Lissu anahujumiwa, CHADEMA imeuzwa

Lissu anahujumiwa, CHADEMA imeuzwa

Msaigoni yule akili nyingi kwa maslahi ya Saigoni, siku si nyingi kijana wa Singida atapotea kwenye siasa au atakuwa na chama chake.

ZZK aliweza kuwa salama maana amelelewa na walewale wazee wa Saigon RIP Six.
 
Ndio maana sie wengine tulishawapuuza hawa kina Mbowe tokea 2015.

Lakini kwa Lissu hiyo ni karma inafanya kazi. Dr. LISSU alipokataa mambo ya kisalitiana kwa vipande vya fedga wao walimuita mamluki na Lissu akamshambulia mno.

Wamemalizana na watu walioona wabaya wao leo wameanza wao kwa wao.

Ukiangalia maneno anayoongea Lisu na maneno ya Mbowe unaona kabisa hakuna connection kati yao. Kwa sasa ni kama wanaviziana.

Yawezekana Mbowe kaamua kuvamia mikutano ya Lissu ili kupangua kauli za Lissu ambazo kwa sasa watu wengi wanategemea kusikia kutoka upinzani.
Kikaragosi wa Magufuli kama wewe ukiipuuza Chadema haina impact yoyote na sisi tunakupuuza tunakuona msukule tu. Wenye akili kubwa tu ndiyo wanaelewa wanachofanya Chadema.
 
Inaelekea wewe huijui chadema, na kwa hiyo huujui utofauti uliopo kati ya lisu na mbowe.
Kwa taarifa yako ni kwamba hiyo tofauti haikuanza leo, imekuwepo kwa muda mrefu sana, na sababu ni lisu kutaka kutumia influence yake kumpiku mwenyekiti wake, na mbowe kutaka kuonyesha who he is.
Btw, umewahi kuisikia ile hypothesis kuwa lisu alipigwa alipigwa risasi na wenzie ndani ya chadema, kama ilivyokuwa kwa Chacha Wangwe?
Lakini wewe pia umependelea upande mmoja, wa lisu, kwa hiyo tunajua upande gani umesimamia!
Wewe ni taahira zaidi ya mtoa mada. Chadema inasimamia vyombo vya dola? Kama Mh Lissu alishambuliwa na wenzie ilikuaje vyombo vya dola visiwakamate wahusika? Chadema ndiyo waliotuma watu wao kwenda kuwaondoa Askari waliokuwa walizi pamoja na CCTV camera kwenye Makazi ya Mh Lissu na Viongizi Waandamizi wa Serikali?? Chedema ndiyo waliomnyima Mh Lissu fedha za matibabu??

Yawezekana wewe na Mtoa mada ni miongoni mwa wale COVID-19 mmeanza kutapatapa baada ya kuona hatma yenu kisiasa imefikia ukingoni.
 
Msaigoni yule akili nyingi kwa maslahi ya Saigoni, siku si nyingi kijana wa Singida atapotea kwenye siasa au atakuwa na chama chake.

ZZK aliweza kuwa salama maana amelelewa na walewale wazee wa Saigon RIP Six.
Kumbe ni mdau wa Saigoni? Kama hii ni kweli basi tuna safari ndefu sana ya kukiondoa chama tawala madarakani.
 
Wasaigon wenzie ndio wamemnasua na kumlinda kwenye mikono ya Simba wa chato ni hao hao wamemrudisha kwenye game na hata kile kiti chake cha milele pale High kinarudi.

Huyu ndio mwakilishi wa Northen province kwasasa pale Saigon.
 
Hapa ndio unaona umecheza mind game la hatari, inaonekana ww ni mzee, maana wazee wengi ndio wanaamini kwenye propaganda za kichovu hivi.

Tuchukulie uliyosema kwenye post namba moja ni kweli. Hata kama ni kweli, hilo kwetu ndio afya ya chama wetu kutofautiana, ukiona kwenye taasisi watu hawatofautiani, jua kuna walioacha kufikiri. CDM haiba ujinga huo wa kiccm.
Chadema hakunaga uhuru wa mawazo
 
Kifupi, CHADEMA haichaguliki. Wasubiri vya kupewa na CCM....!(Hawana dhamira)

Naanza kuona CHADEMA kama vyama vyote alivyoviunda Raila Odinga wa Kenya....

Naanza kuona mmoja wao, yaani kati ya Mbowe na Lissu kuishia kuwa kama Raila Odinga-hakuna atakayekuja kuwa Raisi wa Nchi hii. Hakuna.

CCM oyeee!

....nitachangia Ndugai/Mdee b. 2030.
 
Inaelekea wewe huijui chadema, na kwa hiyo huujui utofauti uliopo kati ya lisu na mbowe.
Kwa taarifa yako ni kwamba hiyo tofauti haikuanza leo, imekuwepo kwa muda mrefu sana, na sababu ni lisu kutaka kutumia influence yake kumpiku mwenyekiti wake, na mbowe kutaka kuonyesha who he is.
Btw, umewahi kuisikia ile hypothesis kuwa lisu alipigwa alipigwa risasi na wenzie ndani ya chadema, kama ilivyokuwa kwa Chacha Wangwe?
Lakini wewe pia umependelea upande mmoja, wa lisu, kwa hiyo tunajua upande gani umesimamia!

Kulikuwa na haja gani ya kumbambikia Mbowe kesi ya ugaidi, wakati mngeweza kumfungulia mashtaka kwa kushambulia wanachama wenzake? Kwahiyo kwa maneno marahisi mnasema Mbowe ana nguvu kuliko serikali, kiasi anaweza kudhuru wenzake na serikali isiwe na uwezo wa kumfanya lolote. Hizi propaganda za kitoto utakuta mazee ya CCM yanawalisha vijana wao, na wao wanameza kama zilivyo!
 
Ukitaka kutukanwa na kiongozi anaye heshimika kwenye jamii wewe changia mada kama hizi. Kwa kutumia fekelo lake atakutukana sana na kukishambulia ila ukweli ni kwamba usimwamini mchaga anaye zeeka
 
Nikiwa kama mwandishi wa Habari, nimefanya kazi kwa ukaribu na Chama cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA. Nimefanya kazi na viongozi wake wakuu, Lissu, Mnyika, Mbowe, Lema na wengine wengi. Tangu Mbowe atoke gerezani, nimefanya naye kazi kwa ukaribu sana. Mbowe wa leo sio Mbowe wa 2020, ni mfanya biashara.

Ninachoweza kuwataarifu ni kwamba, kuna mnyukano mkubwa sana ndani ya CHADEMA. Bila kumung’unya maneno, nasema wazi pasipo shaka kwamba, Mbowe amelambishwa asali na kuna mengi nyuma ya pazia ambayo sisi hatuyajui kwa sababu maridhiano ni kati ya Mbowe, CCM na Samia. Ila Mbowe amekuwa “compromised”. Kama alivyofanya miaka yote, 2015 aliuza chama kwa Lowassa. 2025 Mimi na wewe hatujui yeye na Samia wamepanga nini!

Ila kwa waliomsikia leo akiwa Kigoma, Mbowe ameongea mengi sana, na kwa wajuzi wa mambo, watakubaliana na mimi kwamba, amemsifia Rais Samia kwa mabadiliko makubwa aliyoyafanya kuruhusu mikutano ya hadhara, kumwachia huru, na mengine mengi tu.

Kwa kifupi, Mbowe hataki kabisa mashambulizi ya moja kwa moja kwa Rais Samia. Kitendo ambacho kinazua maswali mengi yasiyokuwa na majibu ukizingatia Mbowe ni Mpinzani na hii inaleta ile dhana ya kulambishwa asali.

Kwa wanaofuatilia mitandao ya kijamii, nadhani mmeona Mwenyekiti wa CHADEMA akitumia Helicopter kwenye mikutano ya hadhara. Hii ni kitu kizuri kwenye jitihada zao za kukutana na wananchi.

Katika hali isiyokuwa ya kawaida, Makamu mwenyekiti wa CHADEMA, Bw. Tundu Lissu kwa upande mwingine, hana gari ya kutumia (anakodi gari kila siku kwa laki 2) kwenye ziara yake. Analipa kutoka mfukoni mwake, chama hakimlipii. Hata mafuta chama hakimpi.

Gari aliyopewa na ndugu yake imeharibika na inahitaji kiasi cha Tsh. 7million kuifanyia matengenezo. Kwa maana hiyo, Lissu Pamoja na wasaidizi wake wanajitegemea kwenye kila kitu. Kuanzia malazi, chakula, magari, mafuta na ulinzi. Na hii ndio sababu kubwa inayo mlazimisha Lissu kuomba michango kwa wananchi.

Jiulizeni kwa nini Mwenyekiti Mbowe anaruka na chopa wakati Makamu wake Lissu anaomba michango kwenye mikutano ya hadhara? Huu mgawanyiko ni hatari kwa hiki chama kikubwa kinapojiandaa kushiriki uchaguzi wa 2025. Kitendo ambacho kinatulazimu kufikiria kuwa Mbowe na Samia wameweka mkakati mahususi kwa mwaka 2025.

Itakuwa vyema Zaidi kama CHADEMA inayopokea ruzuku kutoka serikalini, kumpa makamu wake uwezo wa kuzunguka kukutana na wananchi. Ujumbe wa Lissu kwa wananchi ni ujumbe unaoeleweka.

Hotuba za Lissu zinagusa sana watu wa matabaka yote na kama inawezekana CHADEMA wamuwezeshe Lissu kifedha. Na hata hiyo helicopter, ingekuwa Mwenyekiti siku mbili, na siku mbili zingine apewe Lissu.

Fatilieni mikutano ya mwenyekiti Mbowe na Lissu. Kuanzia maandalizi hadi “Coverage.” Timu ya Lissu haina “Advance Team” kutokea alipo anza Morogoro wala haina watu wa media. Kwa upande mwingine Team ya Mbowe ina advance Team kubwa, watu wa media zaidi ya sita na walinzi zaidi ya watano. Lissu ana mlinzi moja ambaye amepewa na Chama chake.

Kama ni hujuma dhidi ya Lissu ambayo inawezekana ndio lengo, wananchi kwa mamillioni tuungane kumsaidia Lissu. Chochote kitakachotokea dhidi ya Lissu, Mbowe na team yake, wawe tayari kutoa maelezo, kwani mwenendo wao dhidi ya Lissu hauridhishi. Sina chama, ila Lissu ndiye kiongozi wa kitaifa aliyebakia anayefikisha ujumbe unaostahili kwa wananchi.

Ni dhahiri Lissu kama wengine (Heche, Wenje, Msigwa, Lema, Mnyika) ameshayakataa maridhiano ukisikiliza hotuba zake. Akiwa Morogoro alieleza wazi kuwa maridhiano hayaeleweki na CCM wamekataa kuweka makubaliano yoyote kwenye maandishi.

Ombi langu kwenu wadau: Msaidieni Lissu kifedha, hali na mali ili aweze kuendelea kutoa elimu kwa wananchi kuhusu ufisadi unaoendelea, umuhimu wa katiba Mpya, Pamoja na Tume huru ya uchaguzi kwa wananchi.

Fuatilieni hotuba za Lissu na Mbowe. Tofauti ipo wazi na ni kubwa sana: wakati Mbowe anapoelezea mabadiliko aliyoyaleta Samia kama vile kumuachia huru na kuruhusu mikutano ya hadhara, Lissu anazungumzia ufisadi Pamoja na matatizo yanayo wakabili Watanzania.

Kwa kifupi Lissu anatoa elimu ya katiba Mpya na namna ya kuipata Tume huru ya uchaguzi. Wakati Mbowe anafanya siasa na kumsifia Rais Samia, bila kusahau Samia huyo huyo aliitangazia dunia kwamba Mbowe ni gaidi na kumuweka ndani takribani mwaka mzima.
Wewe si wakuandika andika sana hapa jukwaani,nikubaliane na wewe kwa asilimia zote,ulichosema ni sahihi na muda si mrefu kila kitu kitakuwa wazi
 
Btw, umewahi kuisikia ile hypothesis kuwa lisu alipigwa alipigwa risasi na wenzie ndani ya chadema, kama ilivyokuwa kwa Chacha Wangwe?
Lakini wewe pia umependelea upande mmoja, wa lisu, kwa hiyo tunajua upande gani umesimamia
Enhee kwanini serikali ya CCM haijawakamata hao kina Mbowe unapodai walimpiga risasi Lissu?

Hii nchi wajinga wengi sana, kwahiyo unaweza fanya mauaji usikamatwe alafu lawama waangushiwe serikali nao wakae kimya tu wasifanye uchunguzi?!

Kwa hiyo Mbowe ndio alikatalia stahiki za afya za Lissu, Mbowe alikatalia mshahara na marupurupu ya Lissu, Mbowe ndio alimfukuza Lissu ubunge, Mbowe ndio aliondoa walinzi getini n.k?
 
Akili za Wana CCM ni za kipumbavu mno, wanasikiliza na kusapoti chochote anachoongea Mwenyekiti wao, leo hii ule upumbavu wa kujiita Wazalendo huuusikii Tena, Leo ule ujinga wa kuita Vibaraka wa mabeberu umeisha, ule upumbavu wa kuwaita Chadema Agents wa Ushoga umeisha, WHY? Kwasababu mwenyekiti hajatamka.

Huwa najiuliza, wale wapumbavu wa CCM waliosema hakuna mikutano ya siasa Hadi Uchaguzi mkuu tena ndio Hawa Hawa wanaoshangilia na kupost mabango ya kumsifia mwenyekiti wao kama mpenda suluhu.

Yaani watu wale wale waliosema Tanzania haihitaji Katiba mpya Wala tume huru ya Uchaguzi ndio Hawa Hawa wanashangilia na kupost kuhusu ujio wa katiba mpya na tume ya uchaguzi.

Watu wa namna hii ni watu WAPUMBAVU sana, wanaoweza kutumia Bunge kumsifia Rais. Pathetic
View attachment 2628270
Kuna wajinga zaidi ya Huyu aliyekatwa mkia?
 
Nikiwa kama mwandishi wa Habari, nimefanya kazi kwa ukaribu na Chama cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA. Nimefanya kazi na viongozi wake wakuu, Lissu, Mnyika, Mbowe, Lema na wengine wengi. Tangu Mbowe atoke gerezani, nimefanya naye kazi kwa ukaribu sana. Mbowe wa leo sio Mbowe wa 2020, ni mfanya biashara.

Ninachoweza kuwataarifu ni kwamba, kuna mnyukano mkubwa sana ndani ya CHADEMA. Bila kumung’unya maneno, nasema wazi pasipo shaka kwamba, Mbowe amelambishwa asali na kuna mengi nyuma ya pazia ambayo sisi hatuyajui kwa sababu maridhiano ni kati ya Mbowe, CCM na Samia. Ila Mbowe amekuwa “compromised”. Kama alivyofanya miaka yote, 2015 aliuza chama kwa Lowassa. 2025 Mimi na wewe hatujui yeye na Samia wamepanga nini!

Ila kwa waliomsikia leo akiwa Kigoma, Mbowe ameongea mengi sana, na kwa wajuzi wa mambo, watakubaliana na mimi kwamba, amemsifia Rais Samia kwa mabadiliko makubwa aliyoyafanya kuruhusu mikutano ya hadhara, kumwachia huru, na mengine mengi tu.

Kwa kifupi, Mbowe hataki kabisa mashambulizi ya moja kwa moja kwa Rais Samia. Kitendo ambacho kinazua maswali mengi yasiyokuwa na majibu ukizingatia Mbowe ni Mpinzani na hii inaleta ile dhana ya kulambishwa asali.

Kwa wanaofuatilia mitandao ya kijamii, nadhani mmeona Mwenyekiti wa CHADEMA akitumia Helicopter kwenye mikutano ya hadhara. Hii ni kitu kizuri kwenye jitihada zao za kukutana na wananchi.

Katika hali isiyokuwa ya kawaida, Makamu mwenyekiti wa CHADEMA, Bw. Tundu Lissu kwa upande mwingine, hana gari ya kutumia (anakodi gari kila siku kwa laki 2) kwenye ziara yake. Analipa kutoka mfukoni mwake, chama hakimlipii. Hata mafuta chama hakimpi.

Gari aliyopewa na ndugu yake imeharibika na inahitaji kiasi cha Tsh. 7million kuifanyia matengenezo. Kwa maana hiyo, Lissu Pamoja na wasaidizi wake wanajitegemea kwenye kila kitu. Kuanzia malazi, chakula, magari, mafuta na ulinzi. Na hii ndio sababu kubwa inayo mlazimisha Lissu kuomba michango kwa wananchi.

Jiulizeni kwa nini Mwenyekiti Mbowe anaruka na chopa wakati Makamu wake Lissu anaomba michango kwenye mikutano ya hadhara? Huu mgawanyiko ni hatari kwa hiki chama kikubwa kinapojiandaa kushiriki uchaguzi wa 2025. Kitendo ambacho kinatulazimu kufikiria kuwa Mbowe na Samia wameweka mkakati mahususi kwa mwaka 2025.

Itakuwa vyema Zaidi kama CHADEMA inayopokea ruzuku kutoka serikalini, kumpa makamu wake uwezo wa kuzunguka kukutana na wananchi. Ujumbe wa Lissu kwa wananchi ni ujumbe unaoeleweka.

Hotuba za Lissu zinagusa sana watu wa matabaka yote na kama inawezekana CHADEMA wamuwezeshe Lissu kifedha. Na hata hiyo helicopter, ingekuwa Mwenyekiti siku mbili, na siku mbili zingine apewe Lissu.

Fatilieni mikutano ya mwenyekiti Mbowe na Lissu. Kuanzia maandalizi hadi “Coverage.” Timu ya Lissu haina “Advance Team” kutokea alipo anza Morogoro wala haina watu wa media. Kwa upande mwingine Team ya Mbowe ina advance Team kubwa, watu wa media zaidi ya sita na walinzi zaidi ya watano. Lissu ana mlinzi moja ambaye amepewa na Chama chake.

Kama ni hujuma dhidi ya Lissu ambayo inawezekana ndio lengo, wananchi kwa mamillioni tuungane kumsaidia Lissu. Chochote kitakachotokea dhidi ya Lissu, Mbowe na team yake, wawe tayari kutoa maelezo, kwani mwenendo wao dhidi ya Lissu hauridhishi. Sina chama, ila Lissu ndiye kiongozi wa kitaifa aliyebakia anayefikisha ujumbe unaostahili kwa wananchi.

Ni dhahiri Lissu kama wengine (Heche, Wenje, Msigwa, Lema, Mnyika) ameshayakataa maridhiano ukisikiliza hotuba zake. Akiwa Morogoro alieleza wazi kuwa maridhiano hayaeleweki na CCM wamekataa kuweka makubaliano yoyote kwenye maandishi.

Ombi langu kwenu wadau: Msaidieni Lissu kifedha, hali na mali ili aweze kuendelea kutoa elimu kwa wananchi kuhusu ufisadi unaoendelea, umuhimu wa katiba Mpya, Pamoja na Tume huru ya uchaguzi kwa wananchi.

Fuatilieni hotuba za Lissu na Mbowe. Tofauti ipo wazi na ni kubwa sana: wakati Mbowe anapoelezea mabadiliko aliyoyaleta Samia kama vile kumuachia huru na kuruhusu mikutano ya hadhara, Lissu anazungumzia ufisadi Pamoja na matatizo yanayo wakabili Watanzania.

Kwa kifupi Lissu anatoa elimu ya katiba Mpya na namna ya kuipata Tume huru ya uchaguzi. Wakati Mbowe anafanya siasa na kumsifia Rais Samia, bila kusahau Samia huyo huyo aliitangazia dunia kwamba Mbowe ni gaidi na kumuweka ndani takribani mwaka mzima.
Story za kusadikika zinahitaji akili ya kuzipangilia, nikajua utalithibishia jamvi kua ww ni mmoja wa wahusika wa maridhiano na unajua in and out!!
 
Watajuana wao Kwa wao,kwani wakigawana fito au kupatana kwangu Ina faida au hasara ipi?

Maisha ya Mwandadamu ni kama huko msituni Kila mnyama ajipambanie upande aliko..

Kama wao Chadema ukisema Kuna mgawanyiko wanakana Sasa wewe ni nani Hadi uwahurumie?

Hao ni Wanasiasa wanapambania nyeo na future ya Watoto wao, familia zao ziko Nje ya Nchi Sasa Mimi nitoe rasilimali zangu Kwa Ajili ya nini hasa?

Mwisho chama kimetoa msimamo wa maridhiano ila wengine Hawataki Sasa ambao Hawataki si wajipambanie? By the way nimesikia wote wanasema hawataenda kwenye uchaguzi bila Katiba Mpya Sasa si ndio hitaji lao kuu ,hiyo kugawanyika inatokea wapi?
Tindo anasemaje?
 
Back
Top Bottom