Lissu anahujumiwa, CHADEMA imeuzwa

Msaigoni yule akili nyingi kwa maslahi ya Saigoni, siku si nyingi kijana wa Singida atapotea kwenye siasa au atakuwa na chama chake.

ZZK aliweza kuwa salama maana amelelewa na walewale wazee wa Saigon RIP Six.
 
Kikaragosi wa Magufuli kama wewe ukiipuuza Chadema haina impact yoyote na sisi tunakupuuza tunakuona msukule tu. Wenye akili kubwa tu ndiyo wanaelewa wanachofanya Chadema.
 
Wewe ni taahira zaidi ya mtoa mada. Chadema inasimamia vyombo vya dola? Kama Mh Lissu alishambuliwa na wenzie ilikuaje vyombo vya dola visiwakamate wahusika? Chadema ndiyo waliotuma watu wao kwenda kuwaondoa Askari waliokuwa walizi pamoja na CCTV camera kwenye Makazi ya Mh Lissu na Viongizi Waandamizi wa Serikali?? Chedema ndiyo waliomnyima Mh Lissu fedha za matibabu??

Yawezekana wewe na Mtoa mada ni miongoni mwa wale COVID-19 mmeanza kutapatapa baada ya kuona hatma yenu kisiasa imefikia ukingoni.
 
Msaigoni yule akili nyingi kwa maslahi ya Saigoni, siku si nyingi kijana wa Singida atapotea kwenye siasa au atakuwa na chama chake.

ZZK aliweza kuwa salama maana amelelewa na walewale wazee wa Saigon RIP Six.
Kumbe ni mdau wa Saigoni? Kama hii ni kweli basi tuna safari ndefu sana ya kukiondoa chama tawala madarakani.
 
Kumbe ni mdau wa Saigoni? Kama hii ni kweli basi tuna safari ndefu sana ya kukiondoa chama tawala madarakani.

Wasaigon wenzie ndio wamemnasua na kumlinda kwenye mikono ya Simba wa chato ni hao hao wamemrudisha kwenye game na hata kile kiti chake cha milele pale High kinarudi.

Huyu ndio mwakilishi wa Northen province kwasasa pale Saigon.
 
Chadema hakunaga uhuru wa mawazo
 
Kifupi, CHADEMA haichaguliki. Wasubiri vya kupewa na CCM....!(Hawana dhamira)

Naanza kuona CHADEMA kama vyama vyote alivyoviunda Raila Odinga wa Kenya....

Naanza kuona mmoja wao, yaani kati ya Mbowe na Lissu kuishia kuwa kama Raila Odinga-hakuna atakayekuja kuwa Raisi wa Nchi hii. Hakuna.

CCM oyeee!

....nitachangia Ndugai/Mdee b. 2030.
 

Kulikuwa na haja gani ya kumbambikia Mbowe kesi ya ugaidi, wakati mngeweza kumfungulia mashtaka kwa kushambulia wanachama wenzake? Kwahiyo kwa maneno marahisi mnasema Mbowe ana nguvu kuliko serikali, kiasi anaweza kudhuru wenzake na serikali isiwe na uwezo wa kumfanya lolote. Hizi propaganda za kitoto utakuta mazee ya CCM yanawalisha vijana wao, na wao wanameza kama zilivyo!
 
Ukitaka kutukanwa na kiongozi anaye heshimika kwenye jamii wewe changia mada kama hizi. Kwa kutumia fekelo lake atakutukana sana na kukishambulia ila ukweli ni kwamba usimwamini mchaga anaye zeeka
 
Wewe si wakuandika andika sana hapa jukwaani,nikubaliane na wewe kwa asilimia zote,ulichosema ni sahihi na muda si mrefu kila kitu kitakuwa wazi
 
Btw, umewahi kuisikia ile hypothesis kuwa lisu alipigwa alipigwa risasi na wenzie ndani ya chadema, kama ilivyokuwa kwa Chacha Wangwe?
Lakini wewe pia umependelea upande mmoja, wa lisu, kwa hiyo tunajua upande gani umesimamia
Enhee kwanini serikali ya CCM haijawakamata hao kina Mbowe unapodai walimpiga risasi Lissu?

Hii nchi wajinga wengi sana, kwahiyo unaweza fanya mauaji usikamatwe alafu lawama waangushiwe serikali nao wakae kimya tu wasifanye uchunguzi?!

Kwa hiyo Mbowe ndio alikatalia stahiki za afya za Lissu, Mbowe alikatalia mshahara na marupurupu ya Lissu, Mbowe ndio alimfukuza Lissu ubunge, Mbowe ndio aliondoa walinzi getini n.k?
 
Kuna wajinga zaidi ya Huyu aliyekatwa mkia?
 
Story za kusadikika zinahitaji akili ya kuzipangilia, nikajua utalithibishia jamvi kua ww ni mmoja wa wahusika wa maridhiano na unajua in and out!!
 
Tindo anasemaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…