Lissu anahujumiwa, CHADEMA imeuzwa

Kwa haraka nilichogundua Wewe ni mwana CHADEMA hasa japo kuna mahala umesema huna Chama.

Pia Wewe ni Team Lissu ila hapa Umetumia Akili Kubwa ya kujifanya Unamsema Mbowe ili Watu wajawe na Huruma na Wachangie Pesa ili nawe upate na hata upige humo humo.

Umesema kuwa Mbowe keshalambishwa Asali sasa kwa Taarifa yako na Mimi nakuambia hata huyo Lissu wako nae Kalambishwa vile vile ila wanatumia Akili Kubwa kujifanya wanashida na wanapambana na CCM wakati Wameshatajirishwa Kitambo.

Huyu Lissu wako angekuwa na Uchungu na Tanzania na Watanzania angehamishia Familia yake nchini Marekani huku Familia yake hadi Yeye wakiwa sasa ni Raia wa Marekani?

Huna unachokijua Mnafiki na Muongo Wewe hivyo acha kabisa kutupotezea muda Watu tunaojua mengi ya nchi hii sawa?

Siku Njema.
 
Propaganda za kijinga hizi..
Only a lunatic can buy this trash!
Kwa hiyo Chadema ndiyo waliondoa walinzi wa serikali na zile kamera zenye ushahidi eneo la tukio?!!!
Ndufu yanfu, mimi sina chama. Mimi mwandishi, ila nasema kwamba, Lissu ndio mkombozi wa watanzania
 
Sio siri Freeman amekuwa mamluki! After all he is a businessman, kwake yeye Chadema ni kitega uchumi!! He has been compromised and he's treating Chadema as his Kikoba!
Chadema should back up Tundu for prosperity!
Hizi zote ni hisia.

Btw, Mbowe na Lissu nao ni watu kama wewe wanahitaji furaha na maendeleo pia.
Hao watu wameteswa sana na hizi siasa...kama ni kweli wanakula acha wale.
Hii dunia tunaishi mara moja tu.
 
Umeandika mengi, nikiri mengi zaidi uliyoandika hapa hayana uthibitisho, japo kwa jicho la pembeni yanaweza kuwa kweli, kuna wakati naona wengi wenu mmeleweshwa na mahaba yaliyopitiliza kwa Lissu, hivyo kuona haki kumhukumu Mbowe bila kumsikiliza.

Mfano, umezungumzia suala la Mbowe kulambishwa asali, ametulizwa na Samia, ukamlaumu kwa ufanya biashara wake, kigezo ulichotumia kumhukumu Mbowe ni kule Kigoma akiwa kwenye mikutano yake ameonekana kumsifia Samia, ni kama vile hutaki Samia asifiwe kwa mema aliyofanya!.

Lakini mbona mimi pia nimemsikia Mbowe akiwa Kigoma huko huko, akisema wazi tusikubali kwenda kwenye uchaguzi mkuu 2025 bila Katiba Mpya? au hili wewe hukulisikia?

Kuhusu suala la Lissu kutumia pesa kutoka mfukoni mwake kuzunguka kwenye mikutano yake hapa panahitaji uthibitisho, mimi binafsi nikiri ukweli halisi siufahamu, lakini pamoja na hayo, siwezi kuwa mwepesi tu wa kukubali hiki ulichoandika hapa bila uthibitisho.

Kwenye suala nyeti kama hili, ingependeza Chadema wenyewe walitolee ufafanuzi, sio yule mpiga debe wao wa humu ndani ambaye anaonekana ameshiba maji ya bendera ya chama, hawezi kuwa rational.

Chadema hawa ambao tumeambiwa wameanza kupokea ruzuku, wamuache Lissu azunguke kote mikoani kwa pesa zake binafsi ni jambo gumu kuliamini, ambalo sioni kwanini Lissu ajitoe muhanga kiasi hicho kama vile Chadema ni ya baba yake, na kwa tabia yake yakutoweka mambo kifuani, naamini kabisa angeshatoa "hint" juu ya hilo.

Mwisho kwenye andiko lako umejaribu kutengeneza picha ionekane kama Chadema kuna makundi mawili, moja la Lissu na lingine la Mbowe, inawezekana haya makundi yakawepo, lakini tofauti ya makundi hayo kimantiki ipo kwenye msimamo, ambapo kwangu ni ndogo tu.

Tofauti zao za kimsimamo ni pale ambapo Mbowe anaonekana kuwa "half radical" na Lissu anayeonekana kuwa radical zaidi, asiyejua kushukuru kwa kidogo alichopewa, tofauti na Mbowe anayeshukuru huku pia akiendelea kusisitiza mambo ya msingi kama Katiba Mpya yafanyiwe kazi, jambo ambalo linaonekana kuwakera nyie wafuasi wa Lissu msiotaka Samia asifiwe kwa lolote!.
 
Mapunguani yanaongezeka humu.
Unatumia muda mwingi kuandika uharo.
Stupid
 
Nimeishi na wachaga miaka mingi sana, kitu pekee wanachokitaka ni PESA. Hata km utajenga urafiki nae kichwan kwake ana focus namna ya kupata PESA toka kwako. Ukionana nae tu atahakikisha mpaka afaidike kutoka kwako. Wanapenda sana PESA hata km unataka kumtoa marinda toa PESA na marinda utamtoa
 
Hivi nisema mara ngapi haya maneno ..."MBOWE NI MC WA CHAMA CHA MAPINDUZI NA SAMIA"
 
So sad!
Jukwaa la siasa limekuwa jukwaa la matusi na kuvunjiana heshima badala ya hoja zenye weledi kwa maslahi ya umma na taifa kwa ujumla.......

Watu wanaojiita wanachama wa Demokrasia ndio watu waliokosa uvumilivu wa kustahimili ustawi wa kile wanachopigania.......

Demokrasia sio tu kuamini unachoamini wewe bali ni pamoja na kuvumilia Yale yanayokinzana na utashi wako
 
Asome alama za nyakati ajiongeze kabla hajaonja asali kwa ncha ya kisu.R.I.P CHACHA WANGWE!
 
Mahaba yaliyopitiliza kwa vyama yakizidi ndio yanatufikisha hapa, uwezo wa kufikiri kwa mashabiki wa vyama husika unapotea.

Kwao chama chao wakipendacho kinapokosolewa inakuwa ni sawa na wametukanwa, wanageuka wakali, wako very soft minded wanaoongozwa na hisia zaidi.
 
Punguza ukuda babulai wampige risasi ili iweje hivi unafiki mijitu ya nzi wa kijani mtaacha lini
 
Mbowe na Lisu wanaelewana sana na yote wanayoyafanya wameyapanga yawe hivyo yanavyoonekana !! I am sure 102% Mbowe na Lisu lao moja na hawawezi kugombanishwa !! Zile ni Akili kubwa they know what they’re doing !!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…