Lissu anahujumiwa, CHADEMA imeuzwa

Mbowe aliuheshimisha upinzani lakini sasa ni muharibifu.
Watetezi wake kwasasa ni wanufaika na vilazza...
Mbowe tumempoteza
Kwa wapuuzi wataona hivyo, tuonyeshe uharibifu wake.

Hata Mirembe huwaona wauguzi ndio vichaa si ajabu kuwaona watetezi ni vilaza, upinzani umetoka kwenye mateso kutoka kwa shetani Magufuli, kulikuwa hakuna nafasi ya kufanya siasa kwa upinzani. Lakini at least sasa ukiwaona wapinzani wanafanya siasa ni kwa sababu ya mazungumzo yao na uongozi wa CCM.

Kwa hiyo nyie wapuuzi mlitaka aendelee kukimbizana na polisi mitaani? Nyie ni wapumbavu wa CCM mnaochukizwa na nafasi ya upinzani kufanya siasa, leo rais amekubali kurejesha mchakato wa katiba mpya, kama siyo Mbowe na Samia kukubali kuzungumza tungefikia hapa? Wachawi nyie
 
Unatumia nguvu nyingi na matusi.

1. Magufuli na Samia wote lao moja...kusalia madarakani tu na wote walihusika kumuweka ndani.

2. Samia kamtoa Mbowe ndani kwa shiniko na sio kwa kupenda

3. Kuna haja gani kumwabudu aliyekutesa?

4. Mbowe heshima ilipanda alipofungwa, alipaswa kuwa na msimano thabiti, kuipigania nchi na kuilinda misimano yake.

5. Ni aibu kusimama majukwaani kumsifia adui ni uchuro, uhayawni na usaliti.

6. Tuombe uzima 2025 upinzani ukiwa na sura hii ya Kimbowe tutapotezewa sana.
 

..Samia ana majeshi, usalama, mahakama, na bunge, nyuma yake.

..Chadema wanapaswa kuwa waangalifu ktk namna ya kuishi na kufanya siasa ktk utawala wa Samia.

..Mbowe kumsifia Samia kunatoa fursa kwa milango ya kufanya siasa na harakati kuwa wazi.

..Uzuri ni kwamba Mbowe hajawazuia wenzake kuukosoa na kueleza mapungufu ya utawala wa CCM na Samia Suluhu.

..Kitakachoiangusha Ccm ni ubovu wa uongozi na sera za chama hicho. Ccm haina majibu kwa matatizo yanayoikabili nchi yetu.
 
Safari hii mpaka wafe na kisukari, kama hujui katika generation hii ya wanasiasa wa Tz hakuna mwanasiasa anayefikia upeo wa Mbowe. Huyu bwana anajua kuzichanga karata zake.
 
Ni wapi siasa za unafiki ziliwahi kushinda? Hata mkoloni alikuwa na jeshi na silaha lkn aliondolewa

Kitendo cha Mbowe kuwasifia watu wabovu kuna watu mioyo yao inamuelekea Samia wakati naye ni wale wale.

Bora asimtaje Samia.
Kitendo cha kumsifia kina madhara makubwa kuliko faida.
Naufahamu uwezo wako, huwa unajenga hoja bora lakini katika hili sikuungi mkono.
Mbowe kateleza
 
Unawasemea CHADEMA au ni mwanachadema? Kuna malalamiko ya CHADEMA au ni maoni yako?

Wewe ni sukumagang
Wewe ni mpumbavu
Hufurahishwi na hali ya maridhiano kati ya serikali ya CCM na chama kikuu cha upinzani nchini hali iliyochagizwa zaidi na dikteta Magufuli.

Hufurahishwi na mafanikio ya Mbowe maana sasa katiba mpya ambalo ni hitaji la watanzania mchakato wake utaendelea. Siasa za amani siyo za shari zimepatikana.

NYIE WAPUMBAVU MTASUBIRI SANA
 
Kama kwa sasa hakuna Wasiojulikana na Mbowe na Lissu wanafanya siasa zao kwa amani na utulivu basi wewe ni Mwongo sana na umetumwa na Shetani
 
Miccm baada ya kuzomeana kwenye misiba yao sasa leo ikawa inazomeana kuhusu ikulu nao a imechanganyikiwa🤣🤣
 
1. kwenye kusalia na kukaa madarakani ni kwa kila mwanasiasa siyo Samia na Magufuli pekee.
Siasa wakati wa Magufuli na jinsi muelekeo wa siasa chini ya Samia ni tofauti, haki ya kufanya siasa kwa upinzani wakati wa Magufuli na Samia ni sawa?

2. Frederick deni klerk aliyekuwa rais wa South Africa na kuhusika na kuachiwa kwa Nelson Mandela na uhuru wa weusi hakuwa kaburu kutoka chama tawala kilichokuwa kinapractice racism? Ilikuwa ni majira ikabidi amuachie Mandela, hata Samia kwa kusoma alama za nyakati akamuachia Mbowe na kutaka maridhiano. Ulitaka aendeleze uhasama wa Magufuli?

3. Hekima aliyonayo Mbowe siyo ujinga unaowatawala wahafidhina, Mbowe amefanya kwa maslahi ya siasa za Tanzania. Kwani kwa Mandela kuachiwa na Frederick der klerk hawakufanya kazi pamoja hadi kwenye uchaguzi ulioupa ushindi ANC? Alikuwa anamuabudu? Na kama asingefanya kazi pamoja uhuru wa SA ungepatikana?

4. Ingemsaidia nini kutotaka maridhiano? Kwa muafaka na sasa upinzani unafanya siasa tofauti na Magufuli, na mchakato wa katiba mpya umerudishwa, marekebisho ya tume ya uchaguzi na utendaji kazi wa polisi umebadilika je siyo maslahi ya taifa? Maslahi ya taifa ni kukimbizana na risasi za polisi na kuwekwa jela?

5. Huna ufahamu wa siasa fanya au zungumzia habari nyingine, kwenye siasa hakuna adui wa kudumu wala rafiki wa kudumu.

6. Wewe siyo mpinzani 2025 kama katiba mpya na tume ya uchaguzi huru upinzani utakuwa vizuri, akili ya kimbowe ni ya wenye hekima siyo za kichawi. CCM mnajulikana kwa matendo yenu hampendi amani kazi mnayo
 
Sio siri Freeman amekuwa mamluki! After all he is a businessman, kwake yeye Chadema ni kitega uchumi!! He has been compromised and he's treating Chadema as his Kikoba!
Chadema should back up Tundu for prosperity!
Sukumagang na wapuuzi wa CCM itakuwa ni vigumu kumpenda Mbowe.

Walifanikiwa kuivuruga NCCR mageuzi kwa kumrubuni Mrema.

Wakafanikiwa kumtumia Ibrahim Lipumba kuivuruga CUF hadi wakahamia kwenye chama cha Zitto

Kwa Mbowe mmeshindwa sasa mnalalama
 
kuna siku humu humu wakati mbowe anaachiwa nilisema HAKUNA MSAMAHA WA BURE.niishie hapa
Bora uishie maana huna hoja zaidi ya conspiracy theories za kichawi, kama hakuna ushahidi bali wa kubuma na samia akapata njia ya kwenda mbele kwa kumuachia ili taifa lisonge mbele kuna tatizo gani? Mlikuwa wanufaika wa siasa za chuki?
 
Kuna kitu unatumia siyo bure, lissu ashambuliwe na CHADEMA? Punguza hiyo kit itakutia kichaa
 
Wacha Bhwanaah! Unasema kweli?

Hayo mengine ya Mbowe kuwa 'compromised', sote tunajuwa, ila hili ulilotaja hapa..., sijui wewe kama ni mwandishi wa habari kweli, kama ulivyosema, sijui hili utaliweka hapa ukijua halina ukweli ndani yake, kwa sababu zipi hasa?

Labda uwe umetumwa kuleta mtafaruku ndani ya chama hicho!

Mkuu 'Mwingereza', sidhani kuwa nilishawahi kukusoma popote humu JF, ila leo ndio mwanzo..., na ninakusoma sana.

Ngoja nikamalizie ile sehemu niliyobakisha kwenye andiko lako.
 
Mtajuana wenyewe kwa wenyewe na nyumbu wenu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…