhusu wa nini!
Lissu kaishiwa nguvu aendesha kampeni kivivu majimbo yako 264 yeye siku moja anafanya Jimbo moja itamchukua miezi 9 kuyamaliza tume imetoa miezi miwili tu kabla ya kura.
Kwa spidi hiyo hatamaliza majimbo 264 ya uchaguzi anaendesha kampeni kwa mwendo wa kuchechemea, hana stamina ya kampeni na tayari anaonyesha kuchoka hasa kimwili, kifikra, kisaikolojia na kipesa.
Kampeni ya Urais tulimwambia sio lelemama au kwa Kiingereza tunamwambia Presidential campain is not a Lele Mother. Ndio maana Magufuli akichoka hupiga push up ku boost mwili tayari kwa awamu inayofuata ya kampeni.
Magufuli vipi? Yeye mpak sasa ametembelea majimbo mangapi?
Yesu na Muhammad hawakuitembelea dunia nzima lkn dunia nzma leo tunawaamini. Lisu ni kusudi la Mungu. Subiri utaona.
Nadhani Kwa Leo katembelea Bahi,Manyoni na Singida mjini.Magufuli vipi? Yeye mpak sasa ametembelea majimbo mangapi?
Yesu na Muhammad hawakuitembelea dunia nzima lkn dunia nzma leo tunawaamini. Lisu ni kusudi la Mungu. Subiri utaona.
Kabakiza kujitutumua kwa sabuni, nako karibu kunaishaKashaanza kunyooka hata ongeaongea yake imebadilika ile ya full authority imeyeyuka
Plan zao zimeyeyushwa na ujio wa mh LissuKabakiza kujitutumua kwa sabuni, nako karibu kunaisha
Wacha umbea wako wewe gamba fuatilia mambo ya chakubangaPamoja na ukweli huo, ni kweli pia hata huyo Mwenyekiti wake itafika mahali atamwachia "goma" alicheze mwenyewe. Hivi kweli Mbowe yuko Shinyanga au kesha rudi DSM?
Maoni yako mazuri lakini jambo usilolofahamu ni kwamba Lissu anafahamika saana Tanzania nzima tofauti na matarajio ya watawala kubana mda wa kampeni kusudi asifike kila mahali..labda kitu ambacho ungeshauri atembelee zile sehemu ambazo CCM wamejanga base kujaribu kuwaamsha waliolala.Aachane na mijini kwani huku tayari anajulikana. Vle vile kama wanampango wa kuungana na ACT huu ndio wakati muafaka wa kuungana na kugawana majimbo ya kutembelea vingnievyo wasipoungana watakuwa wanapoteza mdaLissu kaishiwa nguvu aendesha kampeni kivivu majimbo yako 264 yeye siku moja anafanya Jimbo moja itamchukua miezi 9 kuyamaliza tume imetoa miezi miwili tu kabla ya kura.
Kwa spidi hiyo hatamaliza majimbo 264 ya uchaguzi anaendesha kampeni kwa mwendo wa kuchechemea, hana stamina ya kampeni na tayari anaonyesha kuchoka hasa kimwili, kifikra, kisaikolojia na kipesa.
Kampeni ya Urais tulimwambia sio lelemama au kwa Kiingereza tunamwambia Presidential campain is not a Lele Mother. Ndio maana Magufuli akichoka hupiga push up ku boost mwili tayari kwa awamu inayofuata ya kampeni.
Kwanza uko sahihi. JPM na CCM yao wanaweza kufikia maeneo mengi zaidi kwa wakati mfupi kwa sababu zilizo wazi. Wana rasilimali fedha nyingi zikiwemo za halali na zisizo halali. Bado wanal;azimisha watumishi wauma washiriki kampeni; nakadhalika nakadhalika. Umekosea sana, kusema majimbo ya mjini JPM atawalaza. Mjini hasa maeneo ya watu wenye akili za kuwatosha JPM atashindwa vibaya mno. Kila mwenye akili timamu anayejitegemea mwenyewe hawezi kumpigia kura JPM!Lissu ameshashindwa, maana anaonekana hajajiandaa na wala CDM hawajajiandaa. Nimeangalia hii ratiba ya uchaguzi kuna siku Magu anaenda hadi majimbo manne wakati Lissu inaonyesha jimbo moja tu kwa siku. Pia Magu na Makamu wake muda mwingi wapo majimbo tofauti tofauti wakati Lissu na Makamu wake wao wanafuatana majimbo karibu yote.
Kingine majimbo ya mjini saivi CDM hawana support, yote Magu atawalaza, si Dsm, Arusha wala Mwanza, yote haya Magu ataongoza sasa jiulize ngome ya Lissu ni wapi ?
Hawana fedha kama 2015 baada ya kumuuzia EL chama. Mwwka huu mpaka watembeze bakuli.Lissu kaishiwa nguvu aendesha kampeni kivivu majimbo yako 264 yeye siku moja anafanya Jimbo moja itamchukua miezi 9 kuyamaliza tume imetoa miezi miwili tu kabla ya kura.